Kwanini wanampiga tundu lissu mawe?
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
View attachment 1599076
Hii mifano yako yote ni ya kipumbavu acheni siasa za kipumbavu ushamba utawapeleka wapi hao wanaorusha mawe kwa kutumwa na ccm laana itawakuta, chato imejaa umasikini mwingi na wananchi hawaitaki ccmmbona kafika na hakuna alichohutubia? wamchague ili awafanyie nini? mwizi keshaijenga chato yeye kinampeleka nini? matatizo ya mganza siangeenda huko akayasemea, hao vijana wake mbona hawajamlinda kaanguka miguuni kwa polisi ambao hawajaongezwa mishahara
mwizi ukimfuata kwenye gheto lake ukala kichapo utalalamika kwanini mwizi kakupiga?Kwani mwizi akiitwa mwizi anachekelea?
Sasa ccm ndiyo hawana hoja wameamua kutumia mawe tena kijijini kwa jiwe kwenyewe ni Aibu kubwaWalisema wapinzani hawatakuwa na hoja kwenye kampeni sababu jiwe amejenga flyover sasa wanatia mpira kwapani wanapiga mawe
Kama ni mwizi kweli nita-admit kuwa mimi ni mwizi. Na mwizi sio tusi, acha kupotosha.ndiyo, wewe tukikuita mwizi utachekelea?
Clip zipo Husna akiamrisha vijana wa chadema kuwashambulia watu, trafik kapigwa mtama hadharani na clip zipo, hebu tuonyesheni ccm wakirusha mawe, leo Upendo peneza hajampigia simu hawara yake sioSasa ccm ndiyo hawana hoja wameamua kutumia mawe tena kijijini kwa jiwe kwenyewe ni Aibu kubwa
Hutawasikia tume ya uchaguzi wakilaani kwa vile ni chadema wanashambuliwa ,ingekuwa CCM ndo wanashambuliwa utaona watakavyokuja kasi kulaani kama faru aliyejeruhiwa kwa risasi
Tatizo wameyaponda sana maendeleo yaliyowekwa chato. Hii imeamsha hasira kwawakazi wa huko. Ulitarajia Lissu atapokelewa vizuri chato? Big NO!Kila mgombea ana haki ya kuzunguka eneo lolote ndani ya Tanzania kwa ajili ya Kampeni, kwani nani mwenye hati miliki ya Chato? Nakumbuka Magufuli alienda Singida eneo alipozaliwa Lissu lakini hakuna aliefanya fujo
Uonyeshwe ili iweje wakati kila kitu kipo wazi acheni siasa za kishambaClip zipo Husna akiamrisha vijana wa chadema kuwashambulia watu, trafik kapigwa mtama hadharani na clip zipo, hebu tuonyesheni ccm wakirusha mawe, leo Upendo peneza hajampigia simu hawara yake sio
Mbona kila siku anasema atawaingiza wafuasi wake barabarani au ufuatilie kampeni zake.Wapi amehamasisha uvunjifu wa amani? Unaweza ukaweka ushahidi?
Labda tu niwaambie, hakuna alimkubwa kuizidi Tanzania. Hata hivyo vyama vyama vya siasa mnavyojivunia ipo siku vitapita lakini Tanzania itaendelea kubaki.
Acheni ushabiki wa kijinga kushangilia fujo
Nini maana ya kampeni? Maana ya kampeni ni kutangaza kero ujinga wote uliofanywa na ccm iweje chato wakatae ujinga wa ccm kwa kurusha mawe? Huo ushamba ubakie chato tu sehemu zingine hawataki ushamba huoTatizo wameyaponda sana maendeleo yaliyowekwa chato. Hii imeamsha hasira kwawakazi wa huko. Ulitarajia Lissu atapokelewa vizuri chato? Big NO!
Magufuli amepagawa hakuwahi kuamini na chato kuna watu hawamtakiTULITEGEMEA. Bwana yule ni dhaifu mno. Anachowaza yeye ni umwagaji damu, fujo, hekaheka! Haoni hata aibu. Sasa hapa si hata mtoto mdogo anaelewa aliyeelekeza haya ni nani!
Ndio na ataongeza kosa lingine la jinai la kunipiga.mwizi ukimfuata kwenye gheto lake ukala kichapo utalalamika kwanini mwizi kakupiga?
Lissu ndie mpinzani Sasa.. hana muda wa kusifu ujingaHakuna sehemu CDM hawahusiki Chato ila Lissu mwenyewe kumbe alijua kwenda Chato ni kutafuta uchokozi sio na Magufuli bali wenyeji kwa ujumla; ndio hayo sumu aionjwi.
Duniani kote imejulikana kuwa chato kuna ccm washamba kuliko ccm wengine sehemu zingine za TanzaniaUzuri alishasalimia wananchi. Na mapokezi yalikuwa makubwa mno. Shame on you MATAGA. Mlifikiri asingepata wa kumpokea. Leo dunia imeona hata kwa ngome ya fulani ni MAJANGA tu.
Tatizo sio kuomba kura kwako. Ishu nikubeza maendeleo waliyopelekewa wanachato km vile wao sio watanzania na hawapaswi kupata maendeleo. Hili lilitarajiwa litatokea tu.Kwa hyo kila mgombea akisema aandae watu wa kurusha mawe unadhani magu angefanya kampeni ikungi? Jpm ni mbaguzi.sasa kura akachukue hukohuko chato.Hatuwezi mpa kura mtu mbaguzi kiasi hicho, kwani Leo alikoomba kura dar ndo kwake?
ilifika mahala kila mwanaccm akipata chochote hata kwa kushinda shambani hukimbilia kumshukuru kumsifu magufuli hata mvua ikinyesha wanamshuru magufuliLissu ndie mpinzani Sasa.. hana muda wa kusifu ujinga