Waliochanjwa, wanahofu gani ya kuambukizwa wakati wanaambiwa hata wakiambukizwa haina madhara kwao? Hizi tafsiri za kipumbavu siyo uthibitisho wa athari ya chanjo kwenye akili za watu wakichanjwa?... kibao kimegeuka; waliochanjwa ruksa kwenye mihangaiko ya maisha; wasiotaka chanjo wakae ndani wasiambukize wengine! Wanafunzi kuanzia chekechea inakuwaje? Hili kundi ni wasambazaji wazuri sana wa Covid.
... aulizwe Ndugai!Waliochanjwa, wanahofu gani ya kuambukizwa wakati wanaambiwa hata wakiambukizwa haina madhara kwao? Hizi tafsiri za kipumbavu siyo uthibitisho wa athari ya chanjo kwenye akili za watu wakichanjwa?
Give me a break! ...Hizo ni dalili za mwanzo wa athari ya chanjo za J&J
Uchizi
Spika Hana ubavu wa kujiwekea kanuni yeye. Kama yeyeUnachoshindwa kuelewa ni kuwa Bunge ni muhimili mwingine wa dola tofauti na serikali. Ndani ya Bunge Spika ana mamlaka inayojitegemea na maamuzi yake sio lazima yaendane na maamuzi ya serikali
Bahati mbaya, chanjo inaathiri ufahamu wa watu. Na huu ni mwanzo. Na ninadhani waundaji wa hili janga, wanaposema ianzwe kwa wenye mamlaka, wajeshi/walinzi, wahudumu wa afya, na wautalii, wanalengo la kudhoofisha mifumo ya fahamu ya viongozi ili wasiwe na uwezo wa ku reason rationally. Lakini pia, inawapa munkari ya kufanya namna chanjo inavyowatuma wakiamini wako sawa. Sasa ukiwa na vikosi kazi vyote hapo juu, vyenye neurological disorder, nani atalinda haki za raia ama raslimali za nchi? Na kwa kuwa lengo ni kuwafanya watu wote mazezeta, basi hao mazezeta wanaonza watatumika kama maroboti ya kuwalazimisha binadmau wengine kwa namna yoyote kama persecutions n.k bila aibu wala adabu kwa katiba za nchi akama anvyofanya huyu jamaa, n.k.... aulizwe Ndugai!
Certainly wewe umechanjwa brain. Unaendeshwa na mob psychology kwa kuwa akili yako haina uwezo wa kureason tena. Madhara ya chanjo hayo, ndugu watazamaji.Give me a break! ...
View attachment 1890321 ... JUST A HANDFUL GUYS AND ...!
Maana yake, sisi tumechanja na ukitaka kuja nasi chanja. Hutaki, ni hiyari yako, baki huko usije nasi, hilo tu!Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauri moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia tayari kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu
Ikiwa ni kweli, Mh sipika anao huo mpango wa kuweka zuio la wabunge kutokuingia bungeni ikiwa hawatachanjwa, ni kuimgilia mhimili wa Uraisi ambaye ndiye mwenye wananchi wote
Kama ndivyo hivyo, basi Mh Rais atengue kauli yake aseme chanjo ni lazima
Kama sivyo, Sipika tutamburuza mahakamani
Haya unamiliki mgahawa umechanja wateja hawajachanja hawaji kwako watajipikia vyakula nyumbani .Wewe kula mwenyewe mivyakula yako mwenyewe ndio kuendelea na mishe mishe zako huko... kibao kimegeuka; waliochanjwa ruksa kwenye mihangaiko ya maisha; wasiotaka chanjo wakae ndani wasiambukize wengine! Wanafunzi kuanzia chekechea inakuwaje? Hili kundi ni wasambazaji wazuri sana wa Covid.
Ninyi kila kitu lazima mbishe tuBunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauri moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia tayari kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu
Ikiwa ni kweli, Mh sipika anao huo mpango wa kuweka zuio la wabunge kutokuingia bungeni ikiwa hawatachanjwa, ni kuimgilia mhimili wa Uraisi ambaye ndiye mwenye wananchi wote
Kama ndivyo hivyo, basi Mh Rais atengue kauli yake aseme chanjo ni lazima
Kama sivyo, Sipika tutamburuza mahakamani
Sasa unajichanganya nini?Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauri moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia tayari kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu
Ikiwa ni kweli, Mh sipika anao huo mpango wa kuweka zuio la wabunge kutokuingia bungeni ikiwa hawatachanjwa, ni kuimgilia mhimili wa Uraisi ambaye ndiye mwenye wananchi wote
Kama ndivyo hivyo, basi Mh Rais atengue kauli yake aseme chanjo ni lazima
Kama sivyo, Sipika tutamburuza mahakamani
... ni kweli, ... yaani tushaingizwa kwenye laptop, na, kwa mujibu wa Gwajima, ni muda muafaka sasa jamaa anabonyeza kale ka KITUFE ka kutufanya 'ZOMBIES'!Certainly wewe umechanjwa brain. Unaendeshwa na mob psychology kwa kuwa akili yako haina uwezo wa kureason tena. Madhara ya chanjo hayo, ndugu watazamaji.
Wewe kama nani utoe kauli hii na izingatiwe?Sasa unajichanganya nini?
Chanjo ni hiari ndio.
Hawajalazimishwa kuchanja.
Ila wakae nyumbani au waende chato kuhiji kwenye kaburi la meko
Unasali kwa gwajima eeWewe kama nani utoe kauli hii na izingatiwe?
Kwa hiyo wewe unahasira na wanaosali hapo pekee yao?Unasali kwa gwajima ee
Wakati mwingine ficheni ujinga,kila jambo lazima mje mitandaoni kusemasema, mambo ya watu yaacheni muwe busy na maisha yenuBunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni
Kwa kauri moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia tayari kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu
Ikiwa ni kweli, Mh sipika anao huo mpango wa kuweka zuio la wabunge kutokuingia bungeni ikiwa hawatachanjwa, ni kuimgilia mhimili wa Uraisi ambaye ndiye mwenye wananchi wote
Kama ndivyo hivyo, basi Mh Rais atengue kauli yake aseme chanjo ni lazima
Kama sivyo, Sipika tutamburuza mahakamani
Hapana mzeeKwa hiyo wewe unahasira na wanaosali hapo pekee yao?
AiseeWalimuua jpm ili wapokee mahari mtoto mzuri Tz aozwe kwa mabeberu
Kwa mjibu wa nani?"Chanjo ni hiari, ila watakaoingia bungeni ni wale waliotumia hiari hiyo kuchanja"
Hutaki chanjo baki kwenye godown lako endelea kufufua misukule.