#COVID19 Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

#COVID19 Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

kwani hao wabunge ambao wamegoma kuchanjwa wanazuwiwa kuanzisha chama chao na kuchukua dola fasta?hahahahahaha .nawaza tu
lakni huko kwa wenzetu wao wanafanyeje?na ukimzuia mbunge kwenda bunhgeni ina maana wewe uliyechanja huendi baa,sokoni,kanisani au msikitini?
kwa kadri mnavyolazimisha watu kuchanja nikuonyesha kuwa chanjo iko inefficient kumkinga mtu asiambukizwe.chanjo nzuri ni ile inayomzuia mtu asiambukizwe.mfano ni chanzo ya hepatitis B,Bacterial meningitis,tetanus ,polio,TB,etc.
jameni tusilipasua taifa kwa sababu ya chanjo ya covid 19.tumepita katika phase zote 3 bila chanjo na watu wengi wako salama akiwemo spika ,wabunge ,mawaziri.wako waliyotangulia ,mbele za haki.kufa siyo korona tu magonjwa yako mengi.tuheshimu utu wa mtu kama amegoma kuchanja tumsihii aiingiapo bungeni avae barakoa ,awe na sanitizer ,anawe mikono.
 
SIPIKA HASHITAKIWI MKUU ANA KINGA YA KUTOKUSHITAKIWA.
Kuzomewa inaruhusiwa lakini si hivyo tu akileta za kuleta kwa wabunge kazi ndogo tu kumtoa ni kupigia tu kura ya kutokuwa na imani naye .Dakika tu anafungashwa virago anawekwa spika mwingine.

Hili la chanjo asijifanye mjuaji yeye kumwondoa kwenye hicho kiti simple tu.Naona kajisahau hajielewi anadhani yeye ni headmaster na wabunge Ni school children walioletwa bungeni na school bus kusoma chekechea
 
kwani hao wabunge ambao wamegoma kuchanjwa wanazuwiwa kuanzisha chama chao na kuchukua dola fasta?hahahahahaha .nawaza tu
lakni huko kwa wenzetu wao wanafanyeje?na ukimzuia mbunge kwenda bunhgeni ina maana wewe uliyechanja huendi baa,sokoni,kanisani au msikitini?
kwa kadri mnavyolazimisha watu kuchanja nikuonyesha kuwa chanjo iko inefficient kumkinga mtu asiambukizwe.chanjo nzuri ni ile inayomzuia mtu asiambukizwe.mfano ni chanzo ya hepatitis B,Bacterial meningitis,tetanus ,polio,TB,etc.
jameni tusilipasua taifa kwa sababu ya chanjo ya covid 19.tumepita katika phase zote 3 bila chanjo na watu wengi wako salama akiwemo spika ,wabunge ,mawaziri.wako waliyotangulia ,mbele za haki.kufa siyo korona tu magonjwa yako mengi.tuheshimu utu wa mtu kama amegoma kuchanja tumsihii aiingiapo bungeni avae barakoa ,awe na sanitizer ,anawe mikono.
Dah! umeongea jambo kubwa sana mkuu, safi sana
 
Wabunge Ndugai ni wa kumpigia tu kura ya kutokuwa na imani naye na kumtupa huko mnaweka mwingine mkiona anawazingua . Simple.
 
thereallailaali~p~CR9a5HeloPm~1.jpg
 
Hso maprofesa si ndio hao walisema miti shamba ndio yenyewe? tushike lipi sasa, halafu mbona unakuwa mkali utadhani wewe ndio miongoni mwa hao maprofesa bhana?
... habari ya mitishamba ilikuwa ya "maprofesa-wanasiasa" ili waendane na mdundo wa ngoma kwa wakati huo! Leo bado misimamo yao ni ile ile? Hapana, leo wameamua kuusema ukweli kama ulivyo maana kitisho kilichokuwepo hakipo tena kwao.
 
Wabunge Ndugai ni wa kumpigia tu kura ya kutokuwa na imani naye na kumtupa huko mnaweka mwingine mkiona anawazingua . Simple.
... zaidi ya 90% ya wabunge wamechanja! Wamebakia Polepole, Gwajima, na wengine wachache.
 
