Wanajamvi, naomba tuombe kwa rais baada ya kufanya makosa kidogo kwa kuchelewa kufunga mipaka ya nchi na corona kuingia TZ, tuombe vile nchi zetu hizi hazina uwezo mkubwa kupambana na covid-19, tusifanye kosa lileliele au kama lile la kuachia corona isambaye nchi nzima, ni bora tukafunga mipaka ya mikoa hat kwa wiki 2 tu, tuone kama tunaweza kupambana na wagonjwa katika mikoa ambayo tayari kuna wagonjwa, we have limited resources we need to act intelligently, tubaki na DAR kimsingi maana mikoa mingine wapo wawil watatu tu n
Zanzibar nao vile vile Unguja na Pemba iwe no access
Tukibaki na dar pekee ama Unguja pekee, the fight back can be easy for us.
Please Tunaomba tu, kwa kuangalia uwezo wa nchi yetu COVID-19 ikienea kila mkoa kila wilaya kama alivyosema WAZIRI hatuna huo uwezo.
Naomba kuwasilisha, TUFUNGE MIPAKA YA MIKOA ILI kupunguza geographical size ya UGONJWA na KUPAMBANA NAVYO VILIVYO