Naona upo busy kutoa Rushwa ili kupoteza ushahidi wote kisha kesho uje ukanushe kuwa hakuna kilichofannyika kabsa, Watanzania wa Sasa wameamka wanajua mbinu zote mnazotumia kukwepa Majipu yasitumbuliwe .Nimesoma comments za watu wengi humu ndani nimegundua wana conclude na kuhukumu kabla hata ya kupata upande wa pili wa habari. Watanzania sasa hivi tumekuwa watu wa ajabu tunapenda na kufurahia watu wakipata shida, wakifukuzwa kazi, wakipelekwa mahakamani na kupata mateso. Sijui hata tunaelekea wapi. Sina uhakika na ukweli wa habari hii ila ninachojua Mkurugenzi wa Nida sio owner wa Infosys. Nimeshangaa kama mwandishi wa habari ameshindwa kufanya research kidogo tu na kujua nani owner wa Infosys, kwanini niendelee kuamini habari yote. Ukweli utajulikana tu. Lakini watanzania tuache ushabiki hasa kama hatujapata taarifa kutoka pande zote mbili.
Mkuu utakuja kushangaa wanakana kila kitu , watajifanya kuwa hiyo kampuni sio Yao na wao si marafiki kabsa, watatumia Rushwa kupoteza ushahidi woote , usije kushangaa Yale ya kumlinda Kama Mwakyembe yanatokea hapo.Natafakari...
1. Charles Kitwanga ni msiri wa Dr.Magufuli na ndiye aliyeonekana katika video clip moja akimshauri Dr Magufuli "achukue fomu". Kweli Dr.Magufuli "alichukua fomu".
2. Mara ghafla anateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, moja ya Wizara nyeti kabisa - maana inahusika na Usalama wa Raia na hata "Ujambazi" pia mara moja-moja.
3.Halaf muda si mrefu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA anafukuzwa kazi na fasta-fasta anatafutwa mtu mmoja aitwaye Dr.Kipilimba na kuteuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIDA - na inatangazwa kwamba mikataba yote ya NIDA ivunjwe;huyu Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIDA ni business partner wa Waziri wa Mambo ya Ndani - Wizara ambayo ndo ina jukumu la kuratibu mradi wa Vitambulisho vya Taifa...
4. Charles Kitwanga na Dr.Kipilimba wote wamepata kufanya kazi pamoja BOT.
Ninachokiona:
Charles Kitwanga amemweka Dr. Magufuli mfukoni na Dr Magufuli hakika hafurukuti...hapa umetengenezwa mtandao wa kupiga pesa za serikali kwenye miradi yote inayohusiana na teknolojia ya habari na mawasiliano, na hasa ile inayohusu taasisi zinazosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Ndani.
Najiuliza...
Na hakika hapa najiuliza tu...how clean is Dr Magufuli?
Tama utashika sana pindi ukisikia kuwa kamati ya Bunge imekuta watuhumiwa wapo safi hawana kosa lolote wapo huru kuendelea na mambo Yao , hii ndiyo Tanzania kila jambo linawezekana na Sasa watuhumiwa watakuja na mpya kali kuliko zote .Nakumbuka kitabu cha kiswahili cha darasa la saba enzi hizo kikiitwa Tujifunze Lugha Yetu 9. Mojawapo ya sura nilizozipenda ni sura ya kwanza isemayo Brown Ashika Tama. Nimeshika tama!!
Mkuu Uchunguzi hapo haupo na haitakuwepo kabsa bali watazuga wanachunguza na jawabu utapewa kuwa tuhuma ni feki hawana Tatizo wapo safi .Idara na taasisi nyingi tu, ndiyo mchezo yao kuongeza sifuri, kununua na kupokea vifaa hewa, tutasikia mengi muhura huu, ila tusubiri uchunguzi ufanyike, maana hatujui kama ni kampuni A au B ndiyo ilifikisha vifaa hewa site, baada ya uchunguzi nadhani mbivu na mbichi tutazijua.
Sasa Laana ya wafanyakazi wa NIDA wanaodai pesa zao ndiyo imeibua haya.Kweli kabisa mkuu....
Hao ndo walioshika nafasi za watumbuliwa!! Jibu limeota juu ya jipu!! Tulisema lakini very soon sanaa zitakwisha tutarudi kwenye uhalisia!!
Wengi waliotumbuliwa walitumbuliwa kwa majungu... Ghilba.... Inda visasi na wivu....
Huyo kitwanga alipeleka majungu kuhusu boss wa NIDA na uhamiaji ili watumbuliwe achomeke mawakala wake!!!
Nchi hii kazi IPO......
Kamanda kwa huyo jamaa na MAGU inavyosemekana ni sawa na Mizizi na udongo....so hata kama atakuwa na Kashfa kutegemea amtumbue nisawa na kungoja....MELI Airport... Maana utasubiri sanaAjiuzulu Sheria ichukue mkondo wake
Ndugu bado unawaza porojo za MkwereMawazo ya Kikwete ya kutenganisha biashara na siasa yaliishia wapi?
Unajua ndg yangu kuna majitu yanatumia kile kiungo cha kutolea uchafu kufikiri ndio maana watu km hao ukikuta utumbo anaondika unaachana nae tu....Hayo nadhani ndio kati ya 46 mkwereHii kazi uliyopewe utaiweza kweli, mbona Kama wamekutwisha gunia la misumari ukimbie nalo.?
Na kitakachofuata ni kesi/tuhuma za wabunge kupokea rushwa zote kupigwa chini kwa kisingizio cha kukosekana ushahidi.Hii ndio inaitwa system.Tama utashika sana pindi ukisikia kuwa kamati ya Bunge imekuta watuhumiwa wapo safi hawana kosa lolote wapo huru kuendelea na mambo Yao , hii ndiyo Tanzania kila jambo linawezekana na Sasa watuhumiwa watakuja na mpya kali kuliko zote .
Acha kuamini Porojo za Lumumba....sasa kukaa Mwezi mzima ndio aibuke na KITWANGA sababu yakuchelewa Mkwere alikomba Hazina yote wala sio kwamba sijui alikuwa anachuja watuLakini tuliaminishwa kuwa ilimchukua JPM muda wa zaidi ya mwezi kuunda baraza kwa vile alikuwa anachekecha kwa makini magambas yote ili apate the cream. Sasa hii ndio the cream yake? Basi atakuwa naye ana matatizo yaliyojificha nyuma ya ngozi ya 'utumbuaji majipu'. yawezekana naye ni JIPU
Mkuu kama unajua vzr funguka usiishie kulaumu tuNimesoma comments za watu wengi humu ndani nimegundua wana conclude na kuhukumu kabla hata ya kupata upande wa pili wa habari. Watanzania sasa hivi tumekuwa watu wa ajabu tunapenda na kufurahia watu wakipata shida, wakifukuzwa kazi, wakipelekwa mahakamani na kupata mateso. Sijui hata tunaelekea wapi. Sina uhakika na ukweli wa habari hii ila ninachojua Mkurugenzi wa Nida sio owner wa Infosys. Nimeshangaa kama mwandishi wa habari ameshindwa kufanya research kidogo tu na kujua nani owner wa Infosys, kwanini niendelee kuamini habari yote. Ukweli utajulikana tu. Lakini watanzania tuache ushabiki hasa kama hatujapata taarifa kutoka pande zote mbili.