Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kwahiyo msombe watu wahuni wa Katoro na buseresere kuwapeleka chato, alafu mje mtwambie mapokezi yalikuwa makubwa, na kwamba eti CHADEMA imevunja ngume ya Magufuli Chato?😂😂😂 Aaah jamani habu jaribuni kujitambua hata kidogo.Uzuri alishasalimia wananchi. Na mapokezi yalikuwa makubwa mno. Shame on you MATAGA. Mlifikiri asingepata wa kumpokea. Leo dunia imeona hata kwa ngome ya fulani ni MAJANGA tu.
Ukizungumzia Chato, hakuna mtemi mwingine zaidi ya Magufuli, na Hilo limeanza kabla hata jamaa hajawa Rais..