Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mda mnakosa akili huyo dj ni mkristo, dereva ni mkristo? Tafutene kingine labda!Safi sana .. wangetumia petrol nyingi wabaguzi wa dini hawa ..nawachukia chadema acha tu
Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la kulichoma moto likiwa limepaki na magari mengine eneo la Twiga Lodge.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lillifika eneo la tukio na kuzima moto kabla hayajatokea madhara zaidi.
=====
Taarifa za awali, Gari ya matangazo (PA) M4C T 658 DQL niliyotangulia nayo kwaajili ya matangazo imenusurika kuteketea kwa moto baada ya ccm kufanya jaribio la kuichoma kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu usiku huu saa 1:10 Usiku.
Gari husika baada ya kumaliza mkutano uliofanyika Jimbo la Mbogwe jioni niliondoka nalo kuelekea chato na kuanza matangazo baada ya matangazo lilihifadhiwa TWIGA LODGE ambapo yapo magari ya watu tofauti zaidi ya matano (5) yaliohifadhi pia ila yote yako salama isipokuwa M4C ya chama.
Jeshi la zima moto na uokoaji lilifika eneo la tukio na kuzima moto husika kabla hayajatokea madhara zaidi.
Kinachoendelea sasa ni mimi, DJ Othuman na Dreva Ally kutafutwa hapa chato muda huu kila Lodge wanagonga chumba kwa chumba at wakisema ni zamu yetu kuchomwa moto.
Upuuzi huu unafanywa na Dola + Uvccm.
Yohana Kaunya
KM - Bavicha Taifa ,
Chief of staff Team ya Makamu Mwenyekiti chadema (Mhe. Tundu lissu)
Saa 1:30 Usiku (Chato)
02,Augost 2023.
________
View attachment 2705711
View attachment 2705712
View attachment 2705713
Wewe nani unatisha watu?Msifieni na mpeni umwamba na ukubwa wa kijinga tu. Mshaurini aache tukana viongozi.
Usikurupuke kujaza upuuzi wako humu katika mambo mazito. Sikiliza ili.NAONA CHADEMA WAMESHAANZA KUFANYA MAMBO YAO YA KITOTO!
Ili kupata huruma kwa umma[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Akili za kitoto sana hizi..
#Mtoa Mada umetuhumu direct/moja kwa moja, je Vyombo Vya uchunguzi vimeshafanya kazi yake juu ya tukio hilo? Kwa hao uliowatuhumu?/unaweza kuingizwa hatiani kwa tuhuma zisizo sahihi.
Tunawaomba Deep State wawe makini na Hawa CCM kuna siku wataleta vita.Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la kulichoma moto likiwa limepaki na magari mengine eneo la Twiga Lodge.
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lillifika eneo la tukio na kuzima moto kabla hayajatokea madhara zaidi.
=====
Taarifa za awali, Gari ya matangazo (PA) M4C T 658 DQL niliyotangulia nayo kwaajili ya matangazo imenusurika kuteketea kwa moto baada ya ccm kufanya jaribio la kuichoma kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu usiku huu saa 1:10 Usiku.
Gari husika baada ya kumaliza mkutano uliofanyika Jimbo la Mbogwe jioni niliondoka nalo kuelekea chato na kuanza matangazo baada ya matangazo lilihifadhiwa TWIGA LODGE ambapo yapo magari ya watu tofauti zaidi ya matano (5) yaliohifadhi pia ila yote yako salama isipokuwa M4C ya chama.
Jeshi la zima moto na uokoaji lilifika eneo la tukio na kuzima moto husika kabla hayajatokea madhara zaidi.
Kinachoendelea sasa ni mimi, DJ Othuman na Dreva Ally kutafutwa hapa chato muda huu kila Lodge wanagonga chumba kwa chumba at wakisema ni zamu yetu kuchomwa moto.
Upuuzi huu unafanywa na Dola + Uvccm.
Yohana Kaunya
KM - Bavicha Taifa ,
Chief of staff Team ya Makamu Mwenyekiti chadema (Mhe. Tundu lissu)
Saa 1:30 Usiku (Chato)
02,Augost 2023.
________
View attachment 2705711
View attachment 2705712
View attachment 2705713
Waweza kuwa na akili lakini zikawa kama za mbuzi. Hujaelewa hawa wamesema nini?Duu naona ni Kiki ya Kizamani sana. Wameona wakiingia hasara kutengeneza Kiki wamelitafuta Gari Bovu na Kulipiga Moto.
Na Hii Mbinu ya Kupita kwenye Nyumba za Watu na Nyumba za Kulala Wageni kujifanya nyie ni CCM lengo likiwa ni kutengeneza taharuki ni Mchezo wa Kitoto. Fanyeni Siasa, huo Upuuzi hautowasaidia Kitu.
Na nitashangaa sana kama hawa UVCCM Chato hawatashughulikiwa na kufunguliwa mashtaka ya uchochezi na kuharibu mali kwa kuchoma moto.CCM wameanza siasa za kipumbavu sn
Nyie ndio mpaka mmeshtukiana kwa huu uchawa wenu. No points at all zaidi ya kubwabwajaKama CHADEMA walishawahi kujipiga bomu kwenye mkutano wao wenyewe pale viwanja vya soweto, Arusha inakuwa ngumu kutoamini hata hilo gari wamelichoma wenyewe ili kupata huruma. CCM haina muda mchafu wa kufikiria kuchoma gari la chama mfu. Tuko bize kutimiza ahadi tulizotoa mwaka 2020.
CCM OYEEE! No Chawa. Asante wakosoaji. Endeleeni msichoke tuko pamoja.Nyie ndio mpaka mmeshtukiana kwa huu uchawa wenu. No points at all zaidi ya kubwabwaja
View attachment 2705896
Usikurupuke kujaza upuuzi wako humu katika mambo mazito. Sikiliza ili.
Tuko kwenye kuiponya nchi, acha Kamanda aende. Tuvumilie tu.Akamuombe msamaha mtu aliyeagiza apigwe risasi?