#COVID19 Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

#COVID19 Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

Spika Hana ubavu wa kujiwekea kanuni yeye. Kama yeye

Lazima bunge Zima likae lipitishe kanuni .Kuwa kujikinga na Corona kifanyike Nini kukaa social distance,kuvaa barakoa au kuchanga? Yeye hawezi tu.kuamka na kusema kuanzia leo kila mbunge aingie bungeni akiwa kachanja!!!

Bungeni Kuna kanuni za maanfisui zilizopitishwa na bunge Hadi za nna ya kuvaa sembuse chanjo? Spika naye mropokaji tu .Bunge halijakaa kupitisha hizo kanuni zake anazoropoka.Hana ubavu wowote wa kumzuia mbunge yeyote asiyechanja kuingia bungeni.Bunge halijaridhia yeye Ni mwenyekiti tu wa kikao Cha bunge sio final say!!!!
hizi ndio point sasa
 
... uko sahihi kabisa isipokuwa hayo mawili ya mwisho! Bila chanjo ni sawa na nchi kuwa na jeshi lisilofanya mazoezi. Kupata chanjo ni sawa na drill ya kijeshi kujiandaa dhidi ya adui; adui akija hii ndio namna ya kupamaba naye.

Ukiwa na chanjo haina maana Covid haitaingia mwilini; itaingia. Ila ikiingia, inaukuta mwili umejiandaa kupambana nayo so madhara yake hayatakuwa makubwa kama ambavyo mwili haujajiandaa.
kwa hiyo siku hizi chanjo zimebadirika? zimekuwa tofauti na chanjo za zingine tulizowahi kuchanjwa?

yaani chanjo za leo uchanjwe ama usichanjwe hatari ni ileile?
 
Kama hamjamjua Samia hadi muda huu mtateseka sana! Kuna vitu huwa anaviamua Ikulu kimya kimya halafu anawatupia zigo wasaidizi wake wenye roho ngumu wavitoe hadharani, wananchi mkilalamika atasema ok tutakaa chini tulifanyie kazi, hapo jua mshapigwa. Ref suala la tozo, kuyafungulia magazeti ya mwanahalisi na tanzania daima, sasa hili la chanjo majeshi yake yameanza kulitambulisha mdogo mdogo. Soon mtaambiwa hamna kuingia misikitini na kanisani bila chanjo
 
Mwajiri nani ananguvu ya kuzuia tamko la mh Rais?

Mwajiri mkuu ndiye aliyesema hivo na ndiye mlinzi wa wawajiliwa wote nani tena mwajiri anayempinga mwajiri mkuu?
Nimegundua siasa huzijui.muajiri mkuu kasha chanjwa tayari
 
Maana yake, sisi tumechanja na ukitaka kuja nasi chanja. Hutaki, ni hiyari yako, baki huko usije nasi, hilo tu!
Kwa Nini wewe uliyechanja usije nasi tusiochanja? Kwa Nini unakomaa upande wako tu?
 
kwa hiyo siku hizi chanjo zimebadirika? zimekuwa tofauti na chanjo za zingine tulizowahi kuchanjwa?

yaani chanjo za leo uchanjwe ama usichanjwe hatari ni ileile?
... sijakuelewa! Kwamba ukiwa na chanjo ya kifua kikuu that means hupati kifua kikuu? You are wrong! Vimelea vya kifua kikuu utapata na hata kifua kikuu utapata ila athari zake zinakuwa ndogo!

Swali mbona waathirika wa ukimwi hufa kwa kifua kikuu wakati walishawahi kupata chanjo ya kifua kikuu? Tafuta majibu ya hilo swali utaelewa maana na role ya chanjo mwilini maana inaonekana hujui.
 
Chanjo ni hiyari ila kama haujachanjwa kaa ndani ,usiende kwenye mikusanyiko ukaendeleza kusambaza kwa wengine ,lengo la WHO ni kila nchi kufikia uchanjwaji wa atleast 90% ili kusaidia kufikia herd immunity kwa haraka.....Kama mbunge hataki kuchanjwa afanye mikutano kwa zooom au microsoft teams.
Waliochanjwa nao wanaogopa kusambaziwa covid?
 
