Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Muda si Mrefu Chato itakuwa Kama New York....

Ni mji unaokuwa kwa kasi sana barani Africa....
 
pombe huku kwetu tunahitaji tu maji ya kunywa
umemuagiza waziri atatue hii kero lakini habari za chini kwa chini hukumpa hata mia kutekekeza hili..
 
Chato Kuna club ya ligi kuu au ndo mwakyembe ajipange..... Any way tutakipiga ndondo
 
Mbona hajengi magereza uko??atakaa mwenyeweee.time will tell
 
Kama ni kweli basi hii ni red flag kuwa kuna tatizo sehemu labda namna ya kufikiri iko tofauti. Tanzania tuna viwanja vya mipira vingi sana na sijui kama kuna kiwanja ambacho kinaweza kuwekwa kwenye kundi la kuhamasisha utalii, tukianzia Arusha, Tanga,DSM,Mbeya,Morogoro,Tabora,Mwanza,Bukoba,Songea,Iringa n.k. Tukichukulia miji ya kitalii ama iliyo karibu na mbuga za wanyama kama arusha na Iringa sijaona uhusiano wa kuwepo viwanja vya mipira na kuhamasisha utalii. Pili, viwango vyetu FIFA ni chini sana, hata Africa na tumeona karibuni AFCON 2019 tumetoka kapa. Hata tukibaki wenyewe afrika mashariki hatuna cha kujivunia bora hata hizo pesa za kujenga kiwanja zitumike kuanzisha timu ya taifa itakayokuwa tishio miaka 5 ijayo.
Tatu, hivi kuna timu yeyote ya chato iliyo katika ligi kuu au daraja la kwanza au la pili au la tatu au la nne kama lipo?. Isije kuwa kuna tatjzo la kuweka vipaumbele na kwa nini isiwe kufufua elimu ya watu wazima nchini kote iwe kujenga kiwanja kingine cha mpira chato? Sijui labda tuna namna tofauti sana za kufikiria!
 
Hii miradi inayowekwa uko ni kutengeneza mazingira ya kupiga. Baada ya miaka 30 utakuwa uwanja wa ccm.
 
Nchi imeingiliwa na mkoloni mweusi,nafuu na mkoloni mweupe alikuwa anafanya mambo kwa kubalansi, uwanja wa ndege Chato, hifadhi ya burigi Chato, bandari Chato,Crdb Chato,uwanja wa kisasa wa mpira Chato, hivi siku akiachia madaraka akasema kuwa vitu vyote hivyo amejenga kwa fedha zake binafsi,ndio maana kajenga kwake na kutaka kodi ilipwe kwake yeye ndiye achukue kwakuwa ni mali yake nani atambishia?.
 
 
1. Bandari ya kisasa ya uvuvi CHATO
2. Hospitali ya rufaa CHATO
3. Jengo la kisasa la TRA la ghorofa CHATO
4. Mradi wa majumba ya kisasa wa NHC Estate CHATO
5.Ujenzi na ufunguzi wa mabenki CHATO
6. Mradi wa barabara za kisasa za Rami wilaya yote unaojengwa na SUMA JKT kote CHATO
7. Ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege wa kimataifa CHATO
8. Mradi wa NSSSF estate CHATO
9. Ujenzi wa taa za barabarani Traffic lights CHATO
10. Uanzishwaji wa hifadhi ya taifa na kupeleka wanyama wapya CHATO
11. Ujenzi wa Uwanja mkubwa wa mpira na wa pili kwa ukubwa Tanzania, CHATO
12. Mradi mkubwa wa maji kutoka ziwa Victoria CHATO
13. Ufunguzi wa bohari / duka kubwa la MSD la madawa CHATO

Chato to become the most developed place in Tanzania within 5 years!
Nakushauri, the most beautiful city to come, the best place to live in; CHATO.

NB: usitafakari miaka zaidi ya 15 ya ubunge wa uncle Chato na uwaziri, yote Haya yalikua wapi kufanyika😁,
Tafuta kiwanja mapema uanze ujenzi🤣😅
 
Natamani kusema neno lakini roho wa Bwana ananikumbusha kule ndani gogo linakatiwa kwenye ndoo [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ujengwe ili ukiisha Jiwe aanze kuzilazimisha simba na yanga kuchezea mpira na mechi zao zote chato ikibidi alazimishe ligi kuu mechi zote kuchezea chato .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…