Vaccinated people make up 75% of recent COVID-19 cases in Singapore, but few fall ill​

By Aradhana Aravindan and Chen Lin

4 minute read
A medical worker prepares a syringe at a coronavirus disease (COVID-19) vaccination center in Singapore, March 8, 2021. REUTERS/Edgar Su/File Photo

A medical worker prepares a syringe at a coronavirus disease (COVID-19) vaccination center in Singapore, March 8, 2021. REUTERS/Edgar Su/File Photo
SINGAPORE, July 23 (Reuters) - Vaccinated individuals accounted for three-quarters of Singapore's COVID-19 infections in the last four weeks, but they were not falling seriously ill, government data showed, as a rapid ramp-up in inoculations leaves fewer people unvaccinated.
While the data shows that vaccines are highly effective in preventing severe cases, it also underscores the risk that even those inoculated could be contagious, so that inoculation alone may not suffice to halt transmission.
Of Singapore's 1,096 locally transmitted infections in the last 28 days, 484, or about 44%, were in fully vaccinated people, while 30% were partially vaccinated and just over 25% were unvaccinated, Thursday's data showed.
While seven cases of serious illness required oxygen, and another was in critical condition in intensive care, none of the eight had been fully vaccinated, the health ministry said.

"There is continuing evidence that vaccination helps to prevent serious disease when one gets infected," the ministry said, adding that all the fully vaccinated and infected people had shown no symptoms, or only mild ones.
Infections in vaccinated people do not mean vaccines are ineffective, experts said.
"As more and more people are vaccinated in Singapore, we will see more infections happening among vaccinated people," Teo Yik Ying, dean of the Saw Swee Hock School of Public Health at the National University of Singapore (NUS).
"It is important to always compare it against the proportion of people who remain unvaccinated...Suppose Singapore achieves a rate of 100% fully vaccinated...then all infections will stem from the vaccinated people and none from the unvaccinated."

Singapore has already inoculated nearly 75% of its 5.7 million people, the world's second highest after the United Arab Emirates, a Reuters tracker shows, and half its population is fully vaccinated.
As countries with advanced vaccination campaigns prepare to live with COVID-19 as an endemic disease, their focus is turning to preventing death and serious diseases through vaccination.
But they are grappling with how to differentiate public health policies, such as mask wearing, between the vaccinated and those who are not.
Both Singapore and Israel, for example, reinstated some curbs recently to battle a surge in infections driven by the highly contagious Delta variant, while England lifted almost all restrictions this week, despite high caseloads.

"We've got to accept that all of us will have to have some restrictions, vaccinated or not vaccinated," said Peter Collignon, an infectious diseases physician and microbiologist at Canberra Hospital in the Australian capital.
"It's just the restrictions are likely to be higher for those unvaccinated than vaccinated people, but that may still mean they have mask mandates indoors, for instance."
The Singapore data also showed that infections in the last 14 days among vaccinated people older than 61 stood at about 88%, higher than the figure of just over 70% for the younger group.
Linfa Wang, a professor at Duke-NUS Medical School, said elderly people had been shown to have weaker immune responses upon
vaccination.

In Israel, which also has a high vaccination rate, about half of the 46 patients hospitalised in severe condition by early July had been vaccinated, and the majority were from risk groups, authorities said. read more
It was not immediately clear if the Singapore data reflected reduced protection offered by vaccines against the Delta variant, the most common form in the wealthy city state in recent months.
Two doses of vaccine from Pfizer (PFE.N)-BioNTech (22UAy.DE) or AstraZeneca (AZN.L) are nearly as effective against Delta as against the previously dominant Alpha variant, according to a study published this week. read more
Singapore uses the Pfizer and Moderna (MRNA.O) vaccines in its national vaccination programme.

Friday's 130 new locally-transmitted infections were off this week's 11-month high. The recent rise in cases prompted authorities to tighten curbs on social gatherings in the push to boost vaccinations, particularly among the elderly. read more
Reporting by Aradhana Aravindan and Chen Lin in Singapore; Editing by Miyoung Kim and Clarence Fernandez
Our Standards: The Thomson Reuters Trust Principles.
 
Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni

Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na asipotaka kuchanja, sawa!

