T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Ukitafuta original video iliyorekodiwa na waandishi wa habari kibao na vyanzo tofauti hakuna sehemu yoyote wanatajwa Waafrika, wala chanjo, wala kupunguza idadi ya watu, wala kuua. Hizi ni propaganda za vilaza kama Gwajima, hii mimi mwenyewe naweza si ni kuondoa sauti na kuigizia matamshi ukataja maneno yako unayotaka.
Elimu!
Elimu!
Elimu!
Elimu!
Elimu!
Elimu!