T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Ukichanjwa huwezi kubaliHakuna sehemu chanjo imetajwa kwenye hiyo video yako.
Anayeongea hajulikani ni nani, hata wewe unaweza ongea hivyo ukaweka video
Kama wazungu wangetaka kutuua wangeshafanya hivyo siku nyingi na sio kusubiri Corona vaccine
Wewe uwezo wa daktari unapima kwa kutumia nini? Una ufala flani hivi wa kujifanya unajua huku ni failure.. Wengine wanajua wanajua tuu mzee.Watu ambao hamjui elimu ni nini mna shida sana. Mkisikia kwamba huyu ni mtaalam basi mnashindwa kuhoji.
Halafu kuonesha ushamba wako eti Harvard, Marekani na ufaulu wa juu. Utafikiri unaongea na wanakijiji bwana!...
Daaa yan nimecheka sanaHuyu ni nani anaongea kama Mungu?
Wazungu wakitaka kutuua waafrica is just the matter of weeks
Matatizo tu ya mwafrika ni kifo tosha wala Mzungu haitaji kutupa pesa kuingia gharama kumua mwafrika.Wazungu wakitaka kutuua waafrica is just the matter of weeks
Za kuambiwa changanya na zakoHakuna sehemu chanjo imetajwa kwenye hiyo video yako.
Anayeongea hajulikani ni nani, hata wewe unaweza ongea hivyo ukaweka video
Kama wazungu wangetaka kutuua wangeshafanya hivyo siku nyingi na sio kusubiri Corona vaccine
HahahaMkuu ni usiku ila sauti ya kicheko imenitoka 😂😂 aseee..!
HahahaDaaa yan nimecheka sana
Wewe uwezo wa daktari unapima kwa kutumia nini? Una ufala flani hivi wa kujifanya unajua huku ni failure.. Wengine wanajua wanajua tuu mzee... Mtu ambaye cheti chake hakina makarai hata moja huyo anajua tuu.. Kwa hapa Tanzania atakwamishwa na vifaa tuu ambayo huwa nadra kupatikana.. Lakini kama unajua unajua tuu hata cheti kinajionyesha kwa misonge kama yoote.
Saud Arabia siyo ile iliyokuwa inawatrtea waarabu wenzao waphalestine. Hii ya sasa inawapuuza waphalestine. Nadhani umenielewa.Saudia Arabia mkuu,,tumeshaambiwa mabaharia wote kama hutaki kuchanja,,ticket ya nyumbani tayari.
Huku kwanza bila tawakalna huingii duka lolote na ukikamatwa na police huna hiyo tawakalna ni penalty au ndani...
PhD holderWatanzania wenzangu,
Huwezi tokea mzungu kutoka Ulaya na kuja kumwambia huu ukweli...
Ninayo mengi ya kuthibitisha. Wewe unataka lipi?Toa andiko kuthibitisha hoja yako
Huna akili weweKijana Msabato? Wasabato hawaaminiki. Ni dini ya Kishetani iliyojivika ngozi ya Ukristo.