kwahiyo kama mchezaji basi yeye iniesta ananyumbulika tuNiambie chato kaendalini.likizo yake ilishakwisha aliludi kwenye majukumu yake,kuludi tu ndio sekeseke likaanza la corona akapiga ndefu dar to dom.dom kalaa juu ya mawe palee kaona wanafki wengi watamletea corona akapiga ndefu mpaka chato,sasa katulia anasoma mchezo.
Arudi Dar? Bado unamawazo ya zama zile, mambo yote kwa sasa ni Dom!Nasikia kasema "Chapeni kazi" Na yeye tunamtaka arudi Dar ili afanye mambo muhimu ya kitaifa!
Chuki hata baada ya kufa na kufufuka Yesu, bado umeikumbatia! Ukombozi upi sasa utakuokoa? wa Mbowe!?Sawasawa na mkifa sijui nchi gani itawategemea...inategemewa na nini maana nyinyi wenyewe tegemezi.
Dar, nenda youtube, angalia mwenyewe utajua anamaanisha nini!Mkuu fujo itasababishwa na Nini?
wewe ni ufipa Chadema nyie wote ni pro lockdown sikujibu sababu unaitwa sijijui na hujijui kweli, au ngoja nikujibu,Mkuu fujo itasababishwa na Nini?
Huo nao ni udikteta!Makanisa, Miskiti yote ingefungwa. Ningepiga marufuku abilia kuingia na kutoka Dar, Mipaka yote ingefungwa isipokuwa wanaoleta chakula, dawa na bidhaa muhimu, Kumbi zote za starehe zingefungwa kila mlevi anunue pombe dukani akanywe kwake.
Mishahara yote ya umma ambayo ni kuanzia milion 3 ingekatwa 50% ili kununua chakula kwa watu masikini.
Mwache huyo jamaa, akikimbia JF utamrudisha wewe? ,[emoji1][emoji1][emoji1]Kwa hiyo kazi ya ccm na serikali yake ni nini sasa? Kufanya ufisadi na kugawana madaraka?