Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe


Hii ni post bora kabisa katika Uzi huu. Ni watu wachache sana wanaoweza kuwaza hivi, na kuweka mawazo yao vyema katika mtiririko huu.
 
Sengondo na Sokoine walitangulizwa na akina nani ?
Wapumzike kwa amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kujua washambuliaji ni akina nani, wametumwa na nani na kwa maslahi gani, so far polisi wamechukua hatua gani?

Haya mambo yanaleta picha mbaya sana kwa ccm
umechelewa sana!
 
Uzee sio tatizo wala ugonjwa. Wenye mawazo mazuri na mabaya wote huzeeka. Kama walivyokuwa kuwa akina Mandela na sasa akina Mtei, Warioba...n.k Ukizaliwa tu na ukaishi muda mrefu bila kufa ujue uzee utakuja tu. Na mwisho, ujana pekee si kigezo cha mawazo mapya na chanya. Kuna vijana “wamezeeka” kimawazo mpaka wanatoka unga.
Nilitaka tu kufunguka kwenye hilo.
 
Ni vigumu sana kwa Tajiri(CCM)kuingia katika Ufalme wa Mbinguni(IKULU)kama ilivo vigumu kwa Ngamia(Magufuli) kupenya kwene Tundu(Tundu Lissu) la Sindano(Sanduku la Kura)!😂😂😂
Kwa 2020 ni vigumu sana. Dalili zote zinaonesha hivyo
 
Kati ya watu ambao hawafati maelekezo ya wajinga ni pamoja na LISSU.

Magufuli na jeshi lake walipomshambulia kwa risasi ilikuwa sawa?

Magufuli ni mgombea kama alivyo Rungwe, kama anataka asisemwe mabaya yake basi akatawale familia yake.
 
Hutawasikia tume ya uchaguzi wakilaani kwa vile ni chadema wanashambuliwa ,ingekuwa CCM ndo wanashambuliwa utaona watakavyokuja kasi kulaani kama faru aliyejeruhiwa kwa risasi
Ile tume hata kama ni ya ccm aisee haijielewi. Hata kutoa japo matamko ya kuzuga tu hawawezi?
 

Hongera kwa kufunguka, ila huyo niliyemuambia kanipata vizuri.
 
Hutawasikia tume ya uchaguzi wakilaani kwa vile ni chadema wanashambuliwa ,ingekuwa CCM ndo wanashambuliwa utaona watakavyokuja kasi kulaani kama faru aliyejeruhiwa kwa risasi

Wanaopanga kushambuliwa kwa cdm ndio maboss wa hiyo tume, hivyo ccm wakikutana na madhila yoyote wanawatuma tume kuwatetea.
 
Chadema mnatengeneza movie za kihindi Tunataka Amani hatutaki vita
Haki kwanza.. Amani itakuwepo tu kukiwa na haki.
Swala vita mnalosema Lissu ametumwa na wazungu, unafikiri kama kweli ametumwa huyo IGP Siro atawazuia hao wazungu kweli wakija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…