Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
ItakamilikaUzuri ni kuwa miradi hiyo yote haijakamilika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ItakamilikaUzuri ni kuwa miradi hiyo yote haijakamilika
Mbona sijaona orodha ya waliouliwa?1. Daraja la Tanzanite Dar
2. Mikataba ya madini
3. Ukuta wa mererani
4. Utumbuaji
5. Uzinduzi wa malipo ya serikali kupitia control number
5. Umeme wa Tsh 27,000/=
6. Elimu bure darasa la kwanza hadi form four
7. Ukarabati wa. Viwanja vya ndege na meli
8. Bomba la mafuta Hoima kwenda Tanga
9. Kuanzisha Tarura, Latra,
10. Kununua radar kwenye viwanja vya ndege vyote.
11. Kuivunja bodi ya ununuzibwa madini
12. Kuanzisha tume ya madini na madoko ya kuuzia madini
13. Kuvunja Jiji la Dar es salaam
14. Kumfukuza kazi Nape mnauye, mchechu wa NHC,
15. Kwa miaka mitano kutokwenda ulaya
16. Kuzirudisha halmashauri zote ofisi ya Rais.
17. Kuondoa watu wenye vyeti feki kwenye mfumo wa mishahara ya serikali.
18. Kukarabati shule za serikali za zamani
19. Kununua ndege mpya 11
20. Kufufua reli ya Dar to arushaTanzania
21. Kukarabati bandari ya mtwara, tanga na Dar
22. Kukusanya na kuzitambua mali za CCM
23. Kuanzishwa wizara mpya ya Madini
24. Miaka mitano umeme haujawahi kukatika
25.ujenzi wa hospitali za kanda, mikoa na wilaya
26. Ujenzi wa mshakama za wilaya
27. Kuongeza idadi ya hifadhi za tsifa na jeshi usu.
28. Kufuta mishahara ya 45,000,000
29. Kuongeza viwanda nchini
30. Kuwaeleza ukweli watanzania kuhusu covid 19
31. Kupunguza urasimu kwa watumishi wa umma
32. Kuanxisha ofisi za msajili wa hati za ardhi kila mkoa na kufuta ofisi za kanda
33. Kukamata wakwepa ushuru
34. Kampuni ya Halotel ya JK , wabia wake kwenda segerea kwa kutokulipa kodi
35. Serikali kununua magari yake kwa mfumo maalumu kupunguza madalali
36. Kiswahili kuanza kutumika mahakamani kutolea hukumu
37. …..,, Samia haya niliyoyataja anayaweza kuyasimamia?kuyaendeleza?kubuni vingine ? CCM tujiuliza maswali kabla hatujamwambia Samia achukue fomu 2025
Kitendo cha Mwanza kuwa karibu na Sengerema kinatosha kabisa kufupisha safari za kibiashara za maeneo hayo mawili, hiyo kiuchumi ni tija kubwa sana.Nipe tathimini ya kiuchumi ya ilo daraja refu la busisi , au huko linako elekea Kuna resources gani ambayo itainua uchumi wetu, otherwise ni zawadi kwa mkwe wake kama wanavyosema wengi
Mbona wema wake unaongea,kama wewe husikii hilo ni tatizo lakoMtu mwema haihitaji kupanda juu ya paa na kuushika wema wake huku unapiga mayowe..."njoo muuone wema wa mtu huyu"...!Wema huongea wenyewe.Usijichoshe.
as long as he involved himself with vanishing of innocent citizens, lolote alilolifanya ni ushetani mtupu. acha afe aliwe na funza!Kweli Leo ndo siku taifa lilitaamaki kwa kifo cha Raisi wa awamu ya tano.kweli kama taifa halikuwa kupitia uzoefu kama uo. Kingine hakuna mtu aliwaza mtu kama yule kwa jinsi alivyojipambanua ang'ekufa haraka namna hile.
Mimi nakubali mtu wa aina ya magufuli tulimtaka kwa pande zoote bahati mbaya kuna pande hakuwa na ubora kabisa . Nakazia hapo kuwa pande fulani alikuwa bora hasa kwa usimamizi wa Mali za umma,na utekelezaji wake changamoto ilikuja upande wa kisiasa hakuweza kuweka ulinganifu mzuri wa kisiasa na hapa palimtia doa Sana kitaifa mpaka kimataifa.
