Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8

Tamaa za ngono hizi...changamoto.

#MaendeleoHayanaChama
 
Huko Chato inaonekana wanazalisha maibilisi kwa wingi.
 
Hawa watu wangeruhusiwa waoe tu

Maana huko parokiani wanapeleka moto kwa kujificha
Hii ni kwa faida yako; Katekista ni mwalimu wa dini/wasaidizi wa Mapadre kwenye liturjia ndani ya Kanisa Katoliki. Anaweza kuwa wa jinsia yoyote ile (ke au me). Na anaruhusiwa kuoa/kuolewa.

Tofautisha kati ya Maaskofu/Mapadre na Watawa wa Kanisa Katoliki (ambao hawa sasa ndiyo hawaruhisiwi kuoa/kuolewa). Aliyefanya kosa ni Katekista, na siyo Padre.

Na alichokifanya huyo Katekista ni kosa la jinai, kama yalivyo makosa mengine! Hivyo sheria ifuate mkondo wake, ili haki ipatikane.
 
Hawa warumi , ni wabakaji sana, kuanzia Maaskofu mpaka kushuka huku chini ni wabakaji tu

Kila kukicha ni kesi kesi kesi.


HUWEZI KUTA, KUONGOZI WA KISABATO, ANA KESI KAMA HIII !!.
Huna hoja ya msingi. Na ulichoandika hapa ni upotoshaji na muendelezo tu wa zile chuki zenu za kitoto dhidi ya Kanisa Katoliki.
 
Huna hoja ya msingi. Na ulichoandika hapa ni upotoshaji na muendelezo tu wa zile chuki zenu za kitoto dhidi ya Kanisa Katoliki.
Bora hata usingenikot , unanikot ,alafu unaandika tope.

Kwan ni Mara ya kwanza Kwa Kanisa hili la Rumi kua na visa kama hivi hapa Tanzania ??.


Toka nje ya Tanzaniaa, nenda huko Dunian kuanzia Ufaransa, Ujeruman, Uingereza Uhisppania, Ureno mpaka Amerika yenyewe .

Ni visa vya KANISA ama kulawiti watoto, au kulana wenyewe Kwa wenyewe yaaan Wanaume kula wanaume wenzao, na Wanaume kula Wanawake, Usagaji Wanawake Kwa wanawake .


Mambo yapo wazi, yapo viganjani, Dunia nzima inayafahamu


Sasa Cha kukufanya uje na makasiriko nini??

Kwamba wewe ndo Mara yako ya kwanza kuyasikia ??

Eboooooo you are not supposed to be so blind with your religion that you can't face the reality.

WRONG IS WRONG !!



Kanisa la Roman, Lina tuhuma nyingi mnooo za UFIRAUNI.
 
Huna hoja ya msingi. Na ulichoandika hapa ni upotoshaji na muendelezo tu wa zile chuki zenu za kitoto dhidi ya Kanisa Katoliki.
Ni lini Kiongozi wenu alipinga USHOGA WAZIWAZI???. uliniambia ni lini.

Mimi nitakuletea hapa Mahojioni yake Kwa nyakati tofauti akiunga mkono USHOGA.
 
Ni lini Kiongozi wenu alipinga USHOGA WAZIWAZI???. uliniambia ni lini.

Mimi nitakuletea hapa Mahojioni yake Kwa nyakati tofauti akiunga mkono USHOGA.
Wafuasi wa Ellen White mna shida kubwa sana na Kanisa Katoliki.
 
Kubishana na Msabato ni kupoteza tu muda kwa upande wangu. Maana mnajiona nyinyi ni watakatifu! kumbe ni bure tu.
 
Swala la kanisa au msikitini kuhusika sio dini husika ni watu ...kwa sababu binadamu tunatamaa ndo tulivyoumbwa


Sehemu za ibada ni ile kuamini imani fulani ila sio watu wake maana watu ni tamaa ukifuatilia matendo ya watu utakuja kuona hamna dini inayofanyaa ila tambua hao wanafanya huo ushenzi hakuna dini imeamrisha ila ni ujinga wao tu....kiufupi hao sio watu wa dini wanajifanya watu wa dini na Dini zipo hazina tatizo ni mamluki wachache ndo wanatamaa za kidunia..
 
Mfuasi wa Ellen White huyo! Kamwe hawezi kukuelewa. Zaidi utaishia tu kutukanwa. Maana ndivyo wanavyo fundishwa.
 
Wafuasi wa Ellen White mna shida kubwa sana na Kanisa Katoliki.
Mkuu ifike Mahali muwe mnakaa na Makao makuu ya Vichwa vyenu, mnadigest vitu wenyewe, mnafatilia wenyewe na hatimaye mnakuja na Hitimisho Lilo Huru

Shida yenu na kinachowasumbua nyie Waumini wa Rumi.

1-Kanisa haliwapi uhuru wa kusoma Maandiko wenyewe, Wala haliwachochei Yaan mnapenda Jpl, basi Somo la JPl Ndo Dunia nzima mnalofunzwa .

2-Mrumi, huwez kumkuta anasoma Biblia, Never never, yeye JPL somo analopewa limemtosha .

3-Mrumi ni rahisi kwenda Kanisan na Kijizuu Cha hadithi lkn haendi Biblia .

4-Mrumi nyumban akiwa na Biblia Wala haangaiki kuisoma.

5-Mrumi Ndio Mkristo mwenye Biblia yake pekeeake yenye nyongeza ya vitabu vyake pekeake.




Poleni sana !!!.
 
Na taarifa hii ya kusikitisha imfike
1.yule shehe wa ccm, na
2.yule anayejihita mchungaji wa taifa(chawa wa nabii mkuu)
 
Hawa watu wangeruhusiwa waoe tu

Maana huko parokiani wanapeleka moto kwa kujificha
Kuna kiroboto mmoja aliwahi kukudanganya kuwa makatekista hawaoi? Ukatolikini wasiooa ni wenye daraja la upadre ambao baadae hupanda vyeo na kuwa maaskofu, makadinali na Papa....

Au unataka nikufundishe katekista ni nani?
 
Wafuasi wa yule mama wa Jumamosi mna tabu sana....

Hawa watu wanaiheshimu Jumamosi kuliko wanavyomheshimu Mungu
 
Wafuasi wa yule mama wa Jumamosi mna tabu sana....

Hawa watu wanaiheshimu Jumamosi kuliko wanavyomheshimu Mungu

YESU mwenye ni Msabato, na aliitunza Sabato, hakufanya kazi siku ya Saba ambayo ni JUMAMOS.


Kumuheshimu Mungu ni jambo la binadam mwenyewe , yaan tunatenda dhambi huku tukijua tunamkosea Mungu.

Na Moja ya sehem ambayo Mwanadam anamkosea Mungu ni Kuvunja Amri yake ya Nne, inayosema Ikumbuke siku ya Sabato na uitakase.
 
Na yule mama ni Msabato....

Hivi ameolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…