Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Inabidi niulize.

Hii habari ni ya kweli au watu wanapakazia tu?
 
"...there I remember when we used to seat in the government yard in trench town..oba observing the Hippocrates..."

No woman no cry...( Bob Marley)
Imenikumbusha mbali sana. Tulipokuwa na washikaji kwenye viwanja vya serikali
 
Kwa hiyo kwa sababu nchi nyingine zina hili tatizo na sisi tulinyamazie pamoja na kuwa trillions zinapotea kwenye wizi, ubadhirifu na ufisadi!? 😳😳😳😳imagine hizo 2.4 trillions alizokwapua nduli kama zingeelekezwa kwenye ajira mpya, Tanzania ingeweza kutengeneza ajira ngapi mpya!? 😳

Tusibweteke kwa kuwa nchi nyingine zina tatizo hilo basi tukae kimya kuhusu trillions za walipa kodi zinazoishia mifukoni kwa hawa wahuni, majizi na mafisadi wanaojifanya ni viongozi.

Suala la ajira siyo Tanzania pekee mkuu labda jambo lingine.
 
Mmmh
 
Nchi yetu sasa kuchukuwa pesa za watu kwenye mabank walizofanyia kazi, kufungwa kwa biashara kodi mpaka kwa machinga halafu pesa zinatumika kwenye hobby za watu tu ambao wanalipwa mshahara na pesa hizohizo
 
Ninachojiuliza tayar tulikuwa na mpango wa kujenga uwanja mkubwa pale Dodoma na hadi ikulu raman ilifika na kutangaziwa kuwa utakuwa mkubwa kuliko wa Mkapa je umeshia wapi au tumebadili gia angani?
Chato ilitakiwa ijengwe wodi ya Vichaa na Majuha na si uwanja wa mpira!
 
Hivi uwanja Mpya Chato utakamasishaji Wawekezaji au Watalii ..............!!?
 
waTanzania mnajiskiaje??
Mfano Kuna nyuzi siku hizi sitaki kabisa kuzifungua,ni ushenzi wa kiwango Cha juu Sana waimba mapambio wanaandika, haijalishi ni siasa ila zinanijaza hasira kuu na kuzidi kumchukia huyu meko na the whole government.sasa hii Tena asee!mzee kaja kuumiza watanzania matumbo hakika.
 




Eti wapewe Elimu Ha hah! shule za binaadam madawati hamna mnataka kutoa Elimu kwa wanyama?🤔
 
Namkumbuka Mobutu seseseko haha haaaa
 
Ndiyo maana watu wananyimwa pension zao ili wajifie mbali; na wao wachezee mpira!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…