Sasa suluhu ya hayo unayoita "matusi" ni kuchoma moto gari yao?
Ina maana wewe na kichwa chako hicho cha kufugia nywele hujui kuwa kumtukana matusi mtu mwingine ni kosa la jinai?
Kwanini yule anayedai na kudai kutukanwa asiende mahakamani kumshitaki mtukanaji ili sheria ichukue mkondo wake?
Wewe unadhani kwanini nisikuite wewe
Kinengunengu ni mjinga na mpumbavu kwa kuwa na fikra hizi?