Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Charles Hilary afafanua sehemu ya ardhi ya Bagamoyo kumilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar

Wanaotaka serikali 3 wana matatizo sana [emoji1787][emoji1787]

Hebu tujiulize....

Kule Zanzibar hakuna maeneo ya KIDIPLOMASIA" yaliyotengwa kwa AJILI YA BARA ?!!

Kwa ajili ya serikali ya JMT ?!!!

Ndani ya mambo ya serikali ya JMT huwa kunafanyika mengi yanayohusu bara....mengine Zanzibar.....

Kuna mambo hayawekwi HADHARANI kwa MASLAHI mapana ya JMT na yasiyo ya BUSUBUSU ZA MISIGANO YA ITIKADI ZA KISIASA....

#SiempreSerikaliMbiliZaJMT[emoji120]
 
Mh.Makamu wa Rais Dr.Mpango ametukemea VIJANA kwa tabia zetu mbaya za UKOSEFU WA MAADILI NA UTII KWA NCHI....

Maslahi mapana ya nchi ni zaidi ya hisia za mikinzano ya makundi ya kisiasa.....

Hayati Nyerere aliona mbali mno na kutufinyangia taifa hili lililo bora pasi na USHETANI wa KILIBERALI na UHOVYO wa UKABILA ,UKANDA NA UDINI......

Zanzibar ni eneo la JMT....mambo ya JMT ni kwa ajili ya ustawi wa WATANZANIA....tunataka kusema wazanzibari wana thamani ndogo ya uraia wao wa JMT kushinda tulio nao sisi wa huku bara ?!!

Huu nao ni UCHIZI mpya [emoji1787][emoji1787]
 
Angalizo tu; wachangiaji baadhi wajue hilo eneo limetolewa tangu enzi za Mwalimu. Wasije kufikiria ni awamu ya sita. Maana kuna wavivu wa kusoma history ya nchi ila wepesi kujadili history ya nchi wasiyoijua.[emoji120][emoji120][emoji120]
Walipewa enwo walitumie kwaajili ya kunenepeshea mifugo, hawakupewa umiliki wa ardhi, ndiyo maana hawakupewa hati.

Wasije wakafanya uhuni wa kutengeneza hati sahizi kwa sababu wameishikilia serikali.
 
Back
Top Bottom