1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Nadhani ni vema sasa Wapinzani pamoja na misimo mikali lakini pia wazidishe sala na dua kwa Mungu. Kwa CCM ilipofikia ni Mungu pekee anayeweza kutenda haki.
Kuna Clip moja nimeiangalia You tube nikaona jinsi Wapinzania Nchi hii walivyoumizwa na kuuawa tangu miaka ya 1992 mpaka leo bado awamu hii ya Tano Polepole na Bashiru wanatengeneza watu wa kuua na kujeruhi watu kwa kujificha nyuma ya Vyombo vya Dola.
Kwa kweli CCM wekalia Madaraka kwa damu za watu maskini.
Wanawatumia watoto waaskaini kama Polisi wadogo kudhuru watu ili wao wapate madaraka na familia zao ziishi maisha mazuri kwa dhulma huku askari wakiwa na maisha magumu na uhasama na jamii nzima.
Hakika ni Mungu pekee anayeweza kujibu maombi na dua za damu za watu ndugu wanaoteswa kwenye nchi Huru mithili ya wanyama kwa sababu tu kuna mtu mmoja amekwezwa kuliko Mungu . Mtu mmoja anaamri ya juu ya nafsi ma uhai wa watu. Kwa nini hawawanyongi Watu waliohukumiwa kifo kwa makosa ya mauaji lakini wanafurahia Damu za watu wanaofanya kazi yao ya siasa kisheria .
Kwa nini Watu wa CCM wanaamua kujificha kwenye migongo ya polisi kufanya uhalifu wa kupiga watu ?
Najiululiza kumbe Mtu wa CCM akifanya jambo ovu hakuna wa kumzuia ? Basi wapinzani wajue wazi kuwa hawana msaada mwingine zaidi ya Mungu mana Kada wa CCM akiamua kufanya chochote hata kuua mtu hakuna wa kumsemesha labda Mungu ambaye pia yupo Chini ya mungu wa CCM anayewalinda watu wake ndani ya CCM na kuwapa ulinzi ili wasiguswe na yeyote.
Wapinzani anzeni sasa kwa wiki hizi Mbili zilizobaki achaneni na mambo mabaya na machukizo yote ikiwezekana mfunge na kuomba na kuacha uavu na kutubu mbele za Mungu ili Mungu aonyeshe kuwa yeye ni Mungu wa Haki na anachukizwa na Damu zinazomwagwa na WanaCCM kwa kujiona kuwa wao ndio walioiumba hii nchi na sio Mungu.
Nawakumbusha Wapinzani hasa Chadema na ACT kuwa muda uliobali ni Muda wa dua na Sala na kufunga kwa kuacha mambo kama ulevi, uzinzi, fitina, dhulma, woga n.k. Mungu ndiye pekee atakayeweza kupambana na Hila za CCM.
Nadhani ni bora kabisa watanzania wote tuiadhibu CCM kwa damu walizomwaga tangu damu ya Karume mpaka leo kwa sababu tu ya kutofautiana kisasa na kimitizamo.
Tumkabidhi Mungu afanye kisasi yeye mwenyewe. Wapinzani mkidharau sala na dua za kumkabidhi Mungu ushindi wenu mjue Shetani ataendelea kuwatumia watu waovu kutawala ,wauaji, watesaji , wenye kiburi, waongo na wasiomuogopa Mungu kwa matendo yao maovu yanayowapa vyeo na mali.