Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakwenda kuomba msamaha acha aende ili maandiko yatimie.Hakuna haja ya Lissu kwenda pale aachane nao
Kwa picha hizo limenusurika vipi hapo, mbona kama limeungua tayari.
UVCCM Chato walipiga mkwara eti asiende kwenye kaburi la Magufuli; utadhani wao ndio wamekuwa wasemaji wa familia yake.
UVCCM ambao awakwenda hata kwenye misa ya kumbukumbu yake, mtu pekee aliekuwa kavaa nguo za CCM siku ya kumbukumbu ya Magufuli ni kale ka binti ka Samia ndio kiliwakilisha UVCCM kamekaa peke yake. Wenyewe UVCMM Chato hawakufika leo wanajifanya wanaumia sana na kaburi lake.
Kiwango cha unafiki wa CCM kinapitiliza swala la Lissu kwenda kwenye kaburi la Magufuli ni uamuzi wa mjane wake na familia yake; sisi wengine alituhusu.
Akamuombe msamaha mtu aliyeagiza apigwe risasi?Anakwenda kuomba msamaha acha aende ili maandiko yatimie.
Stupidly primitive way of life!Waulize wanaolalaga Juu ya kaburi la Kanumba
Au wanaoenda kuchota mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif
factStupidly primitive way of life!
tupo sana kushuhudia maajabu ya siasa mpk 2025..aaah tutakua tumeona mengi sana mkuuSiasa zinefika patamu sasa
Mpate mpate huu hadi 2025
ila kiukweli JPM alikuwa Mwamba sana
Hawa Chadema walikuwa kama Vigori wanaochezwa aliwapiga marufuku kwa miaka yake yote ya Madaraka na waliufyata
Sema siasa za chama cha mapinduzi kinataka mtoane macho!!Aisee siasa inafanya mtoane macho nyie
... kama waliweza kumuua kiongozi wa chama (Kamanda Mawazo) maeneo hayo na hakuna uchunguzi wowote hadi leo kuchoma gari mbona simple tu!CCM wameshindwa kujibu hoja sasa wameanza viroja!
Shujaa alikuwa Uso wa Mbuzi hakutakaga Ujinga Ujinga 😂😂Siasa zinefika patamu sasa
Mpate mpate huu hadi 2025
ila kiukweli JPM alikuwa Mwamba sana
Hawa Chadema walikuwa kama Vigori wanaochezwa aliwapiga marufuku kwa miaka yake yote ya Madaraka na waliufyata
CCM jibuni hoja kwa hoja.
Siyo alikuwa na uso wa mbuzi bali alikuwa mbuzi kabisa. Binadamu hawezi kuwa na tabia zile bali mnyama tuShujaa alikuwa Uso wa Mbuzi hakutakaga Ujinga Ujinga 😂😂
Kwani Binadamu siyo Mnyama?Siyo alikuwa na uso wa mbuzi bali alikuwa mbuzi kabisa. Binadamu hawezi kuwa na tabia zile bali mnyama tu