Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
TUNAKUKUMBUKA HAYATI RAIS MAGUFULI.
Leo 09:01am 17/03/2022
Leo ni siku ngumu sana kwangu na WAJAMAA WOTE DUNIANII,tunamkumbuka na kumuenzi MJAMAA MWENZETU,mwanamema wa bara la AFRIKA,MZALENDO,JASIRI MTHUBUTU,hakika Wajamaa tunakukumbuka mnoo ANKO MAGUFULI Allah akusamehee na akujaalie neema uko ulipoo, Daah 🥲
Hakika ya UJAMAA utakua ni IMANI kama ukisadikishwa kweli kweli kwenye mioyo yetu na nafsi zetu ili ulete tija kwa maendeleo ya kila Mwafrika,kama alivyofanya Mwanamema wa bara la Afrika Hayati Rais Magufuli katika kuonyesha Ujamaa ni Imani hasa kupitia kupenda kwake haki,maendeleoo ya taifa, kukataa rushwa na vitendo vya ubadhilifu,kuweka usawa kati ya tajiri na mnyonge,kupinga ukatilii na KUTUKOMBOA KIFIKRA KWA KUTUAMINISHA SISI TUNAWEZA BILA WAZUNGU,Hayati Rais Magufuli alifanya yote hayo kwa vitendo, Watanzania waliona,walijifunza na kuiga.
ANKO MAGU ulisimamia miradi kibao ambayo ni visible kwa watu wengi na mingi Watanzania wananufaika nayo sasa,nimejifunza kila kiongozi ana vision zake na ukiondoka unaondoka nazo,wenye upeo na maono ya mbali uwa hawazaliwi wengi duniani, wengi uwa ni wale wa kuona na kutamani ya leo leo kwa faida ya njaa ya leo, lakini uwezo wa kuview na kutenda kwa ajili ya miaka 50-100 ijayo ni watu wa type yako ANKOO MAGUFULI na Hayati Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Nyerere,Biblia inasema kifo ni usingizi,kifo cha Mfalme Daudi,Mfalme Suleiman,Biblia inasema wamelala na Baba zao,(1Wafal 2:10,11:43,14:20,31,14:8,2 Nyak 21:1,26:23,Ayubu alikiita kifo ni Usingizi (Ayubu 14:10-12) kama Daudi (Zab 13:3) Yeremia (Yer 51:39,57) na Daniel (Dan 12:2) Pumzika kwa amani Rais Magufuli,see you when we get there.
#ujamaa ni imani,RIP JPM🙏🙏🙏