mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Naweza kuamini ila hii 17 tumepigwa na kitu kizito
Yule alikuwa kitambo sn hata wiki 2 kabla
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule alikuwa kitambo sn hata wiki 2 kabla
Kulikuwa na majadiliano nani ashike kiti baada ya dikteta kuondoka ndiyo maana ilichukua muda snNaweza kuamini ila hii 17 tumepigwa na kitu kizito
Aliwatetea kwa lipi, sema aliwaharibu sn watu wakawa wajingaKuwatetea mama ntilie, machinga, bodaboda na wenye shughuri ndogondogo, ni sehemu ya kuwafanya watu wengi kuwa wazalishaji na si kuwa tegemezi
Lakini pia, ni kutengeneza watu wengi kuwa walipa kodi na nchi kuwa na maendeleo
Unapowafukuza hao watu bila kuwatengenezea mazingira mazuri ya kufanyia kazi, ni kuwafanya wawe tegemezi, kitu ambacho kinawafanya watu wachache kuwa ndio wazalishaji na wengine kuwa kupe!
Pumzika kwa amani hayati JPM
Na haieleweki itakamilika liniUzuri ni kuwa miradi hiyo yote haijakamilika
Weka ushahidi wa ulichoona mwaka jana
Ukiwa mtu mzima utaelewa mambo ya wakubwa, kwa sasa mengi unayoelewa ni watoto wadogo,Aliwatetea kwa lipi, sema aliwaharibu sn watu wakawa wajinga
Shida yako ni nini?Ushahidi macho yangu.
Nilikuwa nimekaa na mjomba angu mmoja nae marehemu.
Ghafla yakapita magari ya jeshi yakiwa na mizinga.
Wakati huo ndo zile tetesi magufuli anaumwa magufuli anaumwa.
Alafu majaliwa na watu wengine wakawa wanakomaa kuwa mzee ni mzima wa afya.
Nikamwambia mjomba hii mizinga inayoipata sio dalili nzuri uenda kuna Jambo kubwa linaweza kutokea .
akasema inawezekana hatuwezi jua.
Mara tarehe 17 usiku Samia anatangaza magufuli amefariki.
Kulikuwa na majadiliano nani ashike kiti baada ya dikteta kuondoka ndiyo maana ilichukua muda sn
Shida yako ni nini?
Ndio. Kwa sasa kuna kilio mijini mkuuMiaka 5 umeme haujawahi kukatika?
Hawezi kuwa hivyo, ila punguza tafsiri mbaya ya ubongoAmekuwa Yesu? Absurd
Ili ikusaidie nini?Tarehe
Mkuu naomba hii orodha unitumie pm imenigusa nataka nikaiandike kwenye tisheti langu na DAYARi yangu1. Daraja la Tanzanite Dar
2. Mikataba ya madini
3. Ukuta wa mererani
4. Utumbuaji
5. Uzinduzi wa malipo ya serikali kupitia control number
5. Umeme wa Tsh 27,000/=
6. Elimu bure darasa la kwanza hadi form four
7. Ukarabati wa. Viwanja vya ndege na meli
8. Bomba la mafuta Hoima kwenda Tanga
9. Kuanzisha Tarura, Latra,
10. Kununua radar kwenye viwanja vya ndege vyote.
11. Kuivunja bodi ya ununuzibwa madini
12. Kuanzisha tume ya madini na madoko ya kuuzia madini
13. Kuvunja Jiji la Dar es salaam
14. Kumfukuza kazi Nape mnauye, mchechu wa NHC,
15. Kwa miaka mitano kutokwenda ulaya
16. Kuzirudisha halmashauri zote ofisi ya Rais.
17. Kuondoa watu wenye vyeti feki kwenye mfumo wa mishahara ya serikali.
18. Kukarabati shule za serikali za zamani
19. Kununua ndege mpya 11
20. Kufufua reli ya Dar to arushaTanzania
21. Kukarabati bandari ya mtwara, tanga na Dar
22. Kukusanya na kuzitambua mali za CCM
23. Kuanzishwa wizara mpya ya Madini
24. Miaka mitano umeme haujawahi kukatika
25.ujenzi wa hospitali za kanda, mikoa na wilaya
26. Ujenzi wa mshakama za wilaya
27. Kuongeza idadi ya hifadhi za tsifa na jeshi usu.
28. Kufuta mishahara ya 45,000,000
29. Kuongeza viwanda nchini
30. Kuwaeleza ukweli watanzania kuhusu covid 19
31. Kupunguza urasimu kwa watumishi wa umma
32. Kuanxisha ofisi za msajili wa hati za ardhi kila mkoa na kufuta ofisi za kanda
33. Kukamata wakwepa ushuru
34. Kampuni ya Halotel ya JK , wabia wake kwenda segerea kwa kutokulipa kodi
35. Serikali kununua magari yake kwa mfumo maalumu kupunguza madalali
36. Kiswahili kuanza kutumika mahakamani kutolea hukumu
37. …..,, Samia haya niliyoyataja anayaweza kuyasimamia?kuyaendeleza?kubuni vingine ? CCM tujiuliza maswali kabla hatujamwambia Samia achukue fomu 2025
Ili ikusaidie nini?
1. Daraja la Tanzanite Dar