#COVID19 Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

Aliyekupa maml
Sasa unajichanganya nini?
Chanjo ni hiari ndio.
Hawajalazimishwa kuchanja.
Ila wakae nyumbani au waende chato kuhiji kwenye kaburi la meko
aliyekupa mamlaka ya kuweka terms zako ni nani i? Eti ila!

Mwenye hatari ya kufa ni asiyechanja kuliko aliyechanja. Sasa asiyechanja atasababishaje wewe uliyechanja ufe kwa corona kabla yake. Watetezi wa chanjo wanakiri aliyechanja bado anaambukiza hivyo, hata wasiochanja wasipokuwepo bado wataambukizana hai waliochanja.

Hata iweje kuna watu tumeamua hatutachanja na hakuna mtu atakayepora haki yetu ya kuishi tunavyotaka.

Huko bungeni wapo wabunge hawatachanja.
 
Mimi mwenyewe sichanji
 
Haya unamiliki mgahawa umechanja wateja hawajachanja hawaji kwako watajipikia vyakula nyumbani .Wewe kula mwenyewe mivyakula yako mwenyewe ndio kuendelea na mishe mishe zako huko
... kwani waliochanja hawapo? Ni heri wachache walio salama kuliko baadhi wanaokuja kuuwa wengine! Iko hivi, whether you like or not, ndio trend duniani kwa sasa. Huna certification ya chanjo hutopata huduma popote.
 
... hizo ni speculations zako zisizo ni misingi yoyote ya kisayansi. Maprofesa mabingwa wa hapa hapa wemefanya research na ku-prove chanjo ni salama who are you tukuamini bila research findings zozote? Labda misukule ya Gwajima and we don't have time to waste kwa wajinga waliaomua kujitoa ufahamu!
 
... kwani waliochanja hawapo? Ni heri wachache walio salama kuliko baadhi wanaokuja kuuwa wengine! Iko hivi, whether you like or not, ndio trend duniani kwa sasa. Huna certification ya chanjo hutopata huduma popote.
Tanzania wamekwaa kisiki tunajitambua haitakuwa
 
Wangekuwa maprofesa kweli si wangegundua dawa yetu? Eti chanjo iko salama.Chanjo katengeneza mzungu kipimo Cha kupima hiyo chanjo kuwa yenyewe au siyo katengeneza huyo huyo mzungu ulitaka kipimo kimpinge mzungu mwenzie? Elimu yenyewe waliyosoma Ni ya huyo huyo mzungu ulitaka wampinge?

Wana kipimo Chao kilichotengenezwa Afrika au Tanzania?

Magufuli alitupa kujiamini kutafuta ufumbuzi wetu wenyewe wa kujifukiza,maombi,malimao nk Lile lilikuwa dume la shoka na vichwa vya wasomi vilianza kuamka Sasa vinarudi kulala tena
 
Tanzania wamekwaa kisiki tunajitambua haitakuwa
... nenda vituo vya afya uone wananchi wanavyomiminika kupata chanjo! Labda hayajakukuta ndio maana unaongea hivyo; umepoteza baba, shangazi, mjomba, kaka mkubwa, jirani ndani ya wiki moja usingekuwa unaongea hivyo Chief! Watu wamezika hadi wamechoka wanatamani kwanini hiyo chanjo isingekuja juzi na sio jana!
 
... ninyi mnao-argue chanjo sio salama mnatumia basis ipi ku-justify hoja zenu? Uprofesa wenu mlisomea wapi? Halafu jambo la kushangaza wajinga wajinga wasio na justification yoyote ya kisayansi ndio wanaopinga chanjo; sijamsikia profesa au bingwa yeyote akiipinga! Ni ajabu sana!
 
SIPIKA HASHITAKIWI MKUU ANA KINGA YA KUTOKUSHITAKIWA.
 
Hiari ya chanjo ni ya mtu binafsi.lakini mwajiri naye anayohiari ya kujikinga na maambukizi .kwa sababu mfanyakazi akiugua akashindwa kufika kazini atamuingizia hasara ya kumtibu,au kumzika akifa.sasa ili kupunguza hizi gharama zinazoweza kuepukika ni bora asiyechanja asiingie ofisini asije akasababisha usumbufu zaidi.
 
hata waliochanjwa naona na wao wanapukutika kwa spidi ya supernova sasa kipi ni kipi
 
Kwani Bunge si mhimili unaojitegemea???
Kwanini Ndugai alaumiwe au aingiliwe kwenye hili!!
 
... kwani waliochanja hawapo? Ni heri wachache walio salama kuliko baadhi wanaokuja kuuwa wengine! Iko hivi, whether you like or not, ndio trend duniani kwa sasa. Huna certification ya chanjo hutopata huduma popote.
Ukichanjwa... hautaambizwa? hapana utaambukizwa

Ukichanjwa....hutaambukiza? hapana, utaambukiza

Ukichanjwa...hutavaa barakoa? Hapana, utavaaa

Ukichanjwa....hutaacha kuchukua tahadhari za kitaalamu? hapana, utazingatia

Ukichanjwa....likija wimbi lingine la covd, hutaambukizwa? hapana, utaambukizwa

Je, chanjo, inamaana gani?

Basi chanjo ina kazi nyingine tofauti na tunavyoaminishwa!
 
Waliochanjwa, wanahofu gani ya kuambukizwa wakati wanaambiwa hata wakiambukizwa haina madhara kwao? Hizi tafsiri za kipumbavu siyo uthibitisho wa athari ya chanjo kwenye akili za watu
Mkuu, Mkichanjwa wengi si ndio mambo ya Herd immunity hayo. Ugonjwa unapoteza sehemu za kuishia.
 
Mwajiri nani ananguvu ya kuzuia tamko la mh Rais?

Mwajiri mkuu ndiye aliyesema hivo na ndiye mlinzi wa wawajiliwa wote nani tena mwajiri anayempinga mwajiri mkuu?
 
... uko sahihi kabisa isipokuwa hayo mawili ya mwisho! Bila chanjo ni sawa na nchi kuwa na jeshi lisilofanya mazoezi. Kupata chanjo ni sawa na drill ya kijeshi kujiandaa dhidi ya adui; adui akija hii ndio namna ya kupambana naye.

Ukiwa na chanjo haina maana Covid haitaingia mwilini; itaingia. Ila ikiingia, inaukuta mwili umejiandaa kupambana nayo so madhara yake hayatakuwa makubwa kama ambavyo mwili haujajiandaa.
 
Matamko mengi ya viongozi, huangalia upepo wa wananchi unakwendaje

Kunawaotetea sipika yuko sahihi kwa sababu yupo kwenye utawala wake kama mwajiri wa wawabunge, wanasahau kwamba kauli ya mh Raisi ni sheria, vinginevyo mh Rais atengue kauli yake ili sipika kauli yake ipate nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…