love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
Akili ndogo hazina nafasi hapa.Acha kueleza jambo kama unaongea peke yako barabarani.Yule msamaria,yupi?Toa rejeo lako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili ndogo hazina nafasi hapa.Acha kueleza jambo kama unaongea peke yako barabarani.Yule msamaria,yupi?Toa rejeo lako.
Wanafiki nao ni watu.wanafiki kwenye ubora wenu
Nikojoe nilale ndiyo marehemu atasamehewa dhambi zake?Jieleze ueleweke.Hapana kukurupuka.Ngazi kwa ngazi JF!Umelazimishwa kuelewa nilichoandika.
Kojoa ulale.
Bujibuji Simba Nyanaume njoo uone maoni.Kwenye ukweli wacha tuseme. pamoja na mabaya yake Magufuli ( RIP ) katika taifa hili ni mfano wa kuigwa. Sio baada tu hata kabla ya kuwa Raisi .!
Kuhusu tundu lisu yupo hai mpaka sasa na alisema atawataja walio fanya hivyo.Samahani sana kama ntawakwanza - na mimi nitajiunga nanyi kwenye kumbukizi hii endapo ntapata majibu ya haya machache yanayohangaisna moyo wangu;
Yupo wapi Ben Saaname na yupo wapi Azory Gwanda ? na ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Haya ni baadhi tu ya mengine mengi ambayo yalitokea kipindi cha uongozi wa marehemu.... nikiyajua haya ntakuja tu kwenye kumbukizi hii.
ni hayo tu watanzania wenzangu, nayasema haya kwa nia njema kabisa - tusemezane na tupige kura ni nani na kwa nini ?
Kwa fikra zako,akili kubwa unadhani utaiona inapita angani kama ndege?Akili ndogo hazina nafasi hapa.
Sijui ila akili ndogo najua utaiona kwa content inazotoa za kijinga.Kwa fikra zako,akili kubwa unadhani utaiona inapita angani kama ndege?
Hakuna alichobuni Magufuli, Rais anatekeleza ilani ya chama, na ndicho anachofanya Samia, kutekeleza Ilani.1. Daraja la Tanzanite Dar
2. Mikataba ya madini
3. Ukuta wa mererani
4. Utumbuaji
5. Uzinduzi wa malipo ya serikali kupitia control number
5. Umeme wa Tsh 27,000/=
6. Elimu bure darasa la kwanza hadi form four
7. Ukarabati wa. Viwanja vya ndege na meli
8. Bomba la mafuta Hoima kwenda Tanga
9. Kuanzisha Tarura, Latra,
10. Kununua radar kwenye viwanja vya ndege vyote.
11. Kuivunja bodi ya ununuzibwa madini
12. Kuanzisha tume ya madini na madoko ya kuuzia madini
13. Kuvunja Jiji la Dar es salaam
14. Kumfukuza kazi Nape mnauye, mchechu wa NHC,
15. Kwa miaka mitano kutokwenda ulaya
16. Kuzirudisha halmashauri zote ofisi ya Rais.
17. Kuondoa watu wenye vyeti feki kwenye mfumo wa mishahara ya serikali.
18. Kukarabati shule za serikali za zamani
19. Kununua ndege mpya 11
20. Kufufua reli ya Dar to arushaTanzania
21. Kukarabati bandari ya mtwara, tanga na Dar
22. Kukusanya na kuzitambua mali za CCM
23. Kuanzishwa wizara mpya ya Madini
24. Miaka mitano umeme haujawahi kukatika
25.ujenzi wa hospitali za kanda, mikoa na wilaya
26. Ujenzi wa mshakama za wilaya
27. Kuongeza idadi ya hifadhi za tsifa na jeshi usu.
28. Kufuta mishahara ya 45,000,000
29. Kuongeza viwanda nchini
30. Kuwaeleza ukweli watanzania kuhusu covid 19
31. Kupunguza urasimu kwa watumishi wa umma
32. Kuanxisha ofisi za msajili wa hati za ardhi kila mkoa na kufuta ofisi za kanda
33. Kukamata wakwepa ushuru
34. Kampuni ya Halotel ya JK , wabia wake kwenda segerea kwa kutokulipa kodi
35. Serikali kununua magari yake kwa mfumo maalumu kupunguza madalali
36. Kiswahili kuanza kutumika mahakamani kutolea hukumu
37. …..,, Samia haya niliyoyataja anayaweza kuyasimamia?kuyaendeleza?kubuni vingine ? CCM tujiuliza maswali kabla hatujamwambia Samia achukue fomu 2025
Yule kwa imani yake na yangu yuko mbinguni alipakwa mafuta ya charisma na Kardinal pengoNikojoe nilale ndiyo marehemu atasamehewa dhambi zake?Jieleze ueleweke.Hapana kukurupuka.Ngazi kwa ngazi JF!
Umeshindwa kujenga hoja za kumtetea na kumuombea msamaha marehemu,ume-panic!Hii ni JF,usije kiboyaboya kama juisi ya bamia ukajua utakubaliwa kitu utakacho.Jifunze kujenga hoja.Sijui ila akili ndogo najua utaiona kwa content inazotoa za kijinga.
Angalia nyuzi zangu kijana sina content za kiboya btnUmeshindwa kujenga hoja za kumtetea na kumuombea msamaha marehemu,ume-panic!Hii ni JF,usije kiboyaboya kama juisi ya bamia ukajua utakubaliwa kitu utakacho.Jifunze kujenga hoja.
Kwa hiyo wote tufanye ujinga ili tusubiri kupakwa mafuta ya charisma na wafuasi watuombee msamaha magengeni?Hallo,upo sawa weye!?Yule kwa imani yake na yangu yuko mbinguni alipakwa mafuta ya charisma na Kardinal pengo
na kutubu dhambi zake.
Huu msamaha ni kwa watu wanaoteseka na chuki yao moyoni kwa Magufuli mpendwa.
Mbona una akili kisoda wewe.
Ndiyo unataka marehemu wako asamehewe makosa kwa kutukana wazee wa kijiji?Unakwama.Angalia nyuzi zangu kijana sina content za kiboya btn
akili yako ndio ya kiboya unanuka mkojo mtoto wa juzi.
hahaha ni imani tu kama wewe unavyo abudu ng'ombe.Kwa hiyo wote tufanye ujinga ili tusubiri kupakwa mafuta ya charisma na wafuasi watuombee msamaha magengeni?Hallo,upo sawa weye!?
Wenye akili wameelewa ...Ndiyo unataka marehemu wako asamehewe makosa kwa kutukana wazee wa kijiji?Unakwama.
Acha atajitetea huko geti atakaloingia.Kuwa mtulivu.Wenye akili wameelewa ...
Wewe hata huo msamaha kwa Magufuli haumsaidii chochote.
Nimeshakuambia huna credibility ya kunichagulia cha kufanya.Acha atajitetea huko geti atakaloingia.Kuwa mtulivu.