Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauri moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia tayari kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu
Ikiwa ni kweli, Mh sipika anao huo mpango wa kuweka zuio la wabunge kutokuingia bungeni ikiwa hawatachanjwa, ni kuimgilia mhimili wa Uraisi ambaye ndiye mwenye wananchi wote
Kama ndivyo hivyo, basi Mh Rais atengue kauli yake aseme chanjo ni lazima
Kama sivyo, Sipika tutamburuza mahakamani