Kwahiyo msombe watu wahuni wa Katoro na buseresere kuwapeleka chato, alafu mje mtwambie mapokezi yalikuwa makubwa, na kwamba eti CHADEMA imevunja ngume ya Magufuli Chato?πππ Aaah jamani habu jaribuni kujitambua hata kidogo.Uzuri alishasalimia wananchi. Na mapokezi yalikuwa makubwa mno. Shame on you MATAGA. Mlifikiri asingepata wa kumpokea. Leo dunia imeona hata kwa ngome ya fulani ni MAJANGA tu.
ππππ Nyinyi mtapigwa kwa Kura halali,na sijui mtapata wabunge wangapi tu..!Kwahiyo kwa vurugu hizo ndio mmepata kura?? Subirini october 28 watanzania watawashangaza. Si mnategemea jeshi?? Litawafurahisha.
Kwa hiyo unataka kusema Nini.....jibu tumelipsta ,Chato Wana Nini mioyoni MwaoHapo ni runzewe siyo chato wadanganye wengine .
ππππ Utamrudisha wewe?Magufuli mwenyewe kwao siyo chato bali kalazimisha kuwepo kwa nguvu za Polisiccm, mara baada ya uchaguzi atarejea kwao Burundi
Nasisitiza kote maccm yalikopigwa knock out ni nguvu ya umma iliamua,porojo tu nyie ni vioga vya kupindukia wafuasi wenu ni wamama na wazee ,huko kwenye sec.aparatus mnakotegemea ni hao wakubwa wa vyeo tu ndio watu wenu,wadogo wanapokea amri Kama utii Ila mambo yakigeuka nao watawageuka sasa jidanganyeni mje muishie kutosha kwenye mashimo ya panyaTukijibu wewe na familia yako mtarudi BURUNDI saa ikifka tuta kohoa kidogo ufurahi...
πππ Sahauni kuhusu Chato.Kwa hiyo unataka kusema Nini.....jibu tumelipsta ,Chato Wana Nini mioyoni Mwao
Hii kitu siyo nzuri, siasa siyo uadui wa kuumizana, ni kupingana tu kwa hoja, siyo vioja.Natamani kujua washambuliaji ni akina nani, wametumwa na nani na kwa maslahi gani, so far polisi wamechukua hatua gani?
Haya mambo yanaleta picha mbaya sana kwa ccm
Katukana tusi gani na wapi,mbona hamna cha kushika wala cha kuongea mnatapatapa tuuLisu anachokitafta atakipata very soon! Maana asidhanie matusi na maneno anayotumia kila mtu anao uvumilivu.
Acha kuongea usuyoyajua wewe unaandika pumba humuWell siku ukiitwa BBC kuwaelezea hayo malalamiko yako usisahau kuwauliza kwanini unionist awaendi maeneo ya separatist kwenye campaign za siasa huko North Ireland na wakati ni haki ya mgombea kwenda popote kwa taifa linalojidai ku promote democracy duniani....
Umerusha mawe kule umeona haitoshi sasa umekimbilia hukuLissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha Chato wamfundishe
Sina hakika kama ni watu wa Chato,yawezekana ccm wekodi hata vijana wa JW mana wao ndio wenye ujasiri huo.Natamani kujua washambuliaji ni akina nani, wametumwa na nani na kwa maslahi gani, so far polisi wamechukua hatua gani?
Haya mambo yanaleta picha mbaya sana kwa ccm
Kura halali hilo sahau. Cheki mapolisi wanavyovuruga kampeni, cheki NEC( neck) inavyokaba wapinzani?? Kila mbinu chafu imeshanaza kuwa employed kabla ya uchaguziππππ Nyinyi mtapigwa kwa Kura halali,na sijui mtapata wabunge wangapi tu..!
Mkuu una jicho la kiintelijensia hatari sana. Jana nilitanabaisha kuwa huko lazima kujae maofisa vipenyo sana. Na ndio hao. Hakuna uvccm anaweza kuwa jasiri kufanya fujo kwenye umati ule wa chadema. Hao ni vipenyo wenye sare za chama.Sina hakika kama ni watu wa Chato,yawezekana ccm wekodi hata vijana wa JW mana wao ndio wenye ujasiri huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ndo yanasababisha Washamba kuikataa kabisa CHADEMA tumieni Wafanyabiashara wanaochukia kulipa kodi Ili waweke wahuni bararbarani kuonesha kuwa mna wafuasi wengi Kanda ya Ziwa lkn Uchaguzi wa Mwaka ni rahisi Sana kuliko chaguzi nilizowahi kushuhudia 5 tena kwa JPM!!!!Umasikini mlio nao hata kupanda ndege hamuwezi. Ni kuishangaa tu
angalia kifo cha mwanafunzi akwilina kilisababishwa na ujeuri wa wanasiasa...hatimaye mtu asiye na hatia akafa, je kama mwenyekiti asinge hamasisha maandamano ha lazima....kifo kinge tokea? hapana.Tukiwa na Taifa la watu kama wewe ni hatari sana.
Watawala ndio wanaotaka iwe hivyo lakini wao hawafanyi hivyo mana wanajua kuwa siasa ni sehemu ya maisha yao. CCM wengi wanajali familia zao na maisha yao ndio kama unavyosema na ndio maana haya maovu yote yanatokea...
Sasa kama Lisu alikuwa na umati hao vijana walikuwa elfu ngapi mpaka wakadhibiti umati wote?Mkuu una jicho la kiintelijensia hatari sana. Jana nilitanabaisha kuwa huko lazima kujae maofisa vipenyo sana. Na ndio hao. Hakuna uvccm anaweza kuwa jasiri kufanya fujo kwenye umati ule wa chadema. Hao ni vipenyo wenye sare za chama.