Ikiwa ni kweli, Mh sipika anao huo mpango wa kuweka zuio la wabunge kutokuingia bungeni wale wasiochanjwa, ni kuingilia mhimili wa Uraisi ambapo yeye ndiye mwenye wananchi wote akiwemo yeye sipika pia ni kutengua kauli ya mh Raisi ambayo ni sheria,

Kama ndivyo hivyo, basi Mh Rais atengue kauli yake aseme chanjo ni lazima

Kama sivyo, Sipika tutamburuza mahakamani
acha uzombi
JamiiForums-1820461607.jpg

Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona hata Dkt. Hedwiga swai mkurugenzi wa tiba muhimbili alipinga hizi chanjo na alielezea kitaalamu kabisa.
... achana na Dr. Hedwiga; kuna jopo la maprofesa liliundwa na Rais kushauri na likatuhakikishia Covax ni salama among other suggestions.
 
Taratibu mtaelewa tu
Humu tulisema haya mambo sio kuwa yameanzishwa huko hapana bali kwa wenzetu

Mwanzo ni hiyari ila ikawa lazima bila kulazimishwa hapo ndio utajua maana ya hiari/lazima vinaenda sambamba
 
... achana na Dr. Hedwiga; kuna jopo la maprofesa liliundwa na Rais kushauri na likatuhakikishia Covax ni salama among other suggestions.
Sidhani kama issue ni huko kuhakikishiwa tu bali ni kujadiliana kwa hoja za kisayansi kuhusu hizi chanjo, hata mataifa mengine nako kuna chanjo na wamewahakikishia raia zao ila mijadala ya usalama wa hizi chanjo bado ipo duniani inaendelea.
 
... habari ya mitishamba ilikuwa ya "maprofesa-wanasiasa" ili waendane na mdundo wa ngoma kwa wakati huo! Leo bado misimamo yao ni ile ile? Hapana, leo wameamua kuusema ukweli kama ulivyo maana kitisho kilichokuwepo hakipo tena kwao.
wewe unauhakika upi kuwa hawa maprof hawa si wanasiasa na hawaendani na upepo uliopo?
 
Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni

Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na asipotaka kuchanja, sawa!

Ikiwa ni kweli, Mh sipika anao huo mpango wa kuweka zuio la wabunge kutokuingia bungeni wale wasiochanjwa, ni kuingilia mhimili wa Uraisi ambapo yeye ndiye mwenye wananchi wote akiwemo yeye sipika pia ni kutengua kauli ya mh Raisi ambayo ni sheria,

Kama ndivyo hivyo, basi Mh Rais atengue kauli yake aseme chanjo ni lazima

Kama sivyo, Sipika tutamburuza mahakamani
angekuwepo magufuli sidhani kama angesema hivyo....mngesikia tu Ndugai amekamatwa na wasiojulikana
 
Maana yake, sisi tumechanja na ukitaka kuja nasi chanja. Hutaki, ni hiyari yako, baki huko usije nasi, hilo tu!
Si ndio maana mnakufa ili nchi teule TZ ibaki na binadamu halisi? Tena mngeanza kuandaa mazingira mazuri kwenye ward za vichaa, kwa kuwa ni wateja watarajiwa!. Shauri lenu.
 
Kuna tatizo gani? Kama nikipata fursa, natamani kukaa na Gwajima kwa sababu he is just the best!. Niambie wewe kama unadini, dini yako inaongeza tija gani kwako kwa maisha ya sasa na ya baadaye.
Unasali kwa gwajima ee
 
huyu fala anajisumbua tu hivi anadhani alivyogonga hiyo chanjo ndio atatoboa? yaani wewe na mambaazi yooote unayobugia plus roho mbaya na uchawi , unadhani Mungu mjomba wako, Yustino mwaka huu hapindui , mtakuja kuniambia save this date
 
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa Bunge ni muhimili mwingine wa dola tofauti na serikali. Ndani ya Bunge Spika ana mamlaka inayojitegemea na maamuzi yake sio lazima yaendane na maamuzi ya serikali
Ila hayo maamuzi yake yanalazimika kuheshimu kanuni na sheria
 
Back
Top Bottom