Uchaguzi 2020 'Charisma' ya Tundu Lissu itazidi kumpa shida sana Magufuli na CCM kwa ujumla

Siyo charismatic, ila ni fundi wa kutukana. Na kwa maana hiyo kwenye siasa zetu za kiafrika hiyo inatafasiri ya fundi wa siasa.
Ni kweli, kuwaambia Wanawake wanataka KUPANULIWA ndio siasa safi.
 
Naam , CHADEMA inatakiwa iweke mikutano mingi sana midogo midogo ngazi za kata na vijiji na wawe focused ni kijiji au kata ipi raia wake hawawajui wapinzani na faida zao iwapo wakipewa madaraka ili raia wafunguke bila hivyo huo ni upenyo wa ccm kuvukia
Huku mijini wanaeleweka hilo lipo wazi maana watu wa mijini ndiyo wanajua siasa na walichotendewa na utawala huu kwa miaka 5 (wanayo elimu ya uraia kwa upana zaidi)
Naunga mkono ushauri wako
 
Siyo charismatic, ila ni fundi wa kutukana. Na kwa maana hiyo kwenye siasa zetu za kiafrika hiyo inatafasiri ya fundi wa siasa.
Wewe ndio unajifanya mweleo kuliko kundi kubwa la Watanzania wasome zaidi ya milioni 15 wanaomkubali??
 
Ndo yale yale ya upotoshaji bila empirical data. Nina hakika huna ushahidi wowote wa wasomi 15 mil wanaomkubali Lisu. Lakini ninajielewa kwa sababu ninaelewa na ninacho andika. Una jazba tu ya mapenzi kwa Lisu, lakini huna time ya uchunguzi kwa vitu anavyo bwajaja.
 
Sijifanyi mwelewa. Nina elimu, exposure, na taarifa za kidunia zinazo niwezesha kutambua uongo wa hero wako. Unakuja na hesabu za kuokoteza na kufikirika za wasomi watu mil. 15 eti wanaomkubali Lisu!?? Pure nonsense. Ujue, Pythagoras ni mgiriki mtaalam wa hesabu. Hesabu ni proofing, siyo kuota fugures. See it with your own eyes kwamba mikutano ya Lisu imejaa watu wa umri kati ya 20-35 walio mtaani in the middle of working days. That should tell you something kuhusu wafuasi wa huyo loser wenu.
 
Povu la foma limao
 
Ndo yale yale ya upotoshaji bila empirical data. Nina hakika huna ushahidi wowote wa wasomi 15 mil wanaomkubali Lisu. Lakini ninajielewa kwa sababu ninaelewa na ninacho andika. Una jazba tu ya mapenzi kwa Lisu, lakini huna time ya uchunguzi kwa vitu anavyo bwajaja.
Mkuu ukubali ukatae watanzania wameshamkubali Lissu. Hakuna namna tena
 
Jamen wekeni zile namba za mpesa tuchangie Kampein za Lissu
 
Charisma inambeba Lissu kwa nguvu sana, wengine tulishakata tamaa na siasa lakini, namna Lissu anavofanya mambo mpaka sasa, ametuinua sana morali zetu, na hii yote ni nguvu ya Charisma aliyojaliwa ambayo wengine wamenyimwa.
Kweli kabisa mkuu. Lisu amekuwa kama njiti ya kiberiti iliyo washwa ktk lundo la nyasi kavu. Watanzania wengi tulipoteza hamu na siasa lkn ujio wake umewaamsha.
 
Walau wewe kidogo una akili.

Ila manyumbu wenzio hata akili ya kutambua kuwa Lissu hatoshinda, hawana.

Jaribu kumuelewa amesema ni mshindi mioyoni mwa watu maana yake hata akishinda hatotangazwa
 
Kweli kabisa mkuu. Lisu amekuwa kama njiti ya kiberiti iliyo washwa ktk lundo la nyasi kavu. Watanzania wengi tulipoteza hamu na siasa lkn ujio wake umewaamsha.
Daaah nilikuwa sijaangalia mahojiano ya ITV dakika 45 kumbe alikiwasha vile.
 
Lissu hatoshinda.,,
Hata kama hatashinda NENO LA MATUMAINI LINATOSHA,KISHA WANYANG'ANYI WAPOLE HAKI ZETU. ujumbe umetinga hadi katikati ya mtima wao kuwa HAKI ZETU KWANZA maendeleo baadae na hayawezi kuwa mbadala wa UHURU WETU. Kwani hata kauli mbiu yetu ya kwanza baada ya uhuru ilikuwa UHURU NA KAZI, UHURU NA MAENDELEO mmepindua kila kitu hatutakubari na watanzania wameonyesha dhahiri hawako tayari kuuza uhuru wao kwa lolote lile.
 
Yani patachimbika na Lissu keshasema kabisa
Hatutakubali watende huo uharamia wao,haturudi nyuma maana hili ni suala la kufa na kupona.Tunataka viongozi na siyo watawala.
 
Back
Top Bottom