Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

Kwa iman yangu unakubalika,
btn kati ya Mungu na Magufuli(japo ni kwa kusadikika) nan ameua watu wengi?
Kasome agano la kale na jipya uone Mungu asivyotabirika kama akili zako zinavyodhani.
Mara unakubalika.Mara inasadikika.Mara nisome biblia.Msimamo wako ni upi?

Muache marehemu ajitetee mwenyewe kwa matendo yake.
 
Mungu ni mwema kwa wote waliompenda na wasiompenda .ila Mungu alimpenda zaidi na alisikia maombi ya wengi ndio maana hayupo.Nchi imekuwa shwari,tuna amani mioyoni mwetu ,watu waliishi kama wako Ukraine why,watanzani walio wengi hawakujua wafanyeje wale waliokua na roho ya "nacist "walishangilia wenzao kufungiwa account, kunyanganywa hela kwa nguvu ,kupotea kwenye mazingira ya kutatanusha na pia kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi.Tuanatoa pole kwa familia Mama Janet na Watoto Mungu awape nguvu ila mmepumua sasa hata umenenepa mama yetu ingawa kuondokewa na Mume sio jambo jepesi
Sasa wewe mshahara wako laki tano halafu benki una 1B, umezipataje? Lazima wakufungie account ili utoe maelezo.

Mfano mwingine, unakuta mtu record zake TRA zinaonyesha return ya biashara kwa mwaka haizidi 20m, halafu bank una 100b, umezipataje? Mbona kina Bakhresa hawakufungiwa?

Mfano wewe ni mfanyakazi wa umma unajenga nyumba 50 kwa pamoja, lazima wakuchungulie account yako ina kiasi gani na wakuulize umezipataje.

Hii ilikuwa ni njia Bora sana ya kupunguza wizi wa Mali za umma. Otherwise ukachimbie hela zako chini.
 
Angetubu mbele za familia alizozitenganisha na wapendwa wake kwanza.
 
Mtu mwema haihitaji kupanda juu ya paa na kuushika wema wake huku unapiga mayowe..."njoo muuone wema wa mtu huyu"...!Wema huongea wenyewe.Usijichoshe.
Yule msamalia aliend kutangaza wema wa Yesu na wote walioguswa na Yesu walienda kutangaza wema wake.
We are in different boats usilazimshe tufanane.
 
Back
Top Bottom