Kama hamjamjua Samia hadi muda huu mtateseka sana! Kuna vitu huwa anaviamua Ikulu kimya kimya halafu anawatupia zigo wasaidizi wake wenye roho ngumu wavitoe hadharani, wananchi mkilalamika atasema ok tutakaa chini tulifanyie kazi, hapo jua mshapigwa. Ref suala la tozo, kuyafungulia magazeti ya mwanahalisi na tanzania daima, sasa hili la chanjo majeshi yake yameanza kulitambulisha mdogo mdogo. Soon mtaambiwa hamna kuingia misikitini na kanisani bila chanjo
Kama nakuelewa vilee...!
 
... hizo ni speculations zako zisizo ni misingi yoyote ya kisayansi. Maprofesa mabingwa wa hapa hapa wemefanya research na ku-prove chanjo ni salama who are you tukuamini bila research findings zozote? Labda misukule ya Gwajima and we don't have time to waste kwa wajinga waliaomua kujitoa ufahamu!
Mkuu mbona hata Dkt. Hedwiga swai mkurugenzi wa tiba muhimbili alipinga hizi chanjo na alielezea kitaalamu kabisa.
 
Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni

Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na asipotaka kuchanja, sawa!

Ikiwa ni kweli, Mh sipika anao huo mpango wa kuweka zuio la wabunge kutokuingia bungeni wale wasiochanjwa, ni kuingilia mhimili wa Uraisi ambapo yeye ndiye mwenye wananchi wote akiwemo yeye sipika pia ni kutengua kauli ya mh Raisi ambayo ni sheria,

Kama ndivyo hivyo, basi Mh Rais atengue kauli yake aseme chanjo ni lazima

Kama sivyo, Sipika tutamburuza mahakamani

Hapana, atakachofanya ni kuwa anahitaji vipimo vya masaa 48 yaliyopita kama huna Corona ili uingie bungeni kwa gharama yako mwenyewe kwa wabunge wote ambao hawaja chanja. Aliyechanja aonyeshe cerificate.
 
... hizo ni speculations zako zisizo ni misingi yoyote ya kisayansi. Maprofesa mabingwa wa hapa hapa wemefanya research na ku-prove chanjo ni salama who are you tukuamini bila research findings zozote? Labda misukule ya Gwajima and we don't have time to waste kwa wajinga waliaomua kujitoa ufahamu!
Hso maprofesa si ndio hao walisema miti shamba ndio yenyewe? tushike lipi sasa, halafu mbona unakuwa mkali utadhani wewe ndio miongoni mwa hao maprofesa bhana?
 
Huyu andunje wa Kongwa ni mpuuzi sana, kwanza wapiga kura wake wote wamechanjwa?
Screenshot_20210813-100923_Gallery.jpg
 
Maana yake, sisi tumechanja na ukitaka kuja nasi chanja. Hutaki, ni hiyari yako, baki huko usije nasi, hilo tu!
Wewe uliyechanja hutakiwi kuwa nasi tusiochanja ka jilock down .Na kuji I solate.Wewe Kama mvaa barakoa ukiona umati hawana barakoa wewe ndio unatakiwa kukimbia Kama umefumaniwa kuwakimbia umati usiovaa barakoa Wala social distance.Wewe ndio hutakiwi kuwa Nasi tusio chanja ambao ndio wengi.Wewe ndie utafite pa kuji.lock dunia yako

Ukiona mkutano wa hadhara hawajachanja na hawajavaa barakoa kimbia wewe ndie hutakiwi kuwa nao you are not part of them your part of wazungu . Africa na Tanzania unakalia Nini si uende huko kwao.

Wewe ndio usikanyage sokoni Wala mitaani Wala kupanda daladala Wala kwenda mkutano wa hadhara!!!

Minority can't overrun the majority take note.
 
Back
Top Bottom