Chato: Katekista wa kanisa Katoliki akamatwa kwa tuhuma za kubaka mtoto wa miaka 8

Huko Chato mkoa wa Geita katekista wa kanisa katoliki amekamatwa akibaka mtoto wa 8.

=====

Jeshi la polisi mkoani Geita, linamshikilia Athanas Rugambwa (62) mkazi wa Muganza wilayani Chato mkoani Geita kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka nane mwanafunzi wa darasa la tatu shule ya msingi Katema.

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari leo Alhamis Septemba 15, 2022 Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Henry Mwaibambe amesema mtuhumiwa ni katekista na alikua akimfundisha mtoto huyo masomo ya dini.

Mwaibambe amesema mtuhumiwa huyo alimvizia mtoto akiwa kwenye mafundisho ya dini kanisani na kumuita ofisini kwake kisha kumbaka.

Mwananchi
Mshenzi sana huyo apigwe tu mana hakuna namna!!
 
Tangu mtu wao afe, wamepoteza mwelekeo, kama wamepigwa laana
 
Kuoa sio sababu

Case zao ni ngapi compare na wale walioa na wanafanya haya.

Wapo wengi wameoa, tena wengine zaidi ya mmoja lakini wanafanya haya
Pengine matukio yanayoripotiwa yanayofanywa na taasisi ya wakatoliki yatapungua

Si uliisoma ile report kutoka Vatican
Yaani hapo ndio unagundua nyege ni shida ni janga kwakweli
 
Mm ni baba yako!
Hizo takwimu yeye mbona hajalawitiwa na hao maaskofu,mapadre na makadinali?
Au anapoishi hakuna mapadre nk?
Kwahyo unasema taarifa zake za uongo ? BBC na report yao waongo ? Victims waliohojiwa waongo ? Hata hili mnaficha nini mkuu

Cardinal Theodore Mccarrick alisingiziwa ?
 
Katekista anaruhusiwa kuoa na kuzaa kama mtu wa kawaida.
Tutoe mambo ya madhehebu tumwangalie mtu kama mtu otherwise wabakaji tuwe tunatangaza na madhehebu yao
 
Kimsingi Kanisa Katoriki limekengeuka.
.
Mapadre na maaskofu wote Katoriki ni walevi na wahuni(wapenda Wanawake)
.
Nina Marafiki mapadre ni walevi na wahuni sana Kuna Wakati wanajiita church victims
 
Huwa siwaelewi watu wanaowapeleka watoto wao wadogo kwenye mafundisho ya dini.
Dini inapaswa kuwa jambo la mtu mzima kwa hiyari yake mwenyewe.
 
Pengine matukio yanayoripotiwa yanayofanywa na taasisi ya wakatoliki yatapungua

Si uliisoma ile report kutoka Vatican
Yaani hapo ndio unagundua nyege ni shida ni janga kwakweli
Mbona hapa kwetu case zilizo sikika ni za makatekista ambao wote wanaruhusiwa kuoa ?
 
Kimsingi Kanisa Katoriki limekengeuka.
.
Mapadre na maaskofu wote Katoriki ni walevi na wahuni(wapenda Wanawake)
.
Nina Marafiki mapadre ni walevi na wahuni sana Kuna Wakati wanajiita church victims
Usitazame dhambi zao ila angalia Imani ya kanisa
 
Katekista mzima anaongeza tozo. Wanawake wote hawaoni?
 
Back
Top Bottom