Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Alichonifanyiaga magu Kama kungekua na mahakama za kushtaki maiti ningekua wa kwanza kwenda kumshtaki...

N.b Sikukatazi kumpenda magu kwenye utawala wake Kuna walionufaika na Kuna walioumizwa Sana Kama ulinufaika endelea kumpenda kwa sisi aliotuumiza tuache tuendelee kumchukia...IMEISHA IYO
 
Samahani sana kama ntawakwanza - na mimi nitajiunga nanyi kwenye kumbukizi hii endapo ntapata majibu ya haya machache yanayohangaisna moyo wangu;

Yupo wapi Ben Saaname na yupo wapi Azory Gwanda ? na ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

Haya ni baadhi tu ya mengine mengi ambayo yalitokea kipindi cha uongozi wa marehemu.... nikiyajua haya ntakuja tu kwenye kumbukizi hii.

ni hayo tu watanzania wenzangu, nayasema haya kwa nia njema kabisa - tusemezane na tupige kura ni nani na kwa nini ?
Kuhusu tundu lisu yupo hai mpaka sasa na alisema atawataja walio fanya hivyo.

Why mpaka leo hajawataja? Itakuwa anawafahamu bila shaka
 
1. Daraja la Tanzanite Dar
2. Mikataba ya madini
3. Ukuta wa mererani
4. Utumbuaji
5. Uzinduzi wa malipo ya serikali kupitia control number
5. Umeme wa Tsh 27,000/=
6. Elimu bure darasa la kwanza hadi form four
7. Ukarabati wa. Viwanja vya ndege na meli
8. Bomba la mafuta Hoima kwenda Tanga
9. Kuanzisha Tarura, Latra,
10. Kununua radar kwenye viwanja vya ndege vyote.
11. Kuivunja bodi ya ununuzibwa madini
12. Kuanzisha tume ya madini na madoko ya kuuzia madini
13. Kuvunja Jiji la Dar es salaam
14. Kumfukuza kazi Nape mnauye, mchechu wa NHC,
15. Kwa miaka mitano kutokwenda ulaya
16. Kuzirudisha halmashauri zote ofisi ya Rais.
17. Kuondoa watu wenye vyeti feki kwenye mfumo wa mishahara ya serikali.
18. Kukarabati shule za serikali za zamani
19. Kununua ndege mpya 11
20. Kufufua reli ya Dar to arushaTanzania
21. Kukarabati bandari ya mtwara, tanga na Dar
22. Kukusanya na kuzitambua mali za CCM
23. Kuanzishwa wizara mpya ya Madini
24. Miaka mitano umeme haujawahi kukatika
25.ujenzi wa hospitali za kanda, mikoa na wilaya
26. Ujenzi wa mshakama za wilaya
27. Kuongeza idadi ya hifadhi za tsifa na jeshi usu.
28. Kufuta mishahara ya 45,000,000
29. Kuongeza viwanda nchini
30. Kuwaeleza ukweli watanzania kuhusu covid 19
31. Kupunguza urasimu kwa watumishi wa umma
32. Kuanxisha ofisi za msajili wa hati za ardhi kila mkoa na kufuta ofisi za kanda
33. Kukamata wakwepa ushuru
34. Kampuni ya Halotel ya JK , wabia wake kwenda segerea kwa kutokulipa kodi
35. Serikali kununua magari yake kwa mfumo maalumu kupunguza madalali
36. Kiswahili kuanza kutumika mahakamani kutolea hukumu
37. …..,, Samia haya niliyoyataja anayaweza kuyasimamia?kuyaendeleza?kubuni vingine ? CCM tujiuliza maswali kabla hatujamwambia Samia achukue fomu 2025
Hakuna alichobuni Magufuli, Rais anatekeleza ilani ya chama, na ndicho anachofanya Samia, kutekeleza Ilani.
 
Nikojoe nilale ndiyo marehemu atasamehewa dhambi zake?Jieleze ueleweke.Hapana kukurupuka.Ngazi kwa ngazi JF!
Yule kwa imani yake na yangu yuko mbinguni alipakwa mafuta ya charisma na Kardinal pengo
na kutubu dhambi zake.
Huu msamaha ni kwa watu wanaoteseka na chuki yao moyoni kwa Magufuli mpendwa.
Mbona una akili kisoda wewe.
 
Umeshindwa kujenga hoja za kumtetea na kumuombea msamaha marehemu,ume-panic!Hii ni JF,usije kiboyaboya kama juisi ya bamia ukajua utakubaliwa kitu utakacho.Jifunze kujenga hoja.
Angalia nyuzi zangu kijana sina content za kiboya btn
akili yako ndio ya kiboya unanuka mkojo mtoto wa juzi.
 
Yule kwa imani yake na yangu yuko mbinguni alipakwa mafuta ya charisma na Kardinal pengo
na kutubu dhambi zake.
Huu msamaha ni kwa watu wanaoteseka na chuki yao moyoni kwa Magufuli mpendwa.
Mbona una akili kisoda wewe.
Kwa hiyo wote tufanye ujinga ili tusubiri kupakwa mafuta ya charisma na wafuasi watuombee msamaha magengeni?Hallo,upo sawa weye!?
 
Back
Top Bottom