Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Watz tunaweza sana kunawa mkuu kuliko Nchi zote duniani.Kule Marekani na Italia huwa hawanawi mikono? Something extra should be done !
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watz tunaweza sana kunawa mkuu kuliko Nchi zote duniani.Kule Marekani na Italia huwa hawanawi mikono? Something extra should be done !
Imeletwa na Inasambazwa na CCM kwa kutochukua hatua stahiki ikiwemo kuzuia waliowatangaza kwa mbwembwe kuwa watalii kutoka China.Kwaiyo Corona imeletwa na ccm? Rejea mada kuu.
Hakuna cha kushangaza hapo!Dah!
sasa hapa umeandika nini mbona hueleweki ?Mbona kama yuko peke yake? Usalama wa viongozi wa kitaifa ni usalama wa taifa, ndio maana makamu wa rais na rais kipindi hiki lazima wana usalama wahakikishe wako salama kiafya ili taifa liwe salama, hawaonekani mara kwa mara wakiwa wamejichanganya katika jamii
marais wa nchi nyingine ushawasikia wanavyo lead from the front kwenye hili janga?Umeona ile adamu na hawa
Wewe unaweza kuandika kwa kutumia hiyo nembo bila kupata misuko suko?
Maana iyo nembo haitumiki kiholela holela, jaribu kuheshimu huyo ni mkuu wa nchi labda usiwe mtanzania lakini kama ni mtanzania jaribu kuheshimu mamlaka.
Kula bata ndio mada iliyopo hapo juu?
Mwanza tumetangaziwa kwanzia leo sehemu kama Mwanza Hotel,Goden,Bunda Sriga,Malaika Beach na sehemu zote za starehe kufungwa ili kuepusha mikusanyiko isiyo ya lazimaMakanisa, Miskiti yote ingefungwa. Ningepiga marufuku abilia kuingia na kutoka Dar, Mipaka yote ingefungwa isipokuwa wanaoleta chakula, dawa na bidhaa muhimu, Kumbi zote za starehe zingefungwa kila mlevi anunue pombe dukani akanywe kwake.
Mishahara yote ya umma ambayo ni kuanzia milion 3 ingekatwa 50% ili kununua chakula kwa watu masikini.
Walivyofanya Corona imeisha kwao?marais wa nchi nyingine ushawasikia wanavyo lead from the front kwenye hili janga?
sisi huku twasubiri bora lijiendee tu!