Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

"sasa wewe hii tiba huipendi kwakuwa inahusiana na wanachofanya waislam" hiki sasa ndio ulichokusudia na sio hicho kichaka cha nguvu za kiume.
 
Kwenye huo mfano wako nako kuna mazingatio yanayotupeleka kule kule. Mfano kila siku unapita njiani ukienda kazini unakutana na mama ntilie au wauza maandazi wameacha vyakula vyao vinang'ong'wa na nzi.Siku ukiwa na njaa kwanza utazunguka mitaani utafuta sehemu ambako wanafunika maandazi yao.Kila ukiyafikiri yale unayoyaona kila siku unajiona kama umeshiba.Wakati huo unaweza ukaingia kwenye mkahawa ukaagiza wali ukaletewa ukala ukashiba kwa njaa yako na ukaridhika kumbe wala haukupikwa vizuri kuliko ule wa mama ntilie.Hili ndilo linalotakiwa kwa masuala yanayoungana na roho kuhusu ndoa. Uone yule uliyenaye unashiba na ni mzuri bila kujua wengine wakoje.
 
tatizo vijana hawajiamini hilo ndio tatizo ila hakuna ungonjwa labda kama mtu alizaliwa nao kula vizuri fanya mazoezi mepesi jiamini
 
Inaweza kuwa kweli nilishaacha matumizi ya simu hasa izi za smartphone , nilijikuta narudi kwenye asili, kuna vitu nilikua siviwekei uzingativu hasa mazingira na mimea nilijikuta naanza kuviwekea .
 
Hizi ni story TU,
Tatzo Vijana hamtombani ipasavyo
 
Mtoa mada huna hoja upuuzwe...

Hakuna uhusiano wowote wa kuangalia mwanamke nusu uchi na nguvu za kiume..

Kinachoounguza nguvu za kume ni kutokufanya mazoezi na kuwa mwili lege lege.


Watu wa sasa ,,hawana mazoezi ya mwili,,hata kukata mti wa mpapai atahitaji kumwajiri kibarua akate,,
 
Hakuna upungufu wa nguvu za kiume baali wanawake wameonjwa sana na wanaume wameonja sana , swala hili limeibua mijadala mingi , mwanamke anaolewa akiwa tayari ashaonjwa na wanaume kibao na maumbile tofauti tofauti na wenye nguvu tofauti tofauti , sasa akiolewa na mwenye uwezo mdogo ndo anamvumilia kwa kiasi fulani lakini baada ya siku kadhaa ni hayo huyu mwanaume hafai [emoji45]
 
Mimi sielewi dalili za upungufu wa nguvu za kiume inakuwaje ?
 
Ila wale wazee wetu ilikuaje mana walikua wanajifunika kati tu hapo mbele kazi imeisha..........na ukiangalia nguvu za kiume zamani na sasa huwezi linganisha......mie kikubwa naona ni programming tu ya akili,,uzao huu wa sasa umeathirika sana na mambo ya kuendekeza ngono
 
Kizazi cha sasa wanafanya hayo mambo kama mashindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…