SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Ukiwa mtu maarufu (e.g. raisi) unapangiwa kila kitu, mpaka kutangazwa kwa siku yako ya kufa.(rejea baba wa taifa)
Hii tarehe Nina mashaka nayo.
Kabla ya tarehe 17 mwezi wa 3 kufika siku tatu nyuma niliona mizinga na wanajeshi wakitokea bagamoyo na kuelekea DAR.
Na mizinga hyo hyo ndo ilitumika kwenye kumuaga magufuli pale uwanjani.
Swali walikuwa keshakufa au walijua kuwa atakufa?wakajiandaa mapema