mohammed john
Member
- Jan 17, 2020
- 44
- 27
HahahahahhhahaJamaaa anakera natamani corona imfuate huko huko alipo imchukue imtafune hvi ni mwanadamu kweli huyu au jinamizi tumeletewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahhhahaJamaaa anakera natamani corona imfuate huko huko alipo imchukue imtafune hvi ni mwanadamu kweli huyu au jinamizi tumeletewa
Naona mmefwata ushauri wa Mbowe.Chadema wanaumia mno kusikia hii kauli walitaka waambiwe laleni mtaletewa chakula cha bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa nini tunalialia kwamba watu wetu ni wabangaizaji?je uzuri wetu upo kwenye kuwa na madaraja mengi na flyover mbili?Sisi tupo vizuri mkuu, kama akili yako umeiandaa kuona mabaya tu hakuna wa kukulazimisha kubadili mtazamo wako.
Ila akikosolewa anatanguliza police na bunduki,kweli ninyi ni wanyongeRaisi ametangulia mbele kiimani,maana amesema na utukufu wa Mungu hutimia kwa neno.
Ukiona nchi ina matajiri ujue wabangaizaji wapo tena ni wengi tu.Sasa kwa nini tunalialia kwamba watu wetu ni wabangaizaji?je uzuri wetu upo kwenye kuwa na madaraja mengi na flyover mbili?
Mkuu ninavyojua mie over 80% ya watanzania ni wabangaizaji,while less than 1% ndo matajiri, kwa point yako una maana uwezo wa Serikali ya ccm kuwaondoa watanzania kwenye poverty line ndo umeishia hapo?Ukiona nchi ina matajiri ujue wabangaizaji wapo tena ni wengi tu.
Huwezi kuwakwepa wabaingaizaji, hatuwezi wote kuwa sawa.
Madaraja na flyover ni njia tu za mawasiliano, ni mambo ambayo kwa mataifa makubwa yalijengwa karne iliyopita.
Kuvionq vitu kuwa ni maendeleo ni ulimbukeni.
Unavyojua wewe sio hali halisi. Tembea usikae sehemu moja tu ili uondokane na dhana potofu ya ' unavyojua wewe', maisha ni kujifunza kila kukicha sio kujua.Mkuu ninavyojua mie over 80% ya watanzania ni wabangaizaji,while less than 1% ndo matajiri, kwa point yako una maana uwezo wa Serikali ya ccm kuwaondoa watanzania kwenye poverty line ndo umeishia hapo?
Nishauri nitembelee wapi,kwa Tanzania ni mkoa wa Katavi tu ndo sijawahi fika,kwa East Africa ni South Sudan tu ndo sijawahi fika,kwa nchi za SADC ni Namibia tu ndo sijawafika kwa nchi za America ni Canada tu ndo zijawahi fika,kwa nchi za ulaya nimetembelea nchi nne nikikaa kwa kipindi Kati ya week mbili hadi mwezi,sasa nishauri nitembelee wapi ili nikijue hicho unachosema.Unavyojua wewe sio hali halisi. Tembea usikae sehemu moja tu ili uondokane na dhana potofu ya ' unavyojua wewe', maisha ni kujifunza kila kukicha sio kujua.
Inashangaza unakuwa na mawazo ya jumlajumla kama umefika pote huko ulipofika.Nishauri nitembelee wapi,kwa Tanzania ni mkoa wa Katavi tu ndo sijawahi fika, kwa East Africa ni South Sudan tu ndo sijawahi fika,kwa nchi za SADC ni Namibia tu ndo sijawafika kwa nchi za America ni Canada tu ndo zijawahi fika,kwa nchi za ulaya nimetembelea nchi nne nikikaa kwa kipindi Kati ya week mbili hadi mwezi,sasa nishauri nitembelee wapi ili nikijue hicho unachosema.
Nimekupa %ya NBS wewe unataka nikaangalie mtu mmoja mmoja pole sanaInashangaza unakuwa na mawazo ya jumlajumla kama umefika pote huko ulipofika.
Mkuu hakuna malaika anayeweza kuleta miujiza katika uongozi wa nchi, kuna wakati inabidi ukubaliane na hali halisi jinsi ilivyo.Nimekupa %ya NBS wewe unataka nikaangalie mtu mmoja mmoja pole sana
you are very right, tunachukulia rahisi sana.....watu kushabikia ujinga. wanaotuwakilisha ndo hao washaamua, kazi kwetu kuwafuata hata kama hatutaki,...hata kama wakili wetu kakosea watu tunashabikia, m mungu tunusuru tanzaniaMakanisa, Miskiti yote ingefungwa. Ningepiga marufuku abilia kuingia na kutoka Dar, Mipaka yote ingefungwa isipokuwa wanaoleta chakula, dawa na bidhaa muhimu, Kumbi zote za starehe zingefungwa kila mlevi anunue pombe dukani akanywe kwake.
Mishahara yote ya umma ambayo ni kuanzia milion 3 ingekatwa 50% ili kununua chakula kwa watu masikini.