Na kwa jinsi nilivyojawa ona maisha haya mtu mwenye ubora wa kujua na kuelewa kila sehemu bila ubinafsi, upendeleo na chuki kupatikana na akawa Raisi , Bado Sana.
Watanzania inabidi kuelewa ndo asili ya viongozi tulionayo hakuna kiongozi tutapata akawa mlinganifu kabisa.
Familia zipi? Tutajie? Hata wewe ukivunja sheria utatenganishwa na familia yako. Hakuna nchi inayoongozwa bila sheria, taratibu na kanuni.Angetubu mbele za familia alizozitenganisha na wapendwa wake kwanza.
Amefanya kweli haya ila kiukweli kama unavyojua tz ilivyo baya moja linafuta mazuri yoote watu wanakuhukumu kwa kosa moja ata mawili na wanaolalamika nao uwasikilize kwani yotee Ni matokeo ya uwepo wake1. Daraja la Tanzanite Dar
2. Mikataba ya madini
3. Ukuta wa mererani
4. Utumbuaji
5. Uzinduzi wa malipo ya serikali kupitia control number
5. Umeme wa Tsh 27,000/=
6. Elimu bure darasa la kwanza hadi form four
7. Ukarabati wa. Viwanja vya ndege na meli
8. Bomba la mafuta Hoima kwenda Tanga
9. Kuanzisha Tarura, Latra,
10. Kununua radar kwenye viwanja vya ndege vyote.
11. Kuivunja bodi ya ununuzibwa madini
12. Kuanzisha tume ya madini na madoko ya kuuzia madini
13. Kuvunja Jiji la Dar es salaam
14. Kumfukuza kazi Nape mnauye, mchechu wa NHC,
15. Kwa miaka mitano kutokwenda ulaya
16. Kuzirudisha halmashauri zote ofisi ya Rais.
17. Kuondoa watu wenye vyeti feki kwenye mfumo wa mishahara ya serikali.
18. Kukarabati shule za serikali za zamani
19. Kununua ndege mpya 11
20. Kufufua reli ya Dar to arushaTanzania
21. Kukarabati bandari ya mtwara, tanga na Dar
22. Kukusanya na kuzitambua mali za CCM
23. Kuanzishwa wizara mpya ya Madini
24. Miaka mitano umeme haujawahi kukatika
25.ujenzi wa hospitali za kanda, mikoa na wilaya
26. Ujenzi wa mshakama za wilaya
27. Kuongeza idadi ya hifadhi za tsifa na jeshi usu.
28. Kufuta mishahara ya 45,000,000
29. Kuongeza viwanda nchini
30. Kuwaeleza ukweli watanzania kuhusu covid 19
31. Kupunguza urasimu kwa watumishi wa umma
32. Kuanxisha ofisi za msajili wa hati za ardhi kila mkoa na kufuta ofisi za kanda
33. Kukamata wakwepa ushuru
34. Kampuni ya Halotel ya JK , wabia wake kwenda segerea kwa kutokulipa kodi
35. Serikali kununua magari yake kwa mfumo maalumu kupunguza madalali
36. Kiswahili kuanza kutumika mahakamani kutolea hukumu
37. …..,, Samia haya niliyoyataja anayaweza kuyasimamia?kuyaendeleza?kubuni vingine ? CCM tujiuliza maswali kabla hatujamwambia Samia achukue fomu 2025
Kwamba Ben sa8 na Azory walivunja Sheria? Na tafsri ya mtu kutenda kosa ni kumtoa uhai wake??. Wacha Mungu atuepushe na hili jinamizi.Familia zipi? Tutajie? Hata wewe ukivunja sheria utatenganishwa na familia yako. Hakuna nchi inayoongozwa bila sheria, taratibu na kanuni.
Sasa akili imeanza kukurudi kwamba kumbe kweli mafisadi yalikuwa yamebanwa.Maadhimiisho ya mwaka mmoja wa Uhuru wa mafisadi, wezi na wahujumu uchumi wanaojificha ndani ya nguo za kijani na njano, jembe na nyundo
Una uhakika gani kuwa Magufuli ndo alitenda haya?Kwamba Ben sa8 na Azory walivunja Sheria? Na tafsri ya mtu kutenda kosa ni kumtoa uhai wake??. Wacha Mungu atuepushe na hili jinamizi.
Yaani we jamaa umeifanya siku yangu imeenda vizuei sana leo... siku zote msema kweli ni mpenzi qa Mungu[emoji23][emoji23][emoji23]Mungu ni mwema kwa wote waliompenda na wasiompenda .ila Mungu alimpenda zaidi na alisikia maombi ya wengi ndio maana hayupo.Nchi imekuwa shwari,tuna amani mioyoni mwetu ,watu waliishi kama wako Ukraine why,watanzani walio wengi hawakujua wafanyeje wale waliokua na roho ya "nacist "walishangilia wenzao kufungiwa account, kunyanganywa hela kwa nguvu ,kupotea kwenye mazingira ya kutatanusha na pia kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi.Tuanatoa pole kwa familia Mama Janet na Watoto Mungu awape nguvu ila mmepumua sasa hata umenenepa mama yetu ingawa kuondokewa na Mume sio jambo jepesi
Kama unavyojua kuwa Raisi si kitu cha mchezo kupatia ama kutopatia Ni matokeo ya ulichokifanya. Siku moja ning'ependa nawe uwe na cheo kama chake ndo utaelewa kwann alifanya hivo.lazma kuna ilimbidi hakuna anae penda kupoteza maisha ya watu bila kitu chokonozi,nafikiri umeelewa.as long as he involved himself with vanishing of innocent citizens, lolote alilolifanya ni ushetani mtupu. acha afe aliwe na funza!
tuliofiwa na dugu zetu ni ushetani unaofanyika leo
Wachana na matarahe Cha msingi alikufaHii tarehe Nina mashaka nayo.
Kabla ya tarehe 17 mwezi wa 3 kufika siku tatu nyuma niliona mizinga na wanajeshi wakitokea bagamoyo na kuelekea DAR.
Na mizinga hyo hyo ndo ilitumika kwenye kumuaga magufuli pale uwanjani.
Swali walikuwa keshakufa au walijua kuwa atakufa?wakajiandaa mapema
💯% namjua vizuri, pia hata familia yake inamjua kwa roho mbaya.Una uhakika gani kuwa Magufuli ndo alitenda haya?
Takataka kama wewe ukinyimwa uhuru gani au wa kudanga?Madikteta wana tabia ya kutaka kila wanachofanya kiwe cha kwanza. Sijui ni sifa au ni matatizo ya akili. Dunia nzima madikteta wanafanana tabia.
Tunashukuru sana Mungu kwa kutupa uhuru siku kama ya leo March 17th, 2021
Tunaona product zake kama kina Sabaya wakipambania uhuru wao ambao walikuwa nao alipokuwepo huyu mwendazake dikteta
Ona huyuEndelea kupumzika kwa amani JPM! Kwa hakika maisha yako mafupi ktk kiti cha Uraisi yalikuwa ni TUNU kwa nchi yetu na Afrika kwa ujumla. Ni Mungu mwenyewe aliyemwinua, na ni Mungu mwenyewe alimtwaa Raisi wetu, Basi jina la Mungu wetu LIHIMIDIWE MILELE[emoji22][emoji114]
Acha kuishi kwa gestures na negative perception. Utapata pressure bure.💯% namjua vizuri, pia hata familia yake inamjua kwa roho mbaya.
Namjua vizuri na kwasabub za kisiasa alifanya mpaka mzee mmoja mstafu pale chato kutokupewa mafao yake halali kisa kutofautiana kisiasa. Jiwe alikuwa mbaya mpaka kwa familia.Acha kuishi kwa gestures na negative perception. Utapata pressure bure.
Nani alikusimulia? Huyo mzee anaitwa nani? Alikosa mafao yapi?Namjua vizuri na kwasabub za kisiasa alifanya mpaka mzee mmoja mstafu pale chato kutokupewa mafao yake halali kisa kutofautiana kisiasa. Jiwe alikuwa mbaya mpaka kwa familia.