Siyo kwa bunge la Job Ndugai angalia hata kwenye uchaguzi wa kamati za PAC na LAART, ambazo kimsingi ni za kuisimamia serikali alivyozichakachua,Kama Bunge lisipokubali kupiga vigelegele na likafuatilia, hakuna mtu atapona.
Kazi ya Bunge ni kuishauri na KUISIMAMIA serikali. Likitimiza wajibu hizo mbili nchi itarudi kwenye mstari
Basi huo upepo utaondoka na watu...
Hao hawawezi kuhuswa
1 kwa dini yao
2 kwa uwezo wao
3 kiburi chao
4 mvinyo ndio ule ule
Kwa hiyo wale tuliowapa mamlaka ya kukusanya kodi na kuzitumia ili kutuletea maendeleo wanapoacha jukumu hilo na wanaishia kuziiba na kufisidi, wewe na upofu wako wa akili na mapenzi yako ya kijuha ya CCM unataka tusijadili, tusishutumu, kwa kufananisha hawa wenye dhamana wanaotuibia mabilioni kama siyo matrilioni ya shilingi na kufananisha na petty thieves wa misikitini, makanisani na Saccos na vyama vya upinzani? You are nut, keep it in your mind you are nutUnafiki sio tusi ni sifa ya mtu mwny kupenda kujifanya anazungum ziada upande mmoja. Kwa hiyo ukiwa unazungumzia jambo kinafiki nafki hatutaepuka kukukanya. Kukumbusha kuwa Mbowe kasema Rushwa ndani ya Chadema na ukosefu wa nidhamu viliwakosesha ushindi iweje uwe mkali?
Kutokufikishwa Mahakamani sio kigezo kuwa ni wasafi.
Unafiki ni kuamini Misikitini,Makanisani,Saccos na Vyama vya Upinzani hakuna Rushwa kwa kuwa tu hawajafikishwa Mahakamani
Ushahidi wa January Makamba na dada yake Mwamvita kwenye utapeli wa yule mtaliano nao haukupatikana au haujapatikana? Usiwafanye watu wote wajinga kama umeamua kuwa mjinga wewe, niambie kuna mwanasiasa gani katumbuliwa? Kungekuwa kuna wenye akili na nidhamu mtu mwenye tuhuma kama Chenge angepewa uenyekiti wa bunge?Kweli wingi wa division 0 n 4 si kwasababu walimu kwasababu mmeamua kuzipata kwa kupindisha mafundisho ya walimu wenu.
Tuhuma zimevumisha hata mwezi bado, ushahidi hata haujapatikana, mmejaa mapovu kumlaumu Magufuli na kuanza kutoa mahitumisho,
Jamani, kuweni na hata kumbukumbu ya yale mliyo elekezwa. ' no evidence no right to speak'.
Sidhani kama hii ni cream yake halisi aliyokuwa anaitaka ndiyo maana kabla ya kuitangaza nakumbuka Mwenyekiti alimuita wakampa mikakati ya chama kama kisingizio kuwa chama kinataka hivi otherwise kama nae ni mmojawapo basi ajitumbue tu
Hivi Hosea alikuwa ni kabila gani...?!Unajuwa ni kabira gani huyo? Ukijuwa ni kabira gani basi habari za kutumbuliwa huyo sahau kabisa
Anaitwa Charles,tunachambua bila kujali ni wa imani yetu.mguse Dau sasa weeee(in Joti's voice)
Mkuu ni kabira gani maana bado yupo hai...ni ngooshaaa gheeete gheeeeteeeeHivi Hosea alikuwa ni kabila gani...?!
Simtetei magu wala JK, tena nataka wapasuane haswa. Hawa ndiyo waliotufikisha hapaHiyo ni cream yake hapo KIKWETE hahusiki hata chembe, wateule wake wengi wamepigwa na chini kwa nini asingewatetea hao waliopigwa mwereka??? tafuteni blanketi lakunfunika Magu sio KWIKWETE haingii hapo. Hushangai watu wanakwambia kuwa huyo KITWANGA ni rafiki wa kufa na kupona wa Magu??? tafuta lingine sasa.
Simtetei magu wala JK, tena nataka wapasuane haswa. Hawa ndiyo waliotufikisha hapa