Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

1602620968943.png


Huyu kijana John Sayi kakodiwa kutoka bariadi kwenda kufanya fujo Chatto, wameweka kambi Katoro
 
Hakihalalishi lakini anatambua kumbe kulikuwa na hatari za kuamsha hisia, sasa kwanini akaenda bado?

..ndugu yangu, kilichotokea ni UHUNI tu.

..ujue watu wenye heshima zao kama wewe msipokemea kilichotokea nchi hii itaelekea pabaya.
 
lisu huyo hyo anapinga wananchi wa chato hawatakiw kuwa na uwanja wa ndege, anapiga kelele kila siku kuhusu taa za barabaran pia hapend trafik light zilizopo chato, in short analalamika kila siku chato inapendelewa maendeleo yote yanapelekwa chato; halafu leo anaenda tena kuomba kula kwa watu anaowapigia kelele wasipate maendeleo, sasa kwa nn asilushiwe mawe?!!et alie pigwa ngeo kasema katoka katolo kamusindikiza rais wake TL hahahaha akamtibu sasa hiyo ngeo.
 
1602621148803.png


Mkazi wa Rombo, kati ya watu waliopelekwa chatto kufanya fujo wakiwa na gari aina ya hiace
 
1602621302658.png


Gari aina ya center likiwa limefunikwa turubai huku limesheheni wahundi wapiga watu
 
Huko jimboni kwa Lissu watu wanampenda Magufuli ndio maana hawakumrushia mawe. Ukisema kwamba hawakumrushia kwasababu ya mamlaka yake, Basi angalau hata wangemzomea tu...
Wanajua ni mlopokaji na anabwabwaja tu.... Jitu la namna hiyo unalisikiliza unaachana nalo.

Tundu Lissu kafunika kote geita, Mwanza, musoma, shinyanga bukoba ndio usiseme.

Rais wetu ni Tundu Lissu tu
 
Nawaombeni sana wahutu wamchukue kibaka wao
 
huyu jamaa kilichompeleka chato ni nini? hakuna alichohutubia kaanza kuongelea mambo ya Mganza huku akiwasihi polisi waimarishe ulinzi wake, hili jamaa boya kweli, yeye gari lake ni bullet proof shughuli kaitia ndimu kakimbilia kwenye gari
 
Sikiliza mwenyewe:
 
Lissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha Chato wamfundishe
Huu ndiyo upumbavu wa karne cha wapi na wapi ndiyo nini? Ucha upumbavu yaani unampangia lisu pa kupiga kampeni? Huo ushamba wa kurusha mawe ni dalili za chato kuwa na wanaccm wapumbavu kupita upumbavu wote Duniani
 
huyu jamaa kilichompeleka chato ni nini? hakuna alichohutubia kaanza kuongelea mambo ya Mganza huku akiwasihi polisi waimarishe ulinzi wake, hili jamaa boya kweli, yeye gari lake ni bullet proof shughuli kaitia ndimu kakimbilia kwenye gari
Wewe ndiyo boya kwani chato siyo Tanzania na ratiba yake ya kampeni ndiyo imempeleka chato huo upumbavu wenu hautawasaidia zaidi ya kujidhalilisha na kuonekana ni washamba wa kutupwa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Wewe ndiyo boya kwani chato siyo Tanzania na ratiba yake ya kampeni ndiyo imempeleka chato huo upumbavu wenu hautawasaidia zaidi ya kujidhalilisha na kuonekana ni washamba wa kutupwa
Mbona kafika na hakuna alichohutubia? wamchague ili awafanyie nini? mwizi keshaijenga chato yeye kinampeleka nini? matatizo ya mganza siangeenda huko akayasemea, hao vijana wake mbona hawajamlinda kaanguka miguuni kwa polisi ambao hawajaongezwa mishahara
 
Walisema wapinzani hawatakuwa na hoja kwenye kampeni sababu jiwe amejenga flyover sasa wanatia mpira kwapani wanapiga mawe
 
Hutawasikia tume ya uchaguzi wakilaani kwa vile ni chadema wanashambuliwa ,ingekuwa CCM ndo wanashambuliwa utaona watakavyokuja kasi kulaani kama faru aliyejeruhiwa kwa risasi
Ndio Tanzania tulipofika sasa, thanks to Magu.
 
1602622665206.png


Fuso la chadema lililo sheheni wavuta bhange kutoka katoro, upo umuhimu wa kusimamisha kampeni nchi nzima tukae chini tujadiliane namna ya kwenda kwenye uchaguzi kwa amani
 
Back
Top Bottom