Jielekeze kwenye hoja na jibu swali sio kuporomosha matusi.Wewe umelogwa unafananisha hiyo saccoss na TANU, walevi wanatafuna tu ruzuku pale makao makuu ufipa utafikiri zile nyumba ya kulala wageni kule uwanja wa fisi
Tupe habari zaidi.Walioshusha Bendera za Taifa za chadema muda huu wamelazwa kwa kichapo cha wananchi wenye hasira Kali.
Mgombea ubunge CHADEMA 2015 alipata kura 40000+ unafikiri hiyo ni idadi ndogo ?Chato hamna chadema ni kujiongeza tu.
Chadema ni watu wastaarabu sana na wanaojitambua hawana muda wa kuchana matambala tu.Hivi kwa nini Chadema nao wasichane bendera za ccm? Iwe jino kwa jino, jicho kwa jicho.
Ushasema 2015Mgombea ubunge CHADEMA 2015 alipata kura 40000+ unafikiri hiyo ni idadi ndogo ?
Hatujawahi sikia watu 40000 wamekihama CHADEMA akiwemo aliyekuwa mgombea ubunge husikaUshasema 2015
Usitegemee kusikia sasa.Za kuambiwa changanya na zako.Hatujawahi sikia watu 40000 wamekihama CHADEMA akiwemo aliyekuwa mgombea ubunge husika
Mwaka 2014 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa chadema ilishinda mitaa yote ya jimbo hilo , ikiwemo mtaa anaoishi Magufuli
unalia au unalalamika ?Enzi hizo Mlezi wa Chadema wa nyuma ya pazia alikuwa anaishi Magogoni na aliwabeba sana maeneo mengi ikiwemo Hai kwa kukifunga Mikono Chama kisitetee jimbo
Na alifanya hivyo majimbo kadhaa ikiweno Kigoma Kaskazin, Hai, Ubungo na Uvinza
Tulimstahi tu lakin chezo lote tulilijua, hata NHC walizuiwa mara kadhaa kuchukua jengo lao la bilicanus
Huko tuendako?Naionea huruma mama Tanzania, maana huko tuendako tutaanza kubaguana hata misibani
Huko tuendako?
Bado hatujafika huko, au wewe mkuu 'Mmawia' bado unaona tupo njiani kwenye safari?
Basi huko tuendako, ambako picha yako bado haijakuonyesha kulivyo patakuwa ni pa kutisha sana!
Lakini nisikulaumu bure, haya maneno uliyoandika hapa ni dalili tosha kabisa ya mtu kukata tamaa.
View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Kwanza zinatafuta nini huko??View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Tuntemeke habari ya siku mkuuKwanza zinatafuta nini huko??
Kuna siku inaweza ikatokea ajali; hapo ndipo tutakapoanza kutazamana na kuulizana imekuwaje sasa.View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Bila shaka hii picha haitakosekana kuwepo 'Maktaba.'View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
Kwa hiyo kuchomeana bendera ruksa!?View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?
"Uchaguzi utakuwa huru na haki,ole wake atakayeleta vurugu" Sasa hao walioshusha bendera wamechukuliwa hatua gani?Je zingeshushwa za ccm mamlaka husika ingeendelea kuuchuna kama ambavyo inauchuna sasa?Haya mambo yatakuja kuleta athari kubwa ktk taifa letu.TUTUMIE AKILI ZETU VIZURI.View attachment 1482608
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa , ambapo kabla hata kipyenga hakijapulizwa haya yanatendeka , Je ni nani aliyeagiza upuuzi huu ?