Watu wanataka uwanja unakwenda kuwaambia kuwa uwanja hauna faida wacha wakuchape kichapo cha mwizi
nasikia harufu ya damu.Una kiherehere dogo ...hii ni j4
Mbona msitu wa Brazil ulipoungua hukupiga kelele.Moto wa Mlima Kilimanjaro unavyozimwa KIMASIKINI huwezi kuamini ndio TANAPA hii inayotoa 'GAWIO' kubwa serikalini huku ikishangiliwa na machoko wa Mataga,
Uvccm wanachokiweza kwa sasa ni kupiga mawe misafara ya Tundu Lissu na kutetea ujinga wa mabosi wao mitandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikundi chenu Chato kimenyooshwa na wanachato. Watz wameshaanza kuwachoka sasa.Magufuli amekataliwa kila kona wamebakia Wanaume wa Dar nao watakombolewa wiki ya mwisho ya kampeni
Machadema mlikuwa wapi kujibu mapigo? Mko wengi mwambieni aingize watu barabarani.
Bado siku 13 tu mnyooshwe.Mumebaki na wadengereko wa Mburahati nao watakombolewa na Jemadari Lissu
Mwenye video ikionesha wana CCM wakirusha mawe atume hapa! Matukio ya kutengenezwa yamepitwa na wakati! Pia gari lililovunjwa silioni naona tu kama mtu kavunja mwenyewe tena na kajiwe kadogo hakutaka hasara kubwa!
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
View attachment 1599076
Nimecheka kwenye clip ya fujo, kuna mtu anahojiwa anasema 2015 alimpigia magufuli, na ametoka katoro kwenda kusikiliza sera lakini akasema sasa ameamua litakokuwa kuwa na liwe sasa yuko tayari, lakini liliporushw jiwe ansema aliulaza mpaka kwenye gari ya mbunge peneza,Lissu anakashifu uwanja kujengwa Chato, mbuga ya wanyama kupelekwa na benki kujengwa Chato halafu anapeleka pua unategemea nini
Wewe huijui Chato kuwa ni ngome ya ChademaKikundi chenu Chato kimenyooshwa na wanachato. Watz wameshaanza kuwachoka sasa.
Chato Hawahusiki na Uchaguzi?Ku attack msafara wa mgombea yeyote sio jambo la kiungawana.
Lakini lazima uulize akili za strategist wa CDM kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Chato?
This is just a provocation kwa watu wa Chato mambo mengine ni ya kujitakia anawapa walinzi wake binafsi na jeshi la polisi kazi ya ziada wakati mwingine.
Mbona Umepanik?andika vizuri ili uelewekeba
Bado siku 13 tu mnyooshwe.
2015 mlipata kura ngapi? Na Mbunge ni wa Chadema au?Wewe huijui Chato kuwa ni ngome ya Chadema
Eti anajidai kuwa amekuja kumsema kwao, na group alilotoka nalo geita na katoro ili ajaze chato.Mwenye video ikionesha wana CCM wakirusha mawe atume hapa! Matukio ya kutengenezwa yamepitwa na wakati! Pia gari lililovunjwa silioni naona tu kama mtu kavunja mwenyewe tena na kajiwe kadogo hakutaka hasara kubwa!
Chadema ya Lisu acheni kutafuta kick za kipumbavu!! Tanzania ni nchi ya amani. Kila siku unawatukana wana Chato leo unawafata tena ni mara ya tatu unaenda kanda ya ziwa! Tanzania kubwa pambana na hali yako. Magufuli sio size yako!
Queen Esther
Mimi siwezi kupanic hata siku moja mkuu!Mbona Umepanik?andika vizuri ili ueleweke
Serikali za mitaa tuliza katia na Vijiji vyote2015 mlipata kura ngapi? Na Mbunge ni wa Chadema au?
Lissu anaendelea na kampeni Kama kawaida, hakuna sehemu Lissu ataogopa kufika nchi hiiLissu ndio alikuwa wa kwanza kuzusha kuwa Rais kazomewa na asiwatishe wapiga kura hahaha leo hao wapiga kura nao wamemshambilia ana anza kulialia hahahaha