Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Mbona sijaona orodha ya waliouliwa?
 
Nipe tathimini ya kiuchumi ya ilo daraja refu la busisi , au huko linako elekea Kuna resources gani ambayo itainua uchumi wetu, otherwise ni zawadi kwa mkwe wake kama wanavyosema wengi
Kitendo cha Mwanza kuwa karibu na Sengerema kinatosha kabisa kufupisha safari za kibiashara za maeneo hayo mawili, hiyo kiuchumi ni tija kubwa sana.

Zisingekuwepo barabara nzuri na madaraja Ulaya na udogo wake wa eneo ingekuwa ni bara maskini sana mpaka leo hii.
 
Mtu mwema haihitaji kupanda juu ya paa na kuushika wema wake huku unapiga mayowe..."njoo muuone wema wa mtu huyu"...!Wema huongea wenyewe.Usijichoshe.
Mbona wema wake unaongea,kama wewe husikii hilo ni tatizo lako
 
as long as he involved himself with vanishing of innocent citizens, lolote alilolifanya ni ushetani mtupu. acha afe aliwe na funza!
tuliofiwa na dugu zetu ni ushetani unaofanyika leo
 
Angetubu mbele za familia alizozitenganisha na wapendwa wake kwanza.
Familia zipi? Tutajie? Hata wewe ukivunja sheria utatenganishwa na familia yako. Hakuna nchi inayoongozwa bila sheria, taratibu na kanuni.
 
Amefanya kweli haya ila kiukweli kama unavyojua tz ilivyo baya moja linafuta mazuri yoote watu wanakuhukumu kwa kosa moja ata mawili na wanaolalamika nao uwasikilize kwani yotee Ni matokeo ya uwepo wake
 
Familia zipi? Tutajie? Hata wewe ukivunja sheria utatenganishwa na familia yako. Hakuna nchi inayoongozwa bila sheria, taratibu na kanuni.
Kwamba Ben sa8 na Azory walivunja Sheria? Na tafsri ya mtu kutenda kosa ni kumtoa uhai wake??. Wacha Mungu atuepushe na hili jinamizi.
 
Kwamba Ben sa8 na Azory walivunja Sheria? Na tafsri ya mtu kutenda kosa ni kumtoa uhai wake??. Wacha Mungu atuepushe na hili jinamizi.
Una uhakika gani kuwa Magufuli ndo alitenda haya?
 
Yaani we jamaa umeifanya siku yangu imeenda vizuei sana leo... siku zote msema kweli ni mpenzi qa Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
as long as he involved himself with vanishing of innocent citizens, lolote alilolifanya ni ushetani mtupu. acha afe aliwe na funza!
tuliofiwa na dugu zetu ni ushetani unaofanyika leo
Kama unavyojua kuwa Raisi si kitu cha mchezo kupatia ama kutopatia Ni matokeo ya ulichokifanya. Siku moja ning'ependa nawe uwe na cheo kama chake ndo utaelewa kwann alifanya hivo.lazma kuna ilimbidi hakuna anae penda kupoteza maisha ya watu bila kitu chokonozi,nafikiri umeelewa.
 
Wachana na matarahe Cha msingi alikufa
 
Takataka kama wewe ukinyimwa uhuru gani au wa kudanga?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Ona huyu
 
Acha kuishi kwa gestures na negative perception. Utapata pressure bure.
Namjua vizuri na kwasabub za kisiasa alifanya mpaka mzee mmoja mstafu pale chato kutokupewa mafao yake halali kisa kutofautiana kisiasa. Jiwe alikuwa mbaya mpaka kwa familia.
 
Namjua vizuri na kwasabub za kisiasa alifanya mpaka mzee mmoja mstafu pale chato kutokupewa mafao yake halali kisa kutofautiana kisiasa. Jiwe alikuwa mbaya mpaka kwa familia.
Nani alikusimulia? Huyo mzee anaitwa nani? Alikosa mafao yapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…