Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Uzuri alishasalimia wananchi. Na mapokezi yalikuwa makubwa mno. Shame on you MATAGA. Mlifikiri asingepata wa kumpokea. Leo dunia imeona hata kwa ngome ya fulani ni MAJANGA tu.
Kwahiyo msombe watu wahuni wa Katoro na buseresere kuwapeleka chato, alafu mje mtwambie mapokezi yalikuwa makubwa, na kwamba eti CHADEMA imevunja ngume ya Magufuli Chato?😂😂😂 Aaah jamani habu jaribuni kujitambua hata kidogo.

Ukizungumzia Chato, hakuna mtemi mwingine zaidi ya Magufuli, na Hilo limeanza kabla hata jamaa hajawa Rais..
 
Kwahiyo kwa vurugu hizo ndio mmepata kura?? Subirini october 28 watanzania watawashangaza. Si mnategemea jeshi?? Litawafurahisha.
😃😃😃😃 Nyinyi mtapigwa kwa Kura halali,na sijui mtapata wabunge wangapi tu..!
 
Tukijibu wewe na familia yako mtarudi BURUNDI saa ikifka tuta kohoa kidogo ufurahi...
Nasisitiza kote maccm yalikopigwa knock out ni nguvu ya umma iliamua,porojo tu nyie ni vioga vya kupindukia wafuasi wenu ni wamama na wazee ,huko kwenye sec.aparatus mnakotegemea ni hao wakubwa wa vyeo tu ndio watu wenu,wadogo wanapokea amri Kama utii Ila mambo yakigeuka nao watawageuka sasa jidanganyeni mje muishie kutosha kwenye mashimo ya panya
 
Natamani kujua washambuliaji ni akina nani, wametumwa na nani na kwa maslahi gani, so far polisi wamechukua hatua gani?

Haya mambo yanaleta picha mbaya sana kwa ccm
Hii kitu siyo nzuri, siasa siyo uadui wa kuumizana, ni kupingana tu kwa hoja, siyo vioja.

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Well siku ukiitwa BBC kuwaelezea hayo malalamiko yako usisahau kuwauliza kwanini unionist awaendi maeneo ya separatist kwenye campaign za siasa huko North Ireland na wakati ni haki ya mgombea kwenda popote kwa taifa linalojidai ku promote democracy duniani....
Acha kuongea usuyoyajua wewe unaandika pumba humu
 
Lissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha Chato wamfundishe
Umerusha mawe kule umeona haitoshi sasa umekimbilia huku

Wewe UVCCM wewe jitafakari
 
😃😃😃😃 Nyinyi mtapigwa kwa Kura halali,na sijui mtapata wabunge wangapi tu..!
Kura halali hilo sahau. Cheki mapolisi wanavyovuruga kampeni, cheki NEC( neck) inavyokaba wapinzani?? Kila mbinu chafu imeshanaza kuwa employed kabla ya uchaguzi
 
Sina hakika kama ni watu wa Chato,yawezekana ccm wekodi hata vijana wa JW mana wao ndio wenye ujasiri huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una jicho la kiintelijensia hatari sana. Jana nilitanabaisha kuwa huko lazima kujae maofisa vipenyo sana. Na ndio hao. Hakuna uvccm anaweza kuwa jasiri kufanya fujo kwenye umati ule wa chadema. Hao ni vipenyo wenye sare za chama.
 
Umasikini mlio nao hata kupanda ndege hamuwezi. Ni kuishangaa tu
Haya ndo yanasababisha Washamba kuikataa kabisa CHADEMA tumieni Wafanyabiashara wanaochukia kulipa kodi Ili waweke wahuni bararbarani kuonesha kuwa mna wafuasi wengi Kanda ya Ziwa lkn Uchaguzi wa Mwaka ni rahisi Sana kuliko chaguzi nilizowahi kushuhudia 5 tena kwa JPM!!!!
 
Jiwe anaenda KUSHANGAZWA pakubwa, ninyi WAPORAJI wa mabox na nakala za kura mtakua na kibarua kigumu sana mwaka huu.
 
Tukiwa na Taifa la watu kama wewe ni hatari sana.

Watawala ndio wanaotaka iwe hivyo lakini wao hawafanyi hivyo mana wanajua kuwa siasa ni sehemu ya maisha yao. CCM wengi wanajali familia zao na maisha yao ndio kama unavyosema na ndio maana haya maovu yote yanatokea...
angalia kifo cha mwanafunzi akwilina kilisababishwa na ujeuri wa wanasiasa...hatimaye mtu asiye na hatia akafa, je kama mwenyekiti asinge hamasisha maandamano ha lazima....kifo kinge tokea? hapana.

Hivyo mambo mengi wanasiasaa wanayafanya kwa kuwatoa muhanga wasio na hatia.....tunataka wawatangulize watoto zao mbele ya maandamano kama kweli wana uchungu wa kukomboa wananchi.
 
Utaona kabisa Lisu toka juzi anajitapa anaenda chato na kutembelea uwanja wa ndege, yote aliyokuwa anaongea ni kama vile kishari shari tena kwa kusema mtanifanya nini?

Yani ziara ya Lisu chato ilikuwa ni kama kwa kutafuta uchokozi flani.

Muacheni apopolewe mawe maana hajielewi.

Unashangaa hata yule beberu wake Amsterdam nae siku hizi kawa ripota wa kampeni za Lisu.

Nasema acha apopolewe mawe tena wamemuhurumia wasingetumia mawe tu
 
Mkuu una jicho la kiintelijensia hatari sana. Jana nilitanabaisha kuwa huko lazima kujae maofisa vipenyo sana. Na ndio hao. Hakuna uvccm anaweza kuwa jasiri kufanya fujo kwenye umati ule wa chadema. Hao ni vipenyo wenye sare za chama.
Sasa kama Lisu alikuwa na umati hao vijana walikuwa elfu ngapi mpaka wakadhibiti umati wote?

Lisu ni debe tupu
 
Back
Top Bottom