Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

mbona kafika na hakuna alichohutubia? wamchague ili awafanyie nini? mwizi keshaijenga chato yeye kinampeleka nini? matatizo ya mganza siangeenda huko akayasemea, hao vijana wake mbona hawajamlinda kaanguka miguuni kwa polisi ambao hawajaongezwa mishahara
Hii mifano yako yote ni ya kipumbavu acheni siasa za kipumbavu ushamba utawapeleka wapi hao wanaorusha mawe kwa kutumwa na ccm laana itawakuta, chato imejaa umasikini mwingi na wananchi hawaitaki ccm
 
Walisema wapinzani hawatakuwa na hoja kwenye kampeni sababu jiwe amejenga flyover sasa wanatia mpira kwapani wanapiga mawe
Sasa ccm ndiyo hawana hoja wameamua kutumia mawe tena kijijini kwa jiwe kwenyewe ni Aibu kubwa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sasa ccm ndiyo hawana hoja wameamua kutumia mawe tena kijijini kwa jiwe kwenyewe ni Aibu kubwa
Clip zipo Husna akiamrisha vijana wa chadema kuwashambulia watu, trafik kapigwa mtama hadharani na clip zipo, hebu tuonyesheni ccm wakirusha mawe, leo Upendo peneza hajampigia simu hawara yake sio
 
Hao wahuni Mkuu ni part and parcel ya mafisiem.
Hutawasikia tume ya uchaguzi wakilaani kwa vile ni chadema wanashambuliwa ,ingekuwa CCM ndo wanashambuliwa utaona watakavyokuja kasi kulaani kama faru aliyejeruhiwa kwa risasi
 
Kila mgombea ana haki ya kuzunguka eneo lolote ndani ya Tanzania kwa ajili ya Kampeni, kwani nani mwenye hati miliki ya Chato? Nakumbuka Magufuli alienda Singida eneo alipozaliwa Lissu lakini hakuna aliefanya fujo
Tatizo wameyaponda sana maendeleo yaliyowekwa chato. Hii imeamsha hasira kwawakazi wa huko. Ulitarajia Lissu atapokelewa vizuri chato? Big NO!
 
Clip zipo Husna akiamrisha vijana wa chadema kuwashambulia watu, trafik kapigwa mtama hadharani na clip zipo, hebu tuonyesheni ccm wakirusha mawe, leo Upendo peneza hajampigia simu hawara yake sio
Uonyeshwe ili iweje wakati kila kitu kipo wazi acheni siasa za kishamba
 
Wapi amehamasisha uvunjifu wa amani? Unaweza ukaweka ushahidi?

Labda tu niwaambie, hakuna alimkubwa kuizidi Tanzania. Hata hivyo vyama vyama vya siasa mnavyojivunia ipo siku vitapita lakini Tanzania itaendelea kubaki.

Acheni ushabiki wa kijinga kushangilia fujo
Mbona kila siku anasema atawaingiza wafuasi wake barabarani au ufuatilie kampeni zake.
 
TULITEGEMEA. Bwana yule ni dhaifu mno. Anachowaza yeye ni umwagaji damu, fujo, hekaheka! Haoni hata aibu. Sasa hapa si hata mtoto mdogo anaelewa aliyeelekeza haya ni nani!
 
Tatizo wameyaponda sana maendeleo yaliyowekwa chato. Hii imeamsha hasira kwawakazi wa huko. Ulitarajia Lissu atapokelewa vizuri chato? Big NO!
Nini maana ya kampeni? Maana ya kampeni ni kutangaza kero ujinga wote uliofanywa na ccm iweje chato wakatae ujinga wa ccm kwa kurusha mawe? Huo ushamba ubakie chato tu sehemu zingine hawataki ushamba huo
 
Uzuri alishasalimia wananchi. Na mapokezi yalikuwa makubwa mno. Shame on you MATAGA. Mlifikiri asingepata wa kumpokea. Leo dunia imeona hata kwa ngome ya fulani ni MAJANGA tu.
 
TULITEGEMEA. Bwana yule ni dhaifu mno. Anachowaza yeye ni umwagaji damu, fujo, hekaheka! Haoni hata aibu. Sasa hapa si hata mtoto mdogo anaelewa aliyeelekeza haya ni nani!
Magufuli amepagawa hakuwahi kuamini na chato kuna watu hawamtaki
 
Hakuna sehemu CDM hawahusiki Chato ila Lissu mwenyewe kumbe alijua kwenda Chato ni kutafuta uchokozi sio na Magufuli bali wenyeji kwa ujumla; ndio hayo sumu aionjwi.
Lissu ndie mpinzani Sasa.. hana muda wa kusifu ujinga
 
Uzuri alishasalimia wananchi. Na mapokezi yalikuwa makubwa mno. Shame on you MATAGA. Mlifikiri asingepata wa kumpokea. Leo dunia imeona hata kwa ngome ya fulani ni MAJANGA tu.
Duniani kote imejulikana kuwa chato kuna ccm washamba kuliko ccm wengine sehemu zingine za Tanzania
 
Kwa hyo kila mgombea akisema aandae watu wa kurusha mawe unadhani magu angefanya kampeni ikungi? Jpm ni mbaguzi.sasa kura akachukue hukohuko chato.Hatuwezi mpa kura mtu mbaguzi kiasi hicho, kwani Leo alikoomba kura dar ndo kwake?
Tatizo sio kuomba kura kwako. Ishu nikubeza maendeleo waliyopelekewa wanachato km vile wao sio watanzania na hawapaswi kupata maendeleo. Hili lilitarajiwa litatokea tu.
 
Back
Top Bottom