Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

Chato: Gari la matangazo ya mikutano la CHADEMA lanusurika kuteketea kwa moto

Baada ya Tundu Lissu kusema afadhali sana Magufuli kuliko Rais Samia, na kuwa ataenda Chato kaburini kwake kuongea nae jinsi Samia alivyoharibu nchi, huko Chato ameonjeshwa ladha ya siasa za Kimagufuli baada ya gari alilokuwa akitumia kuchomwa moto
Screenshot_20230802-094639.png
 
Wahuni tu wa Ccm masilahi ndio wanachafua hali
 
Baada ya Tundu Lissu kusema afadhali sana Magufuli kuliko Rais Samia, na kuwa ataenda Chato kaburini kwake kuongea nae jinsi Samia alivyoharibu nchi, huko Chato ameonjeshwa ladha ya siasa za Kimagufuli baada ya gari alilokuwa akitumia kuchomwa moto
View attachment 2705914
Ndio Siasa za Wanaume Jasiri lazima ukaribishwe kiume 🔥🔥😄😂
 
Hayo ni maelekezo yenye ulinzi kwa watekelezaji.
 
Baada ya Tundu Lissu kusema afadhali sana Magufuli kuliko Rais Samia, na kuwa ataenda Chato kaburini kwake kuongea nae jinsi Samia alivyoharibu nchi, huko Chato ameonjeshwa ladha ya siasa za Kimagufuli baada ya gari alilokuwa akitumia kuchomwa moto
View attachment 2705914
Ukhoto We Sizwe kimtindo
 
mzimu wa marehemu umechukizwa na mnafiki na mzindaki huyu..(kwa HIYO alikuwa anakwenda kumkejeli marehemu,wakati amefariki walijipongeza leo eti ndio wanakwenda kuhani,kama sio unafiki hii ni nini )
 
Gari lililokuwa linatumika kufanya matangazo (PA) ya mikutano ya Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tundu Lissu, lenye namba za usajili T 658 DQL limenusurika kuteketea kwa moto usiku huu Chato mkoani Geita baada ya watu wasiojulikana kutaka kufanya jaribio la kulichoma moto likiwa limepaki na magari mengine eneo la Twiga Lodge.

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji lillifika eneo la tukio na kuzima moto kabla hayajatokea madhara zaidi.

=====

Taarifa za awali, Gari ya matangazo (PA) M4C T 658 DQL niliyotangulia nayo kwaajili ya matangazo imenusurika kuteketea kwa moto baada ya ccm kufanya jaribio la kuichoma kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu usiku huu saa 1:10 Usiku.

Gari husika baada ya kumaliza mkutano uliofanyika Jimbo la Mbogwe jioni niliondoka nalo kuelekea chato na kuanza matangazo baada ya matangazo lilihifadhiwa TWIGA LODGE ambapo yapo magari ya watu tofauti zaidi ya matano (5) yaliohifadhi pia ila yote yako salama isipokuwa M4C ya chama.

Jeshi la zima moto na uokoaji lilifika eneo la tukio na kuzima moto husika kabla hayajatokea madhara zaidi.

Kinachoendelea sasa ni mimi, DJ Othuman na Dreva Ally kutafutwa hapa chato muda huu kila Lodge wanagonga chumba kwa chumba at wakisema ni zamu yetu kuchomwa moto.

Upuuzi huu unafanywa na Dola + Uvccm.

Yohana Kaunya
KM - Bavicha Taifa ,
Chief of staff Team ya Makamu Mwenyekiti chadema (Mhe. Tundu lissu)
Saa 1:30 Usiku (Chato)
02,Augost 2023.
________

View attachment 2705711
View attachment 2705712
View attachment 2705713
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Back
Top Bottom