Wote watalindwa na kuishia maneno matupu bila vitendo .Lugumu: Vituo 14 for Tzs.34 billion zilizo lipwa miaka mitatu iliyopita.
NIDA: ID million 2 tu for Tzs.167 billion already invested.
Ni wale wale na yale yale. Hii nchi ni shetani tu ambaye bado ni msafi mbele ya Mungu.
Magufuli akitumia style ya China na South Korea Serikali yote itafungwa Jela maana hakuna Msafi wote wana madoa na madhambi Yao , ni vigumu kufuata sheria za China kwani tayari ameonyesha mfano Kwa kumlinda Mwakyembe juu ya Ununuzi wa mabehewa chakavu.Jpm kuna tetesi ataenda china,sio mbaya akajifunza jinsi ya kuwashunghulikia mafisadi one and for all! Akitoka china aenda south Korea kuna mengi saana ya kujifunza kutoka huko kwa Raisi wao.
Mkuu watakuwa walimshauri lakini wakati mwingine huamua kufumba macho na kuweka Chaguo lake binafsi matokeo yake ndiyo haya Sasa , itatumika pesa nyingi kwenye Rushwa kuhakikisha kuwa haingii kwenye kutumbuliwa JIPU , hizo pesa za kupoza Hilo Janga zingeweza kununua vitanda vya wagonjwa kule Mwananyamala Hosptal , Ilala na temeke na zikasalia Chenji .Hivi kunakuwaga hakuna taarifa za awali au tuseme uchunguzi wowote unaofanyika kabla ya mtu kutangazwa kuwa kiongozi mkubwa wa kiserikali mfano kama huyo waziri?
Huwezi kabisa kuelewa system ya hii nchi, Magufuli anajinasibisha kwa usafi wake binafsi na ule wa anaowateua, lakini wengi ni mabomu, tulianza na Mwakyembe, akaja Makamba na sasa huyo Kitwanga na mwenzie
Ukweli upi unaosema ww kama doc za brela zinasomeka majina ya wawili hao au unataka kutuaminisha tukuamini ww na sio doc za brelaKwenye ukweli lazima tuseme. Ila fisadi hata kama ni ndugu yangu siwezi kuvumilia ni lazima atumbuliwe. Nimejaribu kuelezea kwa jinsi ninavyoifahamu infosys IPS Ltd na Mh. Charles Kitwnga.
Magufuli ni mwanasiasa Safi hawezi kuwajibisha wanasiasa wenzake anachofanya ni kudeal watumishi tena ambao walimnyanyasa enzi za mzee wa msogaKama JPM ange hitaji mawaziri wasafi mwakyembe Na Muhongo wasinge kuwa mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, pia makamba mpaka sasa asinge kuwa waziri ange chukua Hatua kali baada ya kashfa ya Koki Za mafuta kule bandalini Na hiii ya makamba ,Muda huu kitwanga angekuwa kaisha andika Barua ya kujiuzulu!kwa kuwa tuna lindana tutaendelea kuwatimu watumishi wa serikali huyu wana siasa wakifanya Kila aina ya uchafu wakiachwa!
wewe ndo chenga kabisaaa.nimeamini watanzania sie ni MBUMBUMBU kweli INfosys ni ya kitwanga?? mnanichekesha kwa hiyo hata
apple ni ya ridhiwani
microsoft ni ya jakaya
klm ni ya pinda
Kitwanga awe anamiliki Infosys angeutaka kijiuwaziri chenu hicho
JF ya watu ambao ni great thinkers iko wapi?? vi thread vya kipuuzi kama hivi vinajadiliwa kweli??
watu ambao ni ma NYUMBU wanajadili bila hata kuthink twice... okaya hata kama hujui kitu jaribuni ku google tatizo letu google tunakazi ya kufungua PORNHUB
infosys ni ya BILIONAIRE NARAYAN MURTHI na makao makuu yake ni Bangalore India na revenue ya $8 BILLIONS per year
kwa taarifa yako hata mwl nyerere na sokoine mwaka 84 kwenye zoezi la uhujumi uchumi walilishindwa baada ya kugundua wanasiasa wenzao ndio mapapa waliishia kudeal na watu wadogowadogo muulize mhe Hamad Rashid anajua kilichotokeaKama itakuwa ni kweli haki itendeke kwa speed ile waliotumbuliwa majipu wengine na wao pia watumbuliwe sheria ni msumeno.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
kwa taarifa yako hata mwl nyerere na sokoine mwaka 84 kwenye zoezi la uhujumi uchumi walilishindwa baada ya kugundua wanasiasa wenzao ndio mapapa waliishia kudeal na watu wadogowadogo muulize mhe Hamad Rashid anajua kilichotokea
kwa taarifa yako hata mwl nyerere na sokoine mwaka 84 kwenye zoezi la uhujumi uchumi walilishindwa baada ya kugundua wanasiasa wenzao ndio mapapa waliishia kudeal na watu wadogowadogo muulize mhe Hamad Rashid anajua kilichotokea
Unashangaa nini huo ndio ukweli kama una ukalibu na watu waliokuwa kwenye system waulize hilo zoezi la uhujumi liliishaje?hadi kipindi cha Nyerere????
Sawa faiza foxy, una ID zaidi ya 60 humuNdg.kwanza fanya marekebisho yafuatayo kwenye hoja yako:-
1. Rais siyo Rahisi.
2. Majipu yaliyoiva siyo hiva.
3. Hamna lolote siyo amna lolote.
4. Magazeti aliyotumia siyo haliyotumia,
5. Mbiguni hesabu siyo esabu.
Mkuu huo ndiyo Ukweli mtupu Pesa inayotumika kukwepa kutumbuliwa JIPU ingeweza kujenga Hisptal kubwa kuliko Muhimbili na kuajiri madaktari toka India ambapo wagonjwa wote wangeponea hapo na kumaliza Safari za kwenda India kutibiwa .Kama JPM ange hitaji mawaziri wasafi mwakyembe Na Muhongo wasinge kuwa mawaziri wa serikali ya awamu ya tano, pia makamba mpaka sasa asinge kuwa waziri ange chukua Hatua kali baada ya kashfa ya Koki Za mafuta kule bandalini Na hiii ya makamba ,Muda huu kitwanga angekuwa kaisha andika Barua ya kujiuzulu!kwa kuwa tuna lindana tutaendelea kuwatimu watumishi wa serikali huyu wana siasa wakifanya Kila aina ya uchafu wakiachwa!
Atakuwa anakunyima wewe Kwa kuwa umekula pesa zake na bado umeshindwa kumtetea unahofu utadaiwa Kwa kazi hewa uliyofanya.Comments nyingi zimejaa wivu tu na chuki. Huyo Kitwanga anawanyima usingizi.
Huko woote wana madhambi hakuna Msafi hata mmoja...... kutafuta msafi ndani ya ccm ni sawa na kutafuta bikra kwa changudoa
Natafakari...
1. Charles Kitwanga ni msiri wa Dr.Magufuli na ndiye aliyeonekana katika video clip moja akimshauri Dr Magufuli "achukue fomu". Kweli Dr.Magufuli "alichukua fomu".
2. Mara ghafla anateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, moja ya Wizara nyeti kabisa - maana inahusika na Usalama wa Raia na hata "Ujambazi" pia mara moja-moja.
3.Halaf muda si mrefu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA anafukuzwa kazi na fasta-fasta anatafutwa mtu mmoja aitwaye Dr.Kipilimba na kuteuliwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIDA - na inatangazwa kwamba mikataba yote ya NIDA ivunjwe;huyu Mkurugenzi Mkuu mpya wa NIDA ni business partner wa Waziri wa Mambo ya Ndani - Wizara ambayo ndo ina jukumu la kuratibu mradi wa Vitambulisho vya Taifa...
4. Charles Kitwanga na Dr.Kipilimba wote wamepata kufanya kazi pamoja BOT.
Ninachokiona:
Charles Kitwanga amemweka Dr. Magufuli mfukoni na Dr Magufuli hakika hafurukuti...hapa umetengenezwa mtandao wa kupiga pesa za serikali kwenye miradi yote inayohusiana na teknolojia ya habari na mawasiliano, na hasa ile inayohusu taasisi zinazosimamiwa na Wizara ya Mambo ya Ndani.
Najiuliza...
Na hakika hapa najiuliza tu...how clean is Dr Magufuli?