Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Watu wanataka uwanja unakwenda kuwaambia kuwa uwanja hauna faida wacha wakuchape kichapo cha mwizi

Wewe ni mjinga kiasi hicho kumbe Kwani si anajenga hoja sasa kama una Faida si nawewe unasema hizo faida sasa kutumia mawe ndo utaratibu gani huo kumbe hii nchi haiko salama kwamba kuna watu wanaweza kuwazuia wenzao kufanya kampeni kwa mawe na vyombo vya ulinzi vipo. Tukutane tarehe 28 October
 
Magufuli amekataliwa kila kona wamebakia Wanaume wa Dar nao watakombolewa wiki ya mwisho ya kampeni
 
Moto wa Mlima Kilimanjaro unavyozimwa KIMASIKINI huwezi kuamini ndio TANAPA hii inayotoa 'GAWIO' kubwa serikalini huku ikishangiliwa na machoko wa Mataga,


Uvccm wanachokiweza kwa sasa ni kupiga mawe misafara ya Tundu Lissu na kutetea ujinga wa mabosi wao mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona msitu wa Brazil ulipoungua hukupiga kelele.
 
Machadema mlikuwa wapi kujibu mapigo? Mko wengi mwambieni aingize watu barabarani.

Mapigo yatajibiwa kwenye kura hakuna mtu atapigana hapa ni hoja hadi mtu anarudishwa kwao tarehe 28 October. Tayari hoja wameshaishiwa sasa ni mawe ni wazi kwamba spanner zinawapata sawasawa kabisa Lissu ongeza kasi zaidi hadi kieleweke
 


Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).

View attachment 1599022
View attachment 1599076

Mwenye video ikionesha wana CCM wakirusha mawe atume hapa! Matukio ya kutengenezwa yamepitwa na wakati! Pia gari lililovunjwa silioni naona tu kama mtu kavunja mwenyewe tena na kajiwe kadogo hakutaka hasara kubwa!

Chadema ya Lisu acheni kutafuta kick za kipumbavu!! Tanzania ni nchi ya amani. Kila siku unawatukana wana Chato leo unawafata tena ni mara ya tatu unaenda kanda ya ziwa! Tanzania kubwa pambana na hali yako. Magufuli sio size yako!

Queen Esther
 
Ni
Lissu anakashifu uwanja kujengwa Chato, mbuga ya wanyama kupelekwa na benki kujengwa Chato halafu anapeleka pua unategemea nini
Nimecheka kwenye clip ya fujo, kuna mtu anahojiwa anasema 2015 alimpigia magufuli, na ametoka katoro kwenda kusikiliza sera lakini akasema sasa ameamua litakokuwa kuwa na liwe sasa yuko tayari, lakini liliporushw jiwe ansema aliulaza mpaka kwenye gari ya mbunge peneza,
Sasa kama yuko tayari kwa nini aliend kujificha kwenye gari?😁😁😁
Pili nilidhani watu waote tunao waona kwenye mkutano wake kuwa ni wa eneo husika kumbe nao wanatoka sehemu mbalimbali?
Alafu ndo wanakuwa na sauti kubwa kuliko wenyeji.
 
Ku attack msafara wa mgombea yeyote sio jambo la kiungawana.

Lakini lazima uulize akili za strategist wa CDM kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Chato?

This is just a provocation kwa watu wa Chato mambo mengine ni ya kujitakia anawapa walinzi wake binafsi na jeshi la polisi kazi ya ziada wakati mwingine.
Chato Hawahusiki na Uchaguzi?
Ni sahihi ccm kuzunguka nchi nzima ila Chadema ni haramu!!!??
 
Mwenye video ikionesha wana CCM wakirusha mawe atume hapa! Matukio ya kutengenezwa yamepitwa na wakati! Pia gari lililovunjwa silioni naona tu kama mtu kavunja mwenyewe tena na kajiwe kadogo hakutaka hasara kubwa!

Chadema ya Lisu acheni kutafuta kick za kipumbavu!! Tanzania ni nchi ya amani. Kila siku unawatukana wana Chato leo unawafata tena ni mara ya tatu unaenda kanda ya ziwa! Tanzania kubwa pambana na hali yako. Magufuli sio size yako!

Queen Esther
Eti anajidai kuwa amekuja kumsema kwao, na group alilotoka nalo geita na katoro ili ajaze chato.
 
Hekima ya lissu ni ndogo mno. Huwezi kuwananga watu wa chato juu ya uwanja wa ndege na mbuga halafu tena ukawaombe Kula. Zinamtosha yeye tu!!
 
Lissu ndio alikuwa wa kwanza kuzusha kuwa Rais kazomewa na asiwatishe wapiga kura hahaha leo hao wapiga kura nao wamemshambilia ana anza kulialia hahahaha
Lissu anaendelea na kampeni Kama kawaida, hakuna sehemu Lissu ataogopa kufika nchi hii
 
FB_IMG_1602606522251.jpg

Nyomi la Chato sio mchezo..kama kwenu hawakutaki utapendwa wapi..
 
Back
Top Bottom