Mimi nafikiri sayansi ni mabishano ya hoja ktk kutafuta ukweli. Sasa mtu akija na hoja za kupotosha ajibiwe kisayansi. Apewe hayo matokeo ya utafiti yanayoharalisha mawazo yako
 
Nanukuu:Kifo cha Magufuli kitatugharimu sana waTanzania.

Tutamkumbuka sana maana hii chanjo imeleta SINTOFAHAMU NA HOFU KUU.

Endelea kumpumzika Baba ila umetuachia majanga huku.
 
Nanukuu tena:Mh. Rais tuliona aliwapigia simu mabeberu wa EU siku ile akawaweka na loudspeaker. Kwa kuwa amejipendekeza mwenyewe kwenye anga zao ni lazima wampelekeshe wanavyotaka wao.

Hapa yule bibi waziri wa mambo ya nje aka mulamula kamponza 😀 tatizo la kuweka wazee wenye stress
 
Uliye chanja akipata covi19 ateseki sana kama lakini asiye chanja akipata utapona ila cha moto unakiona
 
Chanjo ni bet pia,,there's not telling what adverse effects it could have in the long run,ila 'odd' zake ndogo,[emoji23][emoji23]View attachment 1871226View attachment 1871227
Mkuu Hadi umri ulionao hapo umechanjwa chanjo ngapi? Kuna ata chanjo moja Kati ya hizo zimetengenezwa Tanzania? Au kama Una watoto unajua wanapata chanjo ngapi na je waga unahoji au huu utambuzi wa kuhoji mnahoji chanjo ya Corona Tu?
 
Mtoa mada umeandika vizuri sana,huu ni uzi ambao nimeusoma vizuir mwanzo mwisho.

Tunamuombea JPM wetu na atabaki kuwa Rais aliefanya mambo makubwa ndani ya muda mfupi.

Atakumbukwa daima.
 
Hayo majaribio yamefanyika Tanzania?

Kama ni ndiyo, hebu naomba ripoti yake.
Kwahiyo kila dawa uliyowahi kutumia majaribio yalifanyika hapa Tanzania?
Chanjo zinatengenezwa na kampuni tofauti kutoka sehemu tofauti Duniani. Yaani wote hao walikutana wakaamua kila mmoja atengeneze chanjo ya kuja kukuua wewe!
Stupidity will never cease!
 
Mkuu Hadi umri ulionao hapo umechanjwa chanjo ngapi? Kuna ata chanjo moja Kati ya hizo zimetengenezwa Tanzania? Au kama Una watoto unajua wanapata chanjo ngapi na je waga unahoji au huu utambuzi wa kuhoji mnahoji chanjo ya Corona Tu?
Heh!
 
Sehemu kubwa ya mapingamizi dhidi ya chanjo ya Covid 19 nchini yanaambatanishwa na sababu inayosisitizwa sana ya kwamba chanjo zinatoka kwa mzungu "wa magharibi" zikiwa na lengo ovu la kutufanya mazombi, kuleta ugumba, kupachika chapa 666 n.k
Hii ni sababu ya kijinga kupindukia.Kwani si tunatumia chanjo kibao tu za magharibi kama vile chanjo ya Polio,chanjo ya kifua kikuu,chanjo ya kifaduru,chanjo ya surua na kadhalika?Kwa nini hizi zisitufanye kuwa mazombi?

Halafu kama hatuwaamini wazungu si na sisi tuwekeze katika sayansi ya tiba na madawa?Yaani sisi tupo busy katika kuwekeza katika namna bora ya kuwadhibiti wapinzani kama vile kuwabambikizia kesi za ugaidi badala ya kuwekeza katika sayansi ya tiba na madawa halafu tunalalamikia chanjo za magharibi?Mtu mweusi ni Kima aliechangamka!
 
Kwa nini chanjo ya COVID-19 imechukua muda mfupi kupatikana? Mbona ya Ukimwi haipatikani mpaka Sasa?
 
Hayo majaribio yamefanyika Tanzania?

Kama ni ndiyo, hebu naomba ripoti yake.

Ni mjinga mmoja wala hajui anachokisema huyo
Tafadhali msamehe bure!
watu wengi kumbe ni tatizo sana hapa nchini!
huyo waziri wa Afya aliwahi kuitisha mkutano akiwa na familia yake wanakunywa dawa za Asili kipindi JPM akiwepo ila Leo kutokana na tamaa za madaraka, uchu wa nyadhifa simshangai kujifanya anakana yote aliyokuwa akiyasema!
Hivi wakati ule ukasema vile, Leo unasema hivi
Je ukiondolewa Ofisini
sio ajabu akarudia statements zake za madawa ya asili!
Watu ni wanafiki sana!
Eti kamati ya corona imeundwa na Rais
hiyo kamati ikaleta ripoti utadhani ni vitabu vya Library ya shule ya secondary!
Hadi Leo hakuna anaejua hiyo kamati ilifanyia wapi shughuli zake!
Kama Barrick wakisema chanjo ni lazima basi wacha turudi tukawe machinga mtaani!
SIWEZI KUHATARISHA MAISHA YANGU!
Huwa wanaanza kwa kusema kuwa chanjo sio Lazima
Ila
Juzi Rais wa Ufaransa amesema kuwa ni LAZIMA!
 
Sema hii imeletwa Bure kama sehemu ya muendelezo wa utafiti wa hiyo dawa.
 
Ukimsikiliza Gwajima unaona kama yuko sahihi, kuna maswali kauliza .
Mfano ;
1.Nikichoma chanjo niache barakoa? Jb.Hapana.
2.Nikichanjwa sitaambukiza . Hapana.
3.Nikichanjwa sitaambukizwa? hapana.
muhimu sana hii chanjo ni ya kukinga nini sasa?
 
Kwa kuwa wajenzi wengi wanatumia miaka kujenga jengo ambalo Mchina anatumia chini ya mwezi mmoja kulijenga, ndo unataka kusema hilo jengo la Mchina sio jengo imara kwa sababu katumia muda mfupi zaidi kulinganisha na wewe bila kuangalia resources alizo nazo?!

Anyway, tuyaache hayo ya Mchina!!! Ni kirusi kipi kinasababisha COVID-19?

Mtandao wa Health Line wanatujuza:-
SARS-CoV-2, the virus that causes COVID-19, is part of a group of viruses known as coronaviruses. Hundreds of coronaviruses exist in animals, but only seven of these coronaviruses are known to cause illnesses in humans.
Kumbe COVID-19 inasababishwa na SARS-CoV-2, lakini Health Line wanaendelea:-
Kumbe hicho kirusi kinafahamika kwa takribani miaka 20 sasa!! Ni kirusi kinachofahamika, na ndo maana mwanzoni kabla ya kuanza kutumika neno COVID-19, habari zilikuwa zinaripotiwa kwamba:-
Kama jamaa ni SARS-CoV-2, na anafahamika for almost 20 years now, sasa haya mambo ya COVID-19 yanatoka wapi tena? WHo hawa hapa wanatutoa matongotongo:-
Does it matter?! Sasa ina uhusiano gani na chanjo kupatikana mapema?!

In short, unlike corona virus ya miaka ya nyuma, hii ya sasa haichagui Mchina, Mhindi, Mwarabu wala Mwafrika kulinganisha na ile ya miaka ya nyuma!

Wakati SARS-CoV-2 ya zamani ilikuwa inachagua maeneo lakini ya sasa ikapiga hodi kuanzia 10 Downing Street hadi the White House, na matokeo yake, ndicho tunachoelezwa na University of Chicago kwamba:-
Kisha wanaendelea:-
Wizara ya Afya nchini Australia wanapigilia msumari...
Kauli hiyo kwenye RED, inashabihiana na ile inayotolewa na Medical News Today kwamba:-
Researchers were not starting from scratch when they learned about SARS-CoV-2, the virus that causes COVID-19.
Sasa endeleeni kukaririshwa na akina Gwaji Boy!!

CDC hawa hapa:-
Sasa hao unaowasema wapo FULLY VACCINATED? Hawatumii dawa zinazodhohofisha kinga mwilini?

Chukua mfano wa UK kwa mfano:-
Unaona hapo ingawaje watu 84,112,856 wameshanjwa lakini zaidi ya watu 9M hawapo Fully Vaccinated (46M - 37M), na kwa maana nyingine, hao watu zaidi ya 9M bado wapo kwenye risk ya kuambukizwa na kuambukiza!!

Lakini hebu ngoja nikuulize

Mabeberu wanawaletea hizi chanjo ili kuwadhuru kwa sababu wanawaonea wivu sana!!! Na vipi kuhusu wananchi wao wanaowachanja?!

Let me guess... jibu lako litakuwa "wanazochanja wao sio wanazotuletea sisi"! Hivi nyie watu mna kipi hasa cha maana cha kuwafanya Wazungu watamani kuwafuta kwenye uso wa dunia lakini ndo vile tu wanashindwa?!

Kwamba mna Wanasayansi bora kabisa kwahiyo wanawaonea wivu tusije kuwapita?!

Kwamba, mna matajiri wa kumwaga, kwahiyo wana hofu tusije kuwa economic powers hapo baadae?!

Kwamba, mna teknolojia kubwa sana ya kijeshi na kwahiyo wanahofia isije siku za usoni tukaamua kuwa-colonize ili kulipiza?

What's so special mlichonacho cha kuwafanya watu wawaonee wivu kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…