Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Alafu una challenge wanasayansi?Ndugu wanabodi, mimi sio mwanasayansi na sina background yoyote ya medicine...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu una challenge wanasayansi?Ndugu wanabodi, mimi sio mwanasayansi na sina background yoyote ya medicine...
Watakuambia mbona chanjo ya ndui ulikubali? na hii kubali tuu
Alafu una challenge wanasayansi?
Chanja tu, vinginevyo huna mpango wowote wa kuruka nje ya nchi.mawazo tu mkuu, wala staki msaada wowote
Katika suala LA covid waliomuita Magu muheshimiwa Mungu walikuwa sahihi.
Chanja tu, vinginevyo huna mpango wowote wa kuruka nje ya nchi.
Hatuitaki...
Malizia na kufa hukufi ng'ooo
Htakuwa Kama mzee HamnazoHii inchi naona mabeberu yameikamata sasa nasema mimi binafsi sitakuja nawa mikono wala kuvaa barakoa
ilikuja corona ikasepa sembuse hii ya IMF?
msitupangie maisha na msitutishe