Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Kwamba uwanja wa mpira uhamasishe wawekezaji hasa watalii? Hapa sijaelewa
 
Watalii watakuja kuutembelea uwanja kama kivutio cha utalii au watakuja kuashinza ligi yao chato???
 
Na bado, huyu jamaa hataondoka hiyo 2025 kama wengi mnavyojidanganya. Hii miradi ya long run kama Stigglers Gorge, Makao makuu Dodoma na SGR ndio vitakuwa visingizio vya kutoviacha kwani haamini mtu wa kumalizia kazi.
Chato itajengwa mpaka iwe mji mkubwa ghafla. Hivi mmeshau alivyofanya diversion ya barabara ipite kwake against initial design wakati yu waiziri wa Ujenzi? so many to see at the expense of the national unit and development...
 
Sasa tuna John Mabutu kama wa Zaire uwanja wa ndege! uwanja wa mpira pesa tunapata kwa vitisho kwa watu inatia huruma. Hivi kuna hata team Chato ya mpira?
 
Kuna tofaut kati ya:
1- jambo zuri
2- jambo sahihi

Uki argue hili suala kwa kuangalia three dimension (premises, inference, conclusion) tunaangukia hapa "An African people can plan only for one year" - PW botha

Tunahitaj nguv kubwa sana kumprove wrong bwana Botha
 
At least ungejengwa katika eneo ambalo lina population kubwa. Chatooo??? Serious?
😀😀, Yaani mnataka maeneo ambayo hayana watu yazidi kuwa nyuma kimaendeleo? Huo uwanja wa mpira, hifadhi ya burigi na traffic lights zitafanya watu wahamie Chato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…