Chanzo cha kuvimba uume siku moja baada ya tendo la ndoa ni kiashiria cha nini?

Wakati mwingine hata hizi manati tunazovaa huwa na shida, unaweza kujikuna mpaka ukavimba
🤣🤣🤣🤣🤣Kaka mbn kama cjakuelewa vizuri nimeharibu kucheka kimya kimya nimeshindwa hatimae saiti imetoka
 
Hizo dalili zote mimi Sina chief naona imekuborea ila ucjr nishapata huduma Nawashakuru wote mlionipa ushauri nimeufanyia kazi sasa naendelea na matibabu
 
Asante nimetoka kuna sindano nimepigiwa kutupoteza huo uvimbe na dawa naendelea nazo sasa asante kwa ushauri LENIE[emoji120]
Hahaaaa ila sisi wanaume yaani wote waliokushauri hapo juu umewaona kama DP world ukaja kumpa shukrani Lenie hahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…