Hzo chanjo zote zilipita hatua mbalimbali kuanzia na majaribio mbalimbali mpk kufikia matumizi ambapo si chini ya miaka 5-10
Pia Chanjo zote zinakuwa kinga ya ugonjwa hii ya covid si kinga kwa maana unaweza kupata covid ,unaweza kuambukiza covid na unatakiwa kuchukua hatua zote ambazo wasio na chango wanazifata sasa kama unakili kazi ya hii chanjo ni nini kama sina tofauti na wale ambao hawana chanjo?
Kwa kuwa wajenzi wengi wanatumia miaka kujenga jengo ambalo Mchina anatumia chini ya mwezi mmoja kulijenga, ndo unataka kusema hilo jengo la Mchina sio jengo imara kwa sababu katumia muda mfupi zaidi kulinganisha na wewe bila kuangalia resources alizo nazo?!
Anyway, tuyaache hayo ya Mchina!!! Ni kirusi kipi kinasababisha COVID-19?
Mtandao wa
Health Line wanatujuza:-
SARS-CoV-2, the virus that causes COVID-19, is part of a group of viruses known as coronaviruses. Hundreds of coronaviruses exist in animals, but only seven of these coronaviruses are known to cause illnesses in humans.
Kumbe COVID-19 inasababishwa na SARS-CoV-2, lakini Health Line wanaendelea:-
In 2019, a new coronavirus was discovered to cause severe respiratory symptoms in humans. Due to its similarities with the previous coronavirus that was responsible for causing severe acute respiratory syndrome (SARS) in 2003, this new coronavirus became known as the severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (SARS-CoV-2).
Kumbe hicho kirusi kinafahamika kwa takribani miaka 20 sasa!! Ni kirusi kinachofahamika, na ndo maana mwanzoni kabla ya kuanza kutumika neno COVID-19, habari zilikuwa zinaripotiwa kwamba:-
Household Transmission of SARS-CoV-2, Zhuhai, China, 2020
To illustrate the extent of transmission, identify affecting risk factors and estimate epidemiological modeling parameters of severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (SARS-CoV-2) in household setting.
Kama jamaa ni SARS-CoV-2, na anafahamika for almost 20 years now, sasa haya mambo ya COVID-19 yanatoka wapi tena? WHo hawa hapa wanatutoa matongotongo:-
ICTV announced “severe acute respiratory syndrome coronavirus 2 (SARS-CoV-2)” as the name of the new virus on 11 February 2020. This name was chosen because the virus is genetically related to the coronavirus responsible for the SARS outbreak of 2003. While related, the two viruses are different.
WHO announced “COVID-19” as the name of this new disease on 11 February 2020, following guidelines previously developed with the World Organisation for Animal Health (OIE) and the Food and Agriculture Organization of the United Nations (FAO).
Does it matter?! Sasa ina uhusiano gani na chanjo kupatikana mapema?!
In short, unlike corona virus ya miaka ya nyuma, hii ya sasa haichagui Mchina, Mhindi, Mwarabu wala Mwafrika kulinganisha na ile ya miaka ya nyuma!
Wakati SARS-CoV-2 ya zamani ilikuwa inachagua maeneo lakini ya sasa ikapiga hodi kuanzia 10 Downing Street hadi the White House, na matokeo yake, ndicho tunachoelezwa na
University of Chicago kwamba:-
To offset the cost of the development of the COVID-19 vaccine and to help mobilize approved vaccines as quickly as possible to the American public, the government established nearly $10 billion in federal funds. This has greatly accelerated the timeline for the development of vaccines through clinical trials, FDA review and mass distribution of a vaccine.
Kisha wanaendelea:-
To accelerate development, many COVID-19 vaccine trials are conducted in studies that combine phases 1, 2 and/or 3 where researchers begin by vaccinating a smaller number of healthy volunteers. As the trial continues, if the vaccine appears to be safe, it then opens up to more participants, such as those with preexisting health conditions. Large-scale phase 3 efficacy trials ultimately include tens of thousands of volunteers. The current trial lineup includes a variety of vaccine types—both tried-and-true models as well as next-generation approaches.
Wizara ya Afya nchini Australia wanapigilia msumari...
It may appear they have been developed very quickly, but researchers around the world have been working hard to develop COVID-19 vaccines from the earliest stages of the pandemic.
They have been able to speed up development of vaccines thanks to the collaboration between them, scientists, manufacturers and distributors.
The development and implementation planning phases have been run side-by side, instead of one after the other. This has been made possible because of unprecedented global funding.
In addition, research into how to respond to a pandemic has been occurring long before COVID-19.
This research looks at data from previous coronaviruses such as SARS in 2002 and MERS in 2012, giving researchers a head start when it comes to building the COVID-19 vaccines.
Kauli hiyo kwenye RED, inashabihiana na ile inayotolewa na
Medical News Today kwamba:-
Researchers were not starting from scratch when they learned about SARS-CoV-2, the virus that causes COVID-19.
Sasa endeleeni kukaririshwa na akina Gwaji Boy!!
Pia Chanjo zote zinakuwa kinga ya ugonjwa hii ya covid si kinga kwa maana unaweza kupata covid ,unaweza kuambukiza covid na unatakiwa kuchukua hatua zote ambazo wasio na chango wanazifata sasa kama unakili kazi ya hii chanjo ni nini kama sina tofauti na wale ambao hawana chanjo?
CDC hawa hapa:-
Have You Been Fully Vaccinated?
In general, people are considered fully vaccinated:-
A. 2 weeks after their second dose in a 2-dose series, such as the Pfizer or Moderna vaccines, or
B. 2 weeks after a single-dose vaccine, such as Johnson & Johnson’s Janssen vaccine
If you don’t meet these requirements, regardless of your age, you are NOT fully vaccinated. Keep taking all precautions until you are fully vaccinated.
If you have a condition or are taking medications that weaken your immune system, you may NOT be protected even if you are fully vaccinated. You should continue to take all precautions recommended for unvaccinated people until advised otherwise by your healthcare provider.
Sasa hao unaowasema wapo FULLY VACCINATED? Hawatumii dawa zinazodhohofisha kinga mwilini?
Chukua mfano wa UK kwa mfano:-
Unaona hapo ingawaje watu 84,112,856 wameshanjwa lakini zaidi ya watu 9M hawapo Fully Vaccinated (46M - 37M), na kwa maana nyingine, hao watu zaidi ya 9M bado wapo kwenye risk ya kuambukizwa na kuambukiza!!
Lakini hebu ngoja nikuulize
Mabeberu wanawaletea hizi chanjo ili kuwadhuru kwa sababu wanawaonea wivu sana!!! Na vipi kuhusu wananchi wao wanaowachanja?!
Let me guess... jibu lako litakuwa "wanazochanja wao sio wanazotuletea sisi"! Hivi nyie watu mna kipi hasa cha maana cha kuwafanya Wazungu watamani kuwafuta kwenye uso wa dunia lakini ndo vile tu wanashindwa?!
Kwamba mna Wanasayansi bora kabisa kwahiyo wanawaonea wivu tusije kuwapita?!
Kwamba, mna matajiri wa kumwaga, kwahiyo wana hofu tusije kuwa economic powers hapo baadae?!
Kwamba, mna teknolojia kubwa sana ya kijeshi na kwahiyo wanahofia isije siku za usoni tukaamua kuwa-colonize ili kulipiza?
What's so special mlichonacho cha kuwafanya watu wawaonee wivu kiasi hicho?