Chadema wanaumia mno kisikia hii kauli walitaka waambiwe laleni mtaletewa chakula cha bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema wanaumia mno kisikia hii kauli walitaka waambiwe laleni mtaletewa chakula cha bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani majirani wakifunga mipaka na sisi Tanzania hatujafunga mipaka ni faida gani tutapata?Kwa hili hata mimi namuunga mkono, kufunga mipaka sasa hivi kutaiweka Tanzania pabaya kuliko ilipo hivi sasa.
Angalia usije ukafa na stress mkuu. Hapa Kazi Tu!Nasikia kasema "Chapeni kazi" Na yeye tunamtaka arudi Dar ili afanye mambo muhimu ya kitaifa!
Unafikiri raisi analindwa na mabodigadi waonyesha machuchu kama awo vijana wa wasafi sasa nikwambie Apo kanisa zima lina walinzi na limesha kaguliwa siku nyingi kabla kufika hapo kifupi hiyo Ni tahasisi ukijaribu kumsogele utashushwa bega kijanaMbona kama yuko peke yake? Usalama wa viongozi wa kitaifa ni usalama wa taifa, ndio maana makamu wa rais na rais kipindi hiki lazima wana usalama wahakikishe wako salama kiafya ili taifa liwe salama, hawaonekani mara kwa mara wakiwa wamejichanganya katika jamii
Unafikiri kufunga shule kumsaidia huku mitaani, majumbani Watoto wanazurula kama inzi bora hata wangebaki shuleKwa kauli hii shule zinaenda kufunguliwa wiki ijayo
Ulikuwa una uwezo wakujibu kuliko kutoa lugha chafu kwa watu wengine wasiohusiana katika mada hii jaribu kuwa na heshima kwa watu wengine itakusaidia Sana katika maisha.Unafikiri raisi analindwa na mabodigadi waonyesha machuchu kama awo vijana wa wasafi sasa nikwambie Apo kanisa zima lina walinzi na limesha kaguliwa siku nyingi kabla kufika hapo kifupi hiyo Ni tahasisi ukijaribu kumsogele utashushwa bega kijana
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Umetumwa?Ulikuwa una uwezo wakujibu kuliko kutoa lugha chafu kwa watu wengine wasiohusiana katika mada hii jaribu kuwa na heshima kwa watu wengine itakusaidia Sana katika maisha.
Toa maoni yako ulitakaje? kuliko kuongea lugha ya dharau.Huyu ni wa kumpuuza tu hana hata chembe ya sympathy !what a disgrace kind of a president!
Unafikiri kufunga shule kumsaidia huku mitaani, majumbani Watoto wanazurula kama inzi bora hata wangebaki shule
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao vijana wa Wasafi wanaoonesha chuchu wakina Nani?Umetumwa?
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Wewe unawajua kina Nani?Hao vijana wa Wasafi wanaoonesha chuchu wakina